TEHRAN (IQNA)- Mashindano ya 7 Kimataifa ya Kuhifadhi Qur'ani ya Rwanda yamemalizika Jumamosi ambapo mshindi alikuwa Maazu Ibrahim Muadh wa Niger ambaye aliwashinda washiriki 42 kutoka nchi 17 za Afrika.
Habari ID: 3471572 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/06/25
TEHRAN (IQNA)- Qarii wa Qur’ani kutoka Iran, Ustadh Ali Asghar Shoaei, ameibuka mshindi katika duru ya 11 ya Mashindano ya Qur’ani ya mubashara kupitia Televisheni ya Kimataifa ya Al Kawthar.
Habari ID: 3471561 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/06/16
TEHRAN (IQNA)- Mmarekani Ahmad Burhan ametangazwa mshindani wa Mashindano ya 22 ya Kuhifadhi Qur’ani ya Dubai.
Habari ID: 3471545 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/06/06
TEHRAN (IQNA)- Mshindi katika Mashindano ya Kuhifadhi Qur'ani ya eneo la Somaliland nchini Somalia ametunukiwa zawadi ya gari.
Habari ID: 3471542 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/06/03
TEHRAN (IQNA)- Washindi wa Mashindano ya 15 ya Qur'ani Tukufu ya Lagos nchini Nigeria wametunukiwa zawadi huku Waislamu nchini humo wakitahadahrishwa kuhusu athari mbaya za mitandao ya kijamii.
Habari ID: 3471541 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/06/03
TEHRAN (IQNA)- Washindi wa mashindano ya kusoma na kuhifadhi Qur'ani nchini Sierra Leonne wametunukiwa zawadi katika sherehe iliyofanyika katika Kituo cha Utamaduni cha Iran katika mji mkuu wa nchi hiyo, Freetown
Habari ID: 3471538 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/05/31
TEHRAN (IQNA)- Ustadh Twahir Ali Alwi kutoka Kenya ameibuka mashindi wa Mashindano ya Kimataifa ya Kuhifadhi Qur'ani ya Zanzibar.
Habari ID: 3471536 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/05/29
TEHRAN (IQNA)- Mashidano ya Kimataifa ya 19 ya Kuhifadhi Qur'ani ya Tazania yamefanyija Jumapili katika mji mkuu wa nchi hiyo Dar-es-Salaam.
Habari ID: 3471535 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/05/28
TEHRAN (IQNA)- Duru ya 7 ya Mashindano ya Kitaifa ya Qur'ani maalumu kwa walemavu yamepangwa kufanyika Dubai katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) kuanzia Mei 27-31.
Habari ID: 3471532 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/05/26
TEHRAN (IQNA) – Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Tanzania yanatazamiwa kufanyika katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani mjini Dar es Salaam.
Habari ID: 3471529 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/05/24
TEHRAN (IQNA)- Mashindano ya 6 ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu ya Uturuki yameanza Jumapili mjini Istanbul.
Habari ID: 3471525 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/05/21
TEHRAN (IQNA)- Chuo Kikuu cha Al Azhar nchini Misri kinapanga mashindano ya Qur'ani maalumu kwa wanachuo wa kigeni chuoni hapo.
Habari ID: 3471519 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/05/19
TEHRAN (IQNA)- Taasisi katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) imeandaa mashindano ya Tarteel ya Qur'ani Tukufu katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani maalumu kwa waliosilimu.
Habari ID: 3471514 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/05/15
KUALA LUMPUR (IQNA) – Washindi wa Mashindano ya 60 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Malaysia wametangazwa leo Jumapili
Habari ID: 3471510 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/05/13
KUALA LUMPUR (IQNA)- Mashindano ya 60 ya Kimataifa ya Kuhifadhi na Kusoma Qur'ani Tukufu ya Malaysia yameanza Jumatatu katika mji mkuu wa nchi hiyo ya Kiislamu kusini mashariki mwa Asia.
Habari ID: 3471501 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/05/08
TEHRAN (IQNA)- Chuo Kikuu cha Kiislamu cha Ghana kimeandaa mashindano ya kusoma na kuhifadhi Qur'ani pamoja na adhana.
Habari ID: 3471496 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/05/05
TEHRAN (IQNA)- Mashindano ya Qur’ani ya kimataifa yanayofanyika kwa njia ya moja kwa moja kupitia Televisheni ya Al Kauthar ya Iran yamepangwa katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani siku chache zijazo.
Habari ID: 3471494 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/05/05
TEHRAN (IQNA)- Washindi wa Mashindano ya Sita ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Wanachuo Waislamu wametangazwa leo Jumapili.
Habari ID: 3471488 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/04/29
TEHRAN (IQNA)- Mashindano ya Kusoma na Kuhifadhi Qur'ani ya eneo la Amerika Kaskazini yamepenga kufanyika wiki Ijayo nchini Marekani.
Habari ID: 3471487 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/04/29
TEHRAN (IQNA)- Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ambayo imekuwa mwenyeji wa duru kadhaa za mashindano ya Qur'ani ya wanafunzi Waislamu katika vyuo vikuu duniani inahimiza nchi zingine za Kiislamu ziandae duru zijazo za mashindano hayo.
Habari ID: 3471486 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/04/28