muqawama - Ukurasa 2

IQNA

 IQNA - Qari wa Iran Seyed Sadeq Moslemi hivi karibuni alisoma aya za Qur'ani Tukufu kwa nia ya kuwezesha harakati ya muqawama (mapambano ya Kiislamu) ya Wapalestina ipate ishindi dhidi ya adui Mzayuni.
Habari ID: 3479632    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/22

Muqawama
IQNA-Ndege ya kivita isiyo na rubani ya harakati ya Hizbullah ya Lebanon imelenga makazi ya waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu huko Caesarea, kaskazini mwa Tel Aviv, baada ya kikosi cha anga za utawala huo kushindwa kuitungua.
Habari ID: 3479614    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/19

Muqawama
IQNA - Washiriki katika kongamano la mtandaoni lililofanyika leo wamesisitiza kuwa wanawake wa mregno wa muqawama au mapambano ya Kiislamu wataendelea kujitolea kwa ahadi yao ya kubaki imara kwenye njia ya Katibu Mkuu wa Hizbullah aliyeuawa shahidi Sayyid Hassan Narallah.
Habari ID: 3479598    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/15

Muqawama
IQNA - Balozi wa Yemen nchini Iran amesema taifa la Yemen litaendelea kuwa na msimamo thabiti katika kuunga mkono harakati za muqawama au mapambano ya Kiislamu huko Palestina na Lebanon.
Habari ID: 3479560    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/08

Muqawama
IQNA - Mchambuzi mashuhuri wa Lebanon anasema jinsi Iran inavyojibu kwa shambulio linalowezekana la Israel itaunda mustakabali wa eneo hilo.
Habari ID: 3479559    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/08

Watetezi wa Haki
IQNA – Harakati ya muqawama (mapambano ya Kiislamu) inapanuka na kupata nguvu zaidi siku baada ya siku, mwanazuoni wa Kiislamu nchini Iraq alisema.
Habari ID: 3479551    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/07

Waungaji mkono Palestina
IQNA - Idadi kubwa ya wanazuoni wa Kiislamu na wanaharakati wamewapongeza wanawake wa Kipalestina kwa jukumu lao katika kuongeza muqawama dhidi ya utawala katili wa Israel.
Habari ID: 3479458    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/20

IQNA-Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran inaunga mkono makubaliano yoyote ambayo yanakubaliwa na Wapalestina na muqawama .
Habari ID: 3479348    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/29

Kadhia ya Palestina
IQNA - Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran ambayo yalipata ushindi mwaka 1979 yalikuwa ni utangulizi wa mwamko wa Wapalestina, amesema mwanazuoni wa Lebanon.
Habari ID: 3478955    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/09

Siku ya Quds
IQNA-Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema mhimili wa muqawama una uhakika wa kupata "ushindi mkubwa" katika vita vyake vinavyoendelea dhidi ya utawala ghasibu wa Israel.
Habari ID: 3478636    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/06

Mapambano ya Kiislamu yaani Muqawama
IQNA - Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ( muqawama ) ya al-Nujaba ya Iraq amesema harakati hiyo itaendelea kulenga ngome za utawala wa Kizayuni kwa lengo la kuonyesha mshikamano na Palestina.
Habari ID: 3478414    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/26

TEHRAN (IQNA) –Wananchi wa jiji la Tehran wamekusanyika mbele ya ubalozi wa Palestina kusherehekea ushindi wa kihistoria waliopata wanapambano wa Palestina katika shambulio kubwa walilofanya jana Jumamosi dhidi ya Wazayuni.
Habari ID: 3477700    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/08

Muqawama
TEHRAN (IQNA) – Harakati ya Kiislamu ya Amal ya Lebanon imesisitiza haja ya umoja na mshikamano wa kitaifa nchini humo.
Habari ID: 3477042    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/05/25

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA)- Binti mmoja wa Palestina ametekeleza operesheni ya kishujaa ya kujitoa kufa shahidi ili kujibu jinai za mtawalia za wanajeshi makatili wa Israel na walowezi wa utawala huo pandikizi.
Habari ID: 3476959    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/05/05

Mapambano ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA) - Katibu Mkuu wa Harakati ya al-Umma ya Lebanon Sheikh Abdullah al-Jabri amepongeza nafasi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika mhimili wa muqawama au mapambano ya Kiislamu.
Habari ID: 3475779    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/13

Harakati ya Hizbullah
TEHRAN (IQNA) - Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesisitizia kwamba harakati hiyo daima imekuwa bega kwa bega na watu wanaodhulumiwa katika eneo la Asia Magharibi wakiwemo wa Yemen, Iraq na Afghanistan.
Habari ID: 3475666    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/23

Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon
TEHRAN (IQNA)- Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema, mojawapo ya matunda muhimu zaidi ya mhimili wa Muqawama au mapambano ya Kiislamu yalikuwa ni kuuzima mpango wa Marekani wa kuanzisha Mashariki ya Kati Mpya.
Habari ID: 3475500    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/14

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa, muqawama (mapambano ya Kiislamu) unaokua na kuzidi kupata nguvu katika eneo la Asia Magharibi umesambaratisha kiburi na majigambo ya ubeberu.
Habari ID: 3474937    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/17

TEHRAN (IQNA)- Matukio ya majuma mawili ya hivi karibuni nchini Afghanistan yameonyesha kuwa, makundi ya mapambano na muqawama katika eneo la Asia Magharibi yana nafasi muhimu katika kulinda mamlaka ya kujitawala pamoja na usalama wa mataifa yao.
Habari ID: 3474235    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/28

TEHRAN (IQNA)- Rais Bashar al Assad wa Syria amejiunga na mamillioni ya Wasyria katika kupiga kura katika uchaguzi wa rais nchini humo.
Habari ID: 3473948    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/26