qurani tukufu - Ukurasa 91

IQNA

TEHRAN (IQNA)- Waliofika fainali katika Mashindano ya 37 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Iran wametangazwa na kamati andalizi.
Habari ID: 3473593   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/26

TEHRAN (IQNA) – Kikao cha qiraa ya Qur'ani Tukufu kwa ajili ya wanawake kimefanyika Tehran wakati wa kukaribia siku ya kukumbuka kuzaliwa Bibi Fatima Zahra SA
Habari ID: 3473590   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/26

TEHRAN (IQNA) – Idara ya Masuala ya Kidini Uturuki (Diyanet) imewatunuku Waislamu wa Argentina vitabu 7,000 vya kidini na nakala za Qur'ani Tukufu zilizotarjumiwa kwa Kihispania.
Habari ID: 3473589   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/25

TEHRAN (IQNA) – Klipu ya video imesambaa katika mitandao ya kijamii ikimuoneysha qarii maarufu wa Misri, Sheikh Ahmed Ahmed Noaina akisoma Qur'ani Tukufu akiwa amevalia barakoa.
Habari ID: 3473584   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/23

TEHRAN (IQNA) – Qarii maarufu wa Misri Sheikh Abdul Alim Fasada ameaga dunia akiwa na umri wa miaka 73.
Habari ID: 3473567   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/18

TEHRAN (IQNA)- Siku kama ya leo miaka 1431 iliyopita, yaani tarehe 3 Jumada Thani mwaka wa 11 hijria, Bibi Fatima Zahra Amani ya Mwenyezi Mungu iwe juu Yake- Salamullah Alayha- (SA), binti kipenzi cha Bwana Mtume Muhammad SAW na mke wa Imam Ali bin Abi Talib SA alikufa shahidi baada ya kuishi umri mfupi tu lakini uliojaa baraka.
Habari ID: 3473564   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/17

TEHRAN (IQNA) - Televisheni ya Qur’ani ya Shirika la Utangazaji la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran (IRIB) imerusha hewnai qiraa ya qarii mashuhuri wa Misri Sheikh Ragheb Mustafa Ghalwash.
Habari ID: 3473551   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/12

TEHRAN (IQNA)- Televisheni ya Qur’ani ya Shirika la Utangazaji la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran (IRIB) imezindua kipindi kipya cha kurusha hewani qiraa ya Qur’ani Tukufu ya wasomaji maarufu wa Misri.
Habari ID: 3473542   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/10

TEHRAN (IQNA) - Idara ya Masuala ya Kidini Uturuki (Diyanet) imesambaza nakala milioni moja za Qur’ani katika nchi mbali mbali duniani.
Habari ID: 3473527   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/05

TEHRAN (IQNA) – Serikali ya Algeria imeafiki kufunguliwa tena madrassah za Qur'ani Tukufu nchini humo ambazo zilikuwa zimesitisha shughuli zao kutokana na maambukizi ya ugonjwa wa COVID-19 au corona.
Habari ID: 3473514   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/01

TEHRAN (IQNA)- Khitma ya Qur’ani Tukufu imefanyika Tehran Jumanne kwa mnasaba wa kukaribia mwaka moja tokea alipouawa shahidi kamanda wa ngazi za juu wa Iran, Luteni Jenerali Qassem Soleimani.
Habari ID: 3473507   Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/30

TEHRAN (IQNA) – Madrassah za Qur’ani nchini Somalia maarufu kama Duksi zinaendelea kuwa tumaini kwa watoto nchini humo pamoja na kuwepo mazingira magumu ya kiuchumi, kijamii na umasikini mkubwa.
Habari ID: 3473506   Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/30

TEHRAN (IQNA)- Muasisi wa kituo kikubwa zaidi cha Qur’ani Tukufu nchini Senegal amefariki dunia.
Habari ID: 3473499   Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/27

TEHRAN (IQNA) – Akademia ya Qur’ani Tukufu, ambayo imetajwa kuwa miogoni mwa kubwa zaidi duniani, imefunguliwa huko Sharjah katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE).
Habari ID: 3473498   Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/27

TEHRAN (IQNA) – Binti Muirani, Hannaneh Khalafi, ambaye ametajwa kuwa bingwa wa Qur'ani, ataanza kutoa mafunzo ya kuhifadhi Qur'ani kwa njia ya intaneti.
Habari ID: 3473495   Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/26

TEHRAN (IQNA) – Taasisi ya Darul Qur'an ya Ujerumani imesambaza klipu ya qiraa ya Qur'ani kumhusu Nabii Isa Masih-Amani ya Mwenyezi Mungu Iwe Juu Yake- ambaye Wakristo wengi wanaamini alizaliwa Disemba 25 katika siku ambayo ni maarufu kama Krismasi.
Habari ID: 3473494   Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/26

TEHRAN (IQNA) Hivi karibuni Televisheni ya Qur’ani ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ilirusha hewani qiraa ya Qur’ani Tukufu ya Sheikh Abdul Fattah Taruti wa Misri.
Habari ID: 3473485   Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/23

TEHRAN (IQNA) – Jumuiya ya Wanazuoni wa Kiislamu Algeria imetoa wito wa kufunguliwa tena madrassah za Qur’ani nchini humo kwa kuzingatia kanuni za kiafya katika kipindi hiki cha janga la COVID-19 au corona.
Habari ID: 3473472   Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/19

TEHRAN (IQNA) –Mahakama Kuu ya Lahore, Pakistan imeamuru kuwa ni wajibu kwa taasisi zote za kielimu kuweka mafundisho ya Qur'ani katika mitaala yao kuanzia mwaka 2021.
Habari ID: 3473470   Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/19

TEHRAN (IQNA)- Qiraa ya Qur’ani Tukufu ya qarii wa Misri marhum Sheikh Ahmed Mohammed Amer hivi karibuni imerushwa hewani katika televisheni ya Qur’ani ya Iran.
Habari ID: 3473469   Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/18