TEHRAN (IQNA) Msahafu ulioandikwa zaidi ya miaka 600 iliyopita unaonyesha katika Maktaba ya Nyaraka ya Ziya Bey nchini Uturuki.
Habari ID: 3474565 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/16
Idhaa ya Qur'ani Tunisia, 'Radio Zaitouna' sasa inamilikiwa na serikali
Habari ID: 3474558 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/14
TEHRAN (IQNA)- Kijana mmoja ambaye ni imamu na msomaji Qur'ani nchini Uingereza amepoteza maisha baada ya kudungwa kisu katika eneo la Tower Hamlets mjini London.
Habari ID: 3474534 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/09
TEHRAN (IQNA) – 'Wiki ya 23 ya Kitaifa Qur'ani' nchini Algeria imezinduliwa katika sherehe iliyofanyika Jumanne.
Habari ID: 3474477 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/27
TEHRAN (IQNA)- Mkuu wa Shirika la Utangazaji la Nchi za Kiislamu (ISBO) na Sheikh Mkuu wa Kituo cha Kiislamu cha Al Azhar wametangaza azma ya kuandaa kikao cha Idhaa za Qur’ani za nchi za Kiislamu mwezi Februari mwaka 2022.
Habari ID: 3474294 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/14
TEHRAN (IQNA)- Javad Foroughi, 41, muuguzi katika Hospitali ya Baqiyatullah mjini Tehran amekuwa Muirani wa kwanza kushinda medali ya dhahabu katika michezo ya Olimpiki ya Tokyo 2020.
Habari ID: 3474125 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/25
TEHRAN (IQNA)- Rais Muhamadu Buhari huhudhuria darsa za tafsiri ya Qur'ani Tukufu katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3473837 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/04/21
TEHRAN (IQNA)- Katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, ambao ni mwezi wa rehma, maghfira na kuokolewa kutoka moto. Pia ni mwezi ambao iliteremshwa Qur’ani Tukufu.
Habari ID: 3473834 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/04/20
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amezungumza kuhusu mapatano ya nyuklia ya JCPOA na vikwazo na kusema sera za Iran ziko wazi kuhusu JCPOA na vikwazo. Ameongeza kuwa sera hizo amezibainisha wazi kwa wakuu wa nchi kupitia maandishi na katika mikutano.
Habari ID: 3473814 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/04/14
TEHRAN (IQNA) - Somo kuhusu 'Lugha ya Qur'ani Tukufu' litaanza kufunzwa kwa mara ya kwanza kwa wanafunzi wa kugha ya Kiarabu katika Chuo Kikuu cha Sydney.
Habari ID: 3473588 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/25
TEHRAN (IQNA) – Wizara ya Wakfu na Masuala ya Kiislamu Qatar imetangaza uamuzi wa kufungua tena vituo vya kufunza Qur’ani Tukufu nchini humo.
Habari ID: 3473581 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/22
TEHRAN (IQNA) – Mashindano ya 22 ya Kitaifa ya Qur'ani Tukufu nchini Saudi Arabia yatafanyika katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani katika siku zitakazosadifiana na Aprili 2021.
Habari ID: 3473465 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/17
TEHRAN (IQNA) – Shirika moja la kutoa misaada nchini Uturuki limewatunuku watu wa Djibouti nakala za Qur'ani tukufu zipatazo 30,000.
Habari ID: 3473456 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/14
TEHRAN (IQNA)- Klipu ya Ustadh Abdul-Basit Abdul-Swamad akisoma aya za Sura Ash-Shu’araa katika Qur’ani Tukufu imeseambazwa katika mitandao ya kijamii.
Habari ID: 3473400 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/27
TEHRAN (IQNA) – Dkt. Javad Foroughi ni qarii mashuhuri Muirani ambaye ni mashuhuri kimataifa kwa qiraa yake ya Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3473308 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/29
TEHRAN (IQNA) – Klipu ya video imeenea katika mitandao ya kijamii ikiwaonyesha ndugu watano wa familia moja wakisema ya za Qur'ani Tukufu za Surah al-Furqan.
Habari ID: 3473291 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/24
TEHRAN (IQNA) – Balozi wa Misri nchini Mauritius amewatunuku wakuu wa jumuiya mbali mbali za Kiislamu Mauritius nakala za Qur’ani ambazo zina tarjama ya lugha mbali mbali.
Habari ID: 3473264 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/16
TEHRAN (IQNA) –Dereva wa taxi katika eneo la Hyderabad nchini India amefanikiwa kuandika nakala nzima ya Qur’ani kwa mkono katika kipindi cha miezi sita wakati wa zuio la kutotoka nje ya nyumba kufuatia kuibuka janga la corona.
Habari ID: 3473223 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/02
TEHRAN (IQNA) – Sheikh Nuruddin Attar, mfasiri na hafidh maarufu wa Qur’ani Tukufu nchini Syria ameaga dunia akiwa na umri wa miaka 83.
Habari ID: 3473199 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/24
TEHRAN (IQNA)- Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Kuyakurubisha Pamoja Madhehebu ya Kiislamu amesema kuwa: kuanzisha uhusiano wa kidiplomasia na utawala wa Kizayuni wa Israel ni kuisaliti Qurani Tukufu na kumpa mgongo Mtume wa Mwenyezi, Muhammad SAW
Habari ID: 3473078 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/17