TEHRAN (IQNA) – Kanali ya kwanza ya televisheni ya satalaiti ambayo ni maalumu kwa ajili ya Qur'ani Tukufu imezinduliwa nchini Misri.
Habari ID: 3472481 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/02/17
TEHRAN (IQNA) – Kasisi Mkristo ambaye alikuwa anasikiliza qiraa ya Qur'ani Tukufu nchini Misri alivutiwa sana na usomaji huo na akatoa shukrani zake kwa kumkumbatia.
Habari ID: 3472388 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/01/20
TEHRAN (IQNA) – Pakistan imelaani vikali hatua ya kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu na imemkabidhi balozi wa Norway mjini Islamabad malalamiko sambamba na kupanga kuwasilisha malalamiko katika Umoja wa Ulaya na Jumuiya ya Nchi za Kiislamu OIC.
Habari ID: 3472230 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/11/25
TEHRAN (IQNA)- Manispaa ya Mji wa Dubai katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) imetangaza kuwa watu milioni moja wameitembelea Bustani ya Qurani tangu ifunguliwe mjini humo mwezi Machi mwaka huu.
Habari ID: 3472226 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/11/22
TEHRAN (IQNA) – Kituo cha kuhifadhi Qur'ani Tukufu maalumu kwa watu wenye ulemavu wa macho kimefunguliwa nchini Russia katika eneo la Dagestan mapema wiki hii.
Habari ID: 3472138 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/09/19
TEHRAN (IQNA) – Mwanaanga wa kwanza wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) kufika katika anga za mbali amesema atabeba nakala ya Qur'ani katika safari yake hiyo ya kihistoria.
Habari ID: 3472104 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/08/28
Jarida la Time
TEHRAN (IQNA) – Jarida la kimataifa la Time limetangaza orodha ya 'Maeneo 100 Bora ya Kutembelea Duniani 2019' na Bustani ya Qur'ani ya Dubai ni miongoni mwa maeneo hayo.
Habari ID: 3472099 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/08/25
TEHRAN (IQNA) – Idadi kubwa ya vijana na watoto nchini Algeria wamejisajili kushiriki katika darsa za Qur'ani zinazofanyika katika misikiti na vituo vya Qur'ani katika mkowa wa Constantine kaskazini mashari mwa nchi hiyo.
Habari ID: 3472084 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/08/15
TEHRAN (IQNA)- Kongamano la kimataifa la masomo ya Qur'ani limefanyika katika mji wa Tangier nchini Morocco.
Habari ID: 3472058 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/07/28
TEHRAN (IQNA)- Maisan Yahya Muhammad, ni binti wa miaka sita ambaye kutoka Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) ambaye amehifadhi Qur'ani Tukufu kikamilifu.
Habari ID: 3472020 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/06/28
TEHRAN (IQNA) – Mashindano ya Qur'ani yamefanyika nchini Uswisi kwa himaya ya Jumuiya ya Kimataifa la Al Raham ya nchini Kuwait.
Habari ID: 3471992 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/06/10
TEHRAN (IQNA) – Tarjuma ya Qur'ani Tukufu kwa lugha ya Asante Twi imezinduliwa eneo la Kumasi, kusini mwa Ghana ili kuwawezesha wanaozungumza lugha hiyo kusoma kitabu hicho kitukufu.
Habari ID: 3471937 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/05/01
TEHRAN (IQNA)- Wawakilishi wa nchi 90 wanatazamiwa kushiriki katika Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Dubai.
Habari ID: 3471930 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/04/27
TEHRAN (IQNA)- Msichana mwenye umri wa miaka 19 na ambaye anaugua ugonjwa wa kupooza kwa ubongo (cerebral palsy) amefanikiwa kuhifadhi sura 42 za Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3471927 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/04/24
TEHRAN (IQNA)-Bustani ya Qur'ani imezinduliwa Ijumaa katika Umoja wa Falme za Kiarabu mjini Dubai katika eneo la Al Khawaneej Ijumaa ambapo wageni watapa fursa ya kujifunza kuhusu miujiza ya Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3471894 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/03/30
TEHRAN (IQNA) – Waziri wa Elimu wa Iran Sayyid Mohammad Bathayi amesema takribani wanafunzi zaidi ya milioni mbili nchini Iran wanashiriki darsa za kuhifadhi Qur'ani.
Habari ID: 3471871 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/03/11
TEHRAN (IQNA) –Wataalamu 22 wa Qur'ani Tukufu kutoka nchi 13 za kigeni wameteuliwa kuwa majaji katika Mashindano ya 36 ya Kimataifa ya Qur'ani ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
Habari ID: 3471859 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/03/03
TEHRAN (IQNA)- Mahakama nchini Austria imebatilisha uamuzi wa serikali kufunga misikiti sita ya jamii ya Waarabu nchini humo.
Habari ID: 3471842 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/02/15
TEHRAN (IQNA)- Kongamano la Kimataifa la Baraza Kuu la Masuala ya Kiislamu limefanyika nchini Misri na kuwaleta pamoja wawakilishi wa nchi 40.
Habari ID: 3471812 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/01/20
TEHRAN (IQNA)- Wizara ya Wakfu ya Misri imetangaza kufungua shule mpya 26 za Qur'ani Tukufu katika jimbo la El Wadi El Gedid.
Habari ID: 3471805 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/01/13