iqna

IQNA

Mamilioni ya Waislamu katika nchi mbalimbali za dunia wameshiriki maombolezo ya Ashura kukumbuka tukio chungu la kuuawa shahidi mjukuu wa Mtume mtukufu, Muhammad SAW, yaani Imam Hussein bin Ali bin Abi Twalib AS. Nchini Iran misafara na maandamano ya mamia ya maelfu ya watu inaendelea kushuhudiwa katika miji mbalimbali katika kukumbuka siku ya Ashura.
Habari ID: 3393538    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/25

Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesisitiza juu ya udharura wa kuendelezwa mapambano dhidi ya njama za Marekani, utawala ghasibu wa Israel na matakfiri katika Mashariki ya Kati.
Habari ID: 3393522    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/25

Kiongozi Muadhamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullahil Udhma Sayyid Ali Khamenei amesisitiza kuhusu kulindwa maslahi ya taifa la Iran katika utekelezwaji mapatano ya nyuklia kati ya Iran na madola sita makubwa duniani.
Habari ID: 3391463    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/21

Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekosoa sera za uharibifu za utawala wa Aal Saud na kusema kuwa hatua ya utawala huo ya kuishambulia nchi j iran i yake ni ya kichokozi na yenye kudhihirisha uistikbari wa utawala huo.
Habari ID: 3390838    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/20

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullahil Udhma Ali Khamenei amesema kuwa mustakbali wa Iran unang'ara na unaambatana na maendeleo, uwezo na ushawishi wa kila siku katika kanda hii na dunia nzima.
Habari ID: 3385744    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/15

Rais Hassan Rouhani wa Iran amesisitiza umuhimu wa kudhaminiwa usalama wa mahujaji katika ibada ya kila mwaka ya Hija.
Habari ID: 3385427    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/14

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullahil Udhma Sayyid Ali Khamenei amesema Shirika la Utangazaji la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran (IRIB) ni ngome hai na ya mstari wa mbele ya kukabiliana na vita laini.
Habari ID: 3384712    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/12

Baada ya kupita wiki mbili
Hatimaye baada ya kupita muda wa wiki mbili, Waziri wa Saudi Arabia anayehusika na Hija ametoa mkono wa pole kwa wananchi na serikali ya Iran kufuatia kuaga dunia Mahujaji wa Iran katika maafa ya Mina.
Habari ID: 3383364    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/09

Rais wa Iran na Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu wametoa ujumbe tofauti kufuatia kuuawa shahidi Brigedia Jenerali Hussein Hamedani katika vita dhidi ya magaidi na kutoa mkono wa pole kwa wananchi wa Iran.
Habari ID: 3383361    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/09

Imedokezwa kuwa Mfalme Salman bin Abdulaziz wa Saudi Arabia amelazwa hospitalini mjini Riyadh na sasa yuko katika hali mahututi.
Habari ID: 3382527    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/06

Maafa ya Mina
Mfalme Salman wa Saudi Arabia ametoa mkono wa pole kwa serikali na watu wa Iran kufuatia vifo vya Wa iran i katika maafa yaliyojiri Mina karibu na Makka wakati wa ibada ya Hija hivi karibuni.
Habari ID: 3377239    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/02

Maqarii wengine watatu wa Qur'ani Tukufu Wa iran i wametambuliwa kuwa miongoni mwa Mahujaji waliopoteza maisha katika maafa ya Mina Alhamisi wiki iliyopita.
Habari ID: 3377233    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/02

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa vikosi vya jeshi la Iran vinapaswa kuzidisha kasi ya maendeleo na kuzidisha utayarifu wake kwa kadiri kwamba, adui asithubutu hata kuwa na fikra ya kuihujumu Iran.
Habari ID: 3377230    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/02

Taasisi ya Hija na Ziara ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetoa taarifa rasmi ya takwimu za mwisho kuhusiana na Mahujaji wa Ki iran i waliopoteza maisha yao katika maafa ya Mina na kubainisha kwamba, Wa iran i 464 wamethibitishwa kufariki dunia katika tukio hilo chungu.
Habari ID: 3377110    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/01

Qarii mashuhuri na mtajika wa Misri, Ustadh Dkt. Abdul Fattah Tarouti ametuma salamu zake za rambi rambi kufuatia kurejea kwa Mola wao maqarii hao wawili wa kimataifa waliokuwa wakitekeleza ibada ya Hija katika eneo la Mina karibu na mji mtakatifu wa Makkah.
Habari ID: 3372198    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/09/27

Maqarii wa Qur'ani kutoka pembe mbali mbali duniani hasa Misri wanaendelea kuomboleza vifo vya maqarii wawili mashuhuri wa Iran waliokuwa wakitekeleza ibada ya Hija katika eneo la Mina karibu na mji mtakatifu wa Makkah.
Habari ID: 3372181    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/09/27

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei ametangaza siku tato za maombolezo ya kitaifa kufuatia vifo vya mamia ya mahujaji waliokuwa katika ibada ya Hija huko Mina, karibu na mji mtakatifu wa Makka.
Habari ID: 3367103    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/09/24

Rais Vladmir Putin wa Russia Jumatano amefungua msikiti mkuu wa Moscow ambao ni msikiti mkubwa zaidi barani Ulaya.
Habari ID: 3366927    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/09/24

Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran pamoja na Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu wametuma salamu za Idi kwa viongozi pamoja na wananchi wa mataifa ya Kiislamu kwa mnasaba wa kuwadia Idul-Adh’ha.
Habari ID: 3366926    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/09/24

Rais Hassan Rouhani
Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema mapema leo kuwa jeshi la ulinzi la taifa hili ni kikosi kikubwa zaidi cha kupambana na ugaidi duniani.
Habari ID: 3366347    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/09/22