qurani tukufu - Ukurasa 89

IQNA

TEHRAN (IQNA) - Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Vijana, Michezo nchini Mauritania ametangaza kufunguliwa vituo vya kurekodi na kusambaza qiraa ya Qur'ani Tukufu kwa sauti ya wasomaji wa Mauritania.
Habari ID: 3474169   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/07

TEHRAN (IQNA)- Waziri wa Wakfu nchini Sudan amesisitiza umuhimu wa kufundisha sayansi ya dini na ufahamu wa Qur'ani shuleni.
Habari ID: 3474158   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/04

TEHRAN (IQNA)- Binti mmoja nchini Misri ambaye sasa ana umri wa miaka 11 aliweza kuhifadhi Qur’ani Tukufu kikamilifu akiwa na umri wa miaka 7.
Habari ID: 3474152   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/02

TEHRAN (IQNA) – Tarjuma za Qurani Tukufu kwa lugha za Kiswahili na Kiindonesia ni kati ya vitaby vipya ambavyo vimewasilishwa katika Maoneysho ya Kimataifa ya Vitabu ya Cairo.
Habari ID: 3474093   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/12

TEHRAN (IQNA) - Kongamano la 14 la Umoja wa Kiislamu limefanyika London, Uingereza Ijumaa Julai 9.
Habari ID: 3474088   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/10

TEHRAN (IQNA)- Wizara ya Masuala ya Kidini Algeria imeandaa darsa maalumu ya kuhifadhi Qur'ani kwa njia ya intaneti.
Habari ID: 3474081   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/08

TEHRAN (IQNA)- Qarii Yassri al Araq wa Iraq hivi karibuni alisoma aya za Qur’ani katika sherehe za kuadhimisha kuanzishwa Jeshi la Kujitolea la Wananchi maarufu kama al Hashd al Shaabi.
Habari ID: 3474078   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/07

TEHRAN (IQNA)- Chuo Kikuu cha Al Azhar kimewatunuku Qur'ani Tukufu wageni katika Maonyesho ya 52 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Cairo, Misri.
Habari ID: 3474072   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/05

TEHRAN (IQNA)- Idara ya Mfawidhi wa Haram ya Hadhrat Abbas AS huko Karbala, Iraq imeandaa warsha ya qiraa ya Qur'ani Tukufu kwa ajili ya wanafunzi Waafrika wanaosoma katika vyuo vya Kiislamu (Hawza) mjini humo.
Habari ID: 3474060   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/01

TEHRAN (IQNA)- Kumekuwa na ongezeko la asilimi 20 la Misahafu iliyochapishwa nchini Iran katika mwaka huu wa Kiirani wa Hijria Shamsia ulioanza Machi 21.
Habari ID: 3474034   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/06/23

TEHRAN (IQNA)- Wizara ya Masuala ya Kiislamu katika Ufalme wa Saudi Arabia imetangaza ksambaza nakala milioni moja za Qur'ani Tukufu ambazo zimetarjumiwa kwa lugha 10. 
Habari ID: 3474000   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/06/12

TEHRAN (IQNA) – Mp3Quran ni tovuti kubwa zaidi ya kupakua au kudownload tilawa ya Qur'ani Tukufu ya wasomaji mbali mbali duniani.
Habari ID: 3473991   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/06/09

TEHRAN (IQNA)- Aplikesheni mpya ya Qur'ani iliyopewa jina la 'Ayatul Ahkam' imezinduliwa hivi karibuni nchini Kuwait.
Habari ID: 3473990   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/06/08

TEHRAN (IQNA)- Washindi wa mashindano ya Qur’ani yaliyofanyika hivi karibuni nchini Uganda wametunukiwa zawadi.
Habari ID: 3473966   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/31

TEHRAN (IQNA)- Hivi karibuni kumesambaa klipu ya qarii Muirani, Mehdi Adeli, akisema aya za Qur'ani Tukufu nchini Uturuki.
Habari ID: 3473951   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/27

TEHRAN (IQNA) –Qarii maarufu wa Qur'ani Tukufu kutoka Iran Ustadh Hamed Shakernejad alitembelea Ujerumani katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani mwaka 2019.
Habari ID: 3473923   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/18

TEHRAN (IQNA)- Mwambata wa Utamaduni wa Ubalozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Tanzania ametangaza kuanzishwa kanali ya YouTube ya kufunza Qur’ani Tukufu kwa wazungumzao lugha ya Kiswahili.
Habari ID: 3473921   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/17

TEHRAN (IQNA)- Surah Al-Qadr ni ya 97 katika Qur'ani Tukufu na ina aya 5.
Habari ID: 3473883   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/06

TEHRAN (IQNA)- Radio ya Qur'ani mjini Sharjah katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) imeandaa mashindano ya Qur'ani Tukufu katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3473876   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/04

TEHRAN (IQNA)- Qarii mashuhuri wa Iran, Sayyed Javad Hussein amewahi kualikwa maeneo mbali mbali duniani katika vikao vya Qur'ani Tukufu na moja ya nchi hizo ni Bangladesh.
Habari ID: 3473875   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/04