Umoja wa Kimataifa wa Wanazuoni wa Kiislamu (IUMS) umelaani kudhalilishwa kwa Qur'ani Tukufu na waenezaji wa Kizayuni, na kueleza kuwa ni ukatili na fedheha.
Habari ID: 3477191 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/25
Kamera za usalama zimemnasa mlowezi wa Kiisraeli akiwa na mbwa akirarua kurasa za Qur’ani Tukufu na kuzitupa chini nje ya msikiti mmoja katika kijiji cha Wapalestina katika Ukingo wa Magharibi unaokaliwa kwa mabavu.
Habari ID: 3477182 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/24
Qur'ani Tukufu Inasemaje/52
TEHRAN (IQNA) – Qur’ani Tukufu inaona ni muhimu kwa kila kizazi kujua kuhusu vizazi vilivyopita ili kujifunza kutoka kwao na kutambua wajibu wao.
Habari ID: 3477052 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/05/27
TEHRAN (IQNA) - Kituo cha Kamila al-Kuwari ni kitovu kikuu cha shughuli za Qur'ani kwa wanawake katika mji mkuu wa Qatar, Doha.
Habari ID: 3477036 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/05/23
Mashindano ya Qur'ani Tukufu
TEHRAN (IQNA) - Hatua ya awali ya mashindano ya Qur'ani Tukufu kwa ajili ya wakimbizi wa Afghanistan wanaoishi nchini Iran ilifanyika katika mji mtakatifu wa wa Qom nchini Iran ambapo kulikuwa na washiriki 370.
Habari ID: 3476574 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/17
Qur'ani Tukufu Inasemaje / 35
TEHRAN (IQNA) – Qur’ani Tukufu inatilia maanani sana familia, kitengo kidogo zaidi cha kijamii, na imechota haki za usawa za wanaume na wanawake. Moja ya haki hizo ni kukidhi gharama za maisha na Uislamu umewapa wanaume jukumu hili.
Habari ID: 3476099 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/16
Kuvunjiwa heshima Uislamu
TEHRAN (IQNA) - Waziri wa zamani wa Mambo ya Nje wa Uswidi (Sweden) Jan Eliasson ametoa wito wa kukomesha uchomaji moto wa Qur'ani Tukufu unaofanywa na wafuasi sugu wa siasa kali za mrengo wa kulia, akibainisha kuwa kitendo kama hicho ni sawa na uhalifu chini ya sheria za Uswidi.
Habari ID: 3475647 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/19
Qur'ani Tukufu inasemaje/10
TEHRAN (IQNA) – Katika kufuatia njia ya mwongozo wa Mwenyezi Mungu kuna maadui na hivyo ili kukabiliana nao ni muhimu kwanza kutambua udhaifu wetu ili kuelewa njia ambazo maadui hawa hutumia kujipenyeza na kutuathiri.
Habari ID: 3475413 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/23
TEHRAN (IQNA) – Afisa wa Wizara ya Utamaduni ya Iran anasema malengo ya Maonyesho ya 29 ya Kimataifa ya Qur'ani ya Tehran yamefikiwa kwa usaidizi wa watu na mashirika.
Habari ID: 3475192 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/01
TEHRAN (IQNA)- TEHRAN (IQNA)- Wizara ya Wakfu na Masuala ya Kidini Algeria imetangaza kuwa fainali ya Mashindano ya Kitaifa ya Qur'ani nchini humo itafanyika kunazia tarehe 15 ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3475125 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/04/14
TEHRAN (IQNA)- Qarii mashuhuri wa Misri Mahmoud Shahat Anwar hivi karibuni alisoma aya za Qur'ani akiiga mtindo wa marehemu baba yake.
Habari ID: 3474787 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/10
TEHRAN (IQNA)- Kitengo cha Kimataifa cha Taasisi ya Darul Qur’an ya Mfawidhi wa Haram ya Imam Hussein AS inaendeleza harakati zake za Qur’ani Tukufu nchini Mali.
Habari ID: 3474724 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/26
Mufti wa Misri
TEHRAN (IQNA)- Mufti Mkuu wa Misri amesema Fatwa nyingi ambazo hutolewa na wale wenye misimamo mikali nay a kufurutu ada na ambazo huharibu sura ya Uislamu halisi hutokana na ufahamu mbovu wa Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3474696 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/19
TEHRAN (IQNA)- Wizara ya Wakfu Misri imetangaza washindi wa Mashindano ya 28 ya Kimataifa ya Qur’ani yaliyofanyika wiki hii mjini Cairo.
Habari ID: 3474681 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/16
TEHRAN (IQNA) Msahafu ulioandikwa zaidi ya miaka 600 iliyopita unaonyesha katika Maktaba ya Nyaraka ya Ziya Bey nchini Uturuki.
Habari ID: 3474565 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/16
Idhaa ya Qur'ani Tunisia, 'Radio Zaitouna' sasa inamilikiwa na serikali
Habari ID: 3474558 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/14
TEHRAN (IQNA)- Kijana mmoja ambaye ni imamu na msomaji Qur'ani nchini Uingereza amepoteza maisha baada ya kudungwa kisu katika eneo la Tower Hamlets mjini London.
Habari ID: 3474534 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/09
TEHRAN (IQNA) – 'Wiki ya 23 ya Kitaifa Qur'ani' nchini Algeria imezinduliwa katika sherehe iliyofanyika Jumanne.
Habari ID: 3474477 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/27
TEHRAN (IQNA)- Mkuu wa Shirika la Utangazaji la Nchi za Kiislamu (ISBO) na Sheikh Mkuu wa Kituo cha Kiislamu cha Al Azhar wametangaza azma ya kuandaa kikao cha Idhaa za Qur’ani za nchi za Kiislamu mwezi Februari mwaka 2022.
Habari ID: 3474294 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/14
TEHRAN (IQNA)- Javad Foroughi, 41, muuguzi katika Hospitali ya Baqiyatullah mjini Tehran amekuwa Muirani wa kwanza kushinda medali ya dhahabu katika michezo ya Olimpiki ya Tokyo 2020.
Habari ID: 3474125 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/25