Wamisri wakaribisha mpango wa Qur'ani wa Wizara ya Wakfu
TEHRAN (IQNA) - Mpango uliozinduliwa katika misikiti ya Misri kwa ajili ya kurekebisha makosa yanayofanywa na watu wakati wa kusoma Qur'ani Tukufu umepokelewa vyema, maafisa wanasema.
Habari ID: 3477994 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/06
Zifahamu Dhambi/ 4
TEHRAN (IQNA) – Katika lugha ya Qur'ani Tukufu na Mtukufu Mtume Muhammad (SAW), kuna maneno mbalimbali yanayotumika kutaja madhambi.
Habari ID: 3477991 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/05
Njia ya Ustawi / 3
TEHRAN (IQNA) – Qur’ani Tukufu imetambulishwa kama kitabu cha mwongozo, nuru, uponyaji, rehema, ukumbusho, na utambuzi na ambacho kinatoa mpango sahihi wa maisha.
Habari ID: 3477990 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/05
Mashindano ya Qur'ani
MUSCAT (IQNA) - Washindi wa toleo la 31 la Mashindano ya Qur'ani Tukufu ya Sultan Qaboos nchini Oman walitambulishwa na kamati ya maandalizi.
Habari ID: 3477983 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/04
Wasomi Waislamu
TEHRAN (IQNA) – Jumamosi iliadhimisha kumbukumbu ya kifo cha Ibn al-Jazari, qari mashuhuri katika karne ya 14 na 15 Miladia ambaye pia alikuwa mwanachuoni mashuhuri wa sayansi ya Qur’ani.
Habari ID: 3477979 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/03
Fatwa
CAIRO (IQNA) – Taasisi ya Dar ul Ifta ya Misri imetangaza kuwa hairuhusiwi au haijuzu kidini kuupa msikiti wowote jina la Al-Aqsa.
Habari ID: 3477955 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/28
Zaka katika Uislamu /7
TEHRAN (IQNA) – Kuna mamia ya Hadithi kuhusu kile kinachosaidia katika kuendeleza urafiki.
Habari ID: 3477950 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/26
AL-QUDS (IQNA) - Utawala wa Kizayuni wa Israel umeweka kwa walimu wa kike wa Qur'ani Tukufu katika Msikiti wa Al-Aqsa huko Al-Quds (Jerusalem).
Habari ID: 3477935 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/23
Njia ya Ustawi / 5
TEHRAN (IQNA) - Njia moja ya Tarbiyah, yaani kurekebisha au kuboresha tabia ya mtu ambayo imesisitizwa ndani ya Qur'ani Tukufu, ni kumfundisha mtu kivitendo na kiroho kwa namna ambayo mizizi ya maovu ya kimaadili iondolewe katika tabia yake.
Habari ID: 3477924 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/21
Wanazuoni Mashuhuri wa Ulimwengu wa Kiislamu / 34
TEHRAN (IQNA) – Francois Deroche, mwanachuoni wa Kifaransa ambaye ni mtaalamu wa Codicology na Palaeography, amejadili sifa za Misahafu ya kwanza katika mojawapo ya vitabu vyake.
Habari ID: 3477923 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/21
Turathi ya Kiislamu
MASHHAD (IQNA) – Kumefanyika sherehe katika Haram Takatifu ya Imam Ridha (AS) mjini Mashhad, kaskazini mashariki mwa Iran kwa lengo la kuzindua Msahafu ambao uliandikwa karne 14 zilizopita.
Habari ID: 3477906 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/18
Fikra
TEHRAN (IQNA) – Wanafalsafa na wanafikra wa Kiislamu pia wamekuwa wakitilia maanani maendeleo ya ummah Kiislamu pamoja na kujihusisha na fikra za kina za kifalsafa.
Habari ID: 3477905 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/17
Wanazuoni
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza alipokutana na waandaaji wa Kongamano la Kimataifa la Allamah Tabatabai kuwa: Msingi imara wa kifikra ni hitajio la leo.
Habari ID: 3477899 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/16
Mafunzo ya Qur'ani
DOHA (IQNA) – Toleo la 60 la Mashindano ya Kitaifa ya Qur'ani Tukufu Qatar kwa wanafunzi wa shule yanaendelea katika nchi hiyo ya Kiarabu. Zaidi ya wavulana na wasichana 22,000 wanashiriki katika toleo hili la tukio la Qur'ani.
Habari ID: 3477893 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/15
Waislamu Morocco
RABAT (IQNA) - Kuna zaidi ya wavulana na wasichana 400,000 wanaohifadhi Qur'ani Tukufu katika Madrassah kote Morocco.
Habari ID: 3477881 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/12
Wanazuoni Mashuhuri wa Ulimwengu wa Kiislamu /31
TEHRAN (IQNA) – Tafsiri ya kwanza ya kitaaluma ya Kurani Tukufu katika lugha ya Kibulgaria ilitolewa na Tsvetan Teophanov, maprofesa wa Chuo Kikuu cha Sofia.
Teophanov alijifunza lugha ya Kiarabu kwa bahati na hii ilisababisha maendeleo makubwa katika maisha yake.
Habari ID: 3477875 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/04
Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA) - Mufti Mkuu wa al-Quds (Jerusalem) na Palestina amelaani kitendo cha hivi karibuni cha walowezi wa Kizayuni cha kuivunjia heshima Qur'ani Tukufu katika Ukingo wa Magharibi wa Mji wa Al-Khalil (Hebron).
Habari ID: 3477871 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/10
Jiografia ya Matukio katika Qur'ani Tukufu /1
TEHRAN (IQNA) – Adam (AS) alikuwa mtume wa kwanza aliyeishi Jannat Firdaus (Peponi au Paradiso) baada ya kuumbwa na Mwenyezi Mungu.
Habari ID: 3477863 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/09
Mashindano ya Qur'ani
JAKARTA (IQNA) - Kituo cha Qur'ani chenye mfungamano na Idara ya Mfawidhi wa Haram Takatifu ya Imam Hussein (AS) nchini Iraq kimeandaa mashindano ya kuhifadhi Qur’ani Tukufu nchini Indonesia, na ku wahifadhi 200 kutoka kote nchini.
Habari ID: 3477802 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/28
TEHRAN (IQNA) – Qari wa kimataifa wa Iran Alireza Bijani hivi karibuni amesoma aya za 63 hadi 71 za Surah Al-Furqan katika Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3477798 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/27