iqna

IQNA

Harakati za Qur'ani
IQNA – Mashindano ya Kitaifa ya Qur'ani ya Iran, hasa sehemu yake ya maarifa, yana jukumu muhimu katika kukuza mafundisho ya Kiislamu miongoni mwa wananchi, amesema mwanazuoni.
Habari ID: 3479988    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/01

Mashindano ya Qur'ani
IQNA – Astan Quds Razavi, Idara ya Mfawidhi wa Haram Takatifu ya Imam Ridha (AS) mjini Mashhad, imeahidi kutoa msaada kamili katika kufanikisha Mashindano ya 41 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu nchini Iran, afisa mmoja amesema.
Habari ID: 3479979    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/31

Diplomasia
IQNA-Rais Masoud Pezeshkian ameeleza kuwa mtazamo na hatua za kivitendo za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni za kueneza amani na kudumisha usalama katika ukanda huu na baina ya nchi zote za Kiislamu; na ametaka kuwepo ushirikiano mkubwa zaidi kati ya Iran na Oman katika uwanja huo.
Habari ID: 3479977    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/30

Mashindano ya Qur'ani
IQNA – Kukuza uelewa wa Qur’anni Tukufu katika jamii ni lengo kuu la mashindano ya Qur’ani yanayoandaliwa nchini Iran, amesema Mkuu wa Shirika la Wakfu  na Misaada la Iran, Hujjatul Islam Mehdi Khamoushi.
Habari ID: 3479959    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/27

Qur'ani Katika Maisha
IQNA – Mwanafunzi mwenye umri wa miaka 15 anasema kuhifadhi Quran Tukufu kumemsaidia kupata mafanikio zaidi shuleni.
Habari ID: 3479941    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/23

Mashindano ya Qur'ani
IQNA – Seyed Jassem Mousavi alishinda zawadi ya juu zaidi ya kategoria ya qiraa katika Mashindano ya 47 ya Kitaifa ya Qur'ani ya Iran huko Tabriz siku ya Alhamisi.
Habari ID: 3479928    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/20

Diplomasia ya Kiislamu
Rais Masoud Pezeshkian wa Iran amesisitiza ulazima wa kuwepo umoja kati ya mataifa ya Kiislamu, na kutilia mkazo udharura wa kuchukuliwa hatua za pamoja ili kukabiliana na uchokozi wa utawala wa Israel.
Habari ID: 3479923    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/19

Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Baada ya shughuli za miezi kadhaa, Mashindano ya 47 ya Kitaifa ya Qur'ani ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran yalifikia tamati katika hafla ya Alhamisi asubuhi.
Habari ID: 3479921    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/19

Diplimasia ya Kiislamu
IQNA- Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran yuko nchini Misri kuhudhuria mkutano wa kilele wa Jumuiya ya Nchi za Kiislamu Zinazoendelea, D-8 - utakaofanyika Alhamisi.
Habari ID: 3479919    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/18

Harakati za Qur'ani
IQNA – Qari wa ngazi za juu wa kike wa Qur’ani nchini Iran  amesema mazingira ya kuunga mkono na ya kutia moyo yanayotolewa na wazazi yana jukumu muhimu katika kukuza talanta za Qur’ani kwa watoto.
Habari ID: 3479918    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/18

Utamaduni wa Qur'ani
IQNA – Mbunge mmoja nchini Iran amesema kutekeleza mafundisho ya Sunnah za Qur'ani (sharia) kumewapa Wa iran i roho ya kusimama dhidi ya madola yenye kiburi na ya kibeberu.
Habari ID: 3479911    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/17

Mashindano ya Kitaifa ya Qur'ani
IQNA – Kuna ushindani mkubwa katika fainali ya Mashindano ya 47 ya Kitaifa ya Qur'ani ya Iran na hivyo ni vigumu kutabiri washindi, mshindani mmoja alisema.
Habari ID: 3479909    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/16

Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Mshindi Qiraa ya Qur’ani katika kategoria ya wanawake katika Mashindano ya 47 ya Kitaifa ya Qur'ani ya Iran amesema yeye hufanya mazoezi ya qiraa na kusoma tafsir kila usiku pamoja na familia yake.
Habari ID: 3479904    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/15

Harakati ya Qur'ani
IQNA - Raia wa Iran ambaye ni mlemavu wa macho ambaye ameihifadhi Qur'ani Tukufu kikamilifu nzima kwa muda wa miaka miwili amesema kitabu hicho kitakatifu kimempa "amani ya ndani."
Habari ID: 3479898    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/14

Harakati za Qur'ani
IQNA - Msomaji wa Qur'ani wa kike wa Iran anasema kuelewa na kutekeleza mafundisho ya Qur'ani ndio ufunguo wa kuepuka dhambi.
Habari ID: 3479895    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/14

Harakati za Qur'ani
IQNA – Binti Mu iran i aliyehifadhi Qur'ani Tukufu kikamilifu amesema kwamba katika kujifunza Quran kwa moyo, talanta au kipaji  ni muhimu lakini muhimu zaidi ni uvumilivu na ustahamilivu.
Habari ID: 3479890    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/10

Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Mashindano ya 47 ya Kitaifa ya Qur'ani nchini Iran yalihitimisha sehemu zake za wanawake na wasichana chini ya umri wa miaka 18 kwa  sherehe huko Tabriz, zilizofanyika kuanzia tarehe 2 hadi 9 Disemba.
Habari ID: 3479883    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/09

IQNA - Qari kijana ambaye anashiriki katika toleo la 47 la Mashindano ya Kitaifa ya Qur'ani ya Iran amesema mafanikio yake ya Qur'ani ni baraka kutoka kwa Allah (SWT).
Habari ID: 3479880    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/09

Diplomasia
IQNA-Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran imesisitiza kuwa, kuainishwa hatima na kufanya maamuzi kuhusu mustakbali wa Syria ni jukumu la pekee la wananchi wa nchi hiyo bila ya uingiliaji uharibifu wala kulazimishwa na mataifa ya kigeni.
Habari ID: 3479879    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/09

Mashindano ya Qur'ani
IQNA – Mhifadhi wa Qur'ani wa kike amesema Qur'ani imemjengea subira na ustahimilivu katika kukabiliana na changamoto mbalimbali.
Habari ID: 3479877    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/08