soka

IQNA

IQNA – Gavana wa Dakahlia, nchini Misri, amemtunuku nakala ya Qur’ani Tukufu Imam Ashour, mchezaji wa timu ya taifa ya Misri na klabu ya Al-Ahly, ikiwa ni ishara ya kutambua juhudi zake katika Kombe la Dunia la mwaka 2026.
Habari ID: 3482508   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/07/19

IQNA – Mashindano ya Kombe la Dunia la 2026 yanafanyika kote Amerika Kaskazini, lakini “sauti” kuu ya michuano hiyo inayoimbwa bila shaka ni ile ya kuunga mkono Palestina.
Habari ID: 3482439   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/07/04

IQNA – Kisomo cha aya za Qur’an kilichofanywa na timu ya taifa ya Morocco kabla ya mikwaju ya penalti pamoja na sijda zao za shukrani baada ya ushindi dhidi ya Uholanzi katika hatua ya 32 Bora kimeenea kwa kasi katika mitandao ya kijamii duniani.
Habari ID: 3482425   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/07/01

IQNA – Meya Mwislamu wa Jiji la New York, Zohran Mamdani, siku ya Jumatano alipinga vikali mipango ya utawala wa Trump ya kuongeza uwepo wa maafisa wa Idara ya Uhamiaji, kwa kifupi ICE, jijini humo wakati wa mashindano ya Kombe la Dunia.
Habari ID: 3482345   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/06/10

IQNA – Akieleza sababu za kukataa uhamisho wa mchezaji kwenda klabu ya soka ya Israel ya Maccabi Tel Aviv, mmiliki wa klabu ya soka ya Poland ya  Pogon Szczecin ametolea mfano wa Ujerumani ya enzi za utawala wa Nazi.
Habari ID: 3482329   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/06/06

IQNA – Mchezaji wa Ufaransa, Sacha Bouy, alivutia hisia wakati wa sherehe za ubingwa wa Ligi ya Uturuki za klabu yake Galatasaray, alipohudhuria hafla ya kukabidhiwa kombe akiwa amebeba bendera ya Palestina.
Habari ID: 3482254   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/05/18

IQNA – Uamuzi wa nyota wa soka wa Hispania, Lamine Yamal, kupeperusha bendera ya Palestina wakati wa gwaride la ushindi wa Barcelona katika La Liga umeibua wimbi kubwa la uungwaji mkono duniani.
Habari ID: 3482237   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/05/13

IQNA – Kile kilichoanza kama mzaha wa kistaarabu wa “Siku ya Wajinga wa Aprili” hatimaye kimegeuka kuwa kashfa iliyoangusha uongozi wa rais wa klabu moja ya daraja la chini nchini Uhispania.
Habari ID: 3482141   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/04/15

IQNA – Licha ya kuonywa, baadhi ya wafuasi wa timu ya taifa ya Uhispania walisikika wakipaza kauli ya kudhalilisha Uislamu wakati wa sare ya Jumanne dhidi ya Misri—kitendo kilichomkasirisha mshambuliaji wa Barcelona, Lamine Yamal.
Habari ID: 3482111   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/04/01

IQNA – Winga chipukizi wa Klabu ya Soka ya Barcelona na Hispania, Lamine Yamal, amesema kutembelea msikiti humpa mtu utulivu wa kipekee bila kujali dini anayofuata.
Habari ID: 3481781   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/01/08

IQNA – Wachezaji wa timu ya taifa ya kandanda ya Misri wamesoma aya za Qur’ani Tukufu kwa sauti ya pamoja kabla ya mechi dhidi ya Zimbabwe katika michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON).
Habari ID: 3481714   Tarehe ya kuchapishwa : 2025/12/25

IQNA – Mkurugenzi wa michezo wa klabu ya soka ya Uhispania ya Real Valladolid amesoma aya kutoka kwenye Qur’ani Tukufu kumkaribisha mlinzi mpya wa klabu hiyo, mchezaji wa kimataifa kutoka Morocco, Mohamed Jaouab.
Habari ID: 3481125   Tarehe ya kuchapishwa : 2025/08/23

IQNA – Wachezaji wa soka Waislamu nchini Ufaransa wamepigwa marufuku kufunga wakati wa mwezi mtukufu wa Ramadhani wanapokuwa wakifanya mazoezi na timu ya taifa.
Habari ID: 3480302   Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/04

Michezo
IQNA - Chama cha Soka cha Uingereza (FA) kimeomba msamaha kwa mwanasoka mwanamke mwenye uraia pacha wa Uingereza - Somalia.
Habari ID: 3479684   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/02

Wanamichezo Waislamu
IQNA - Picha za mchezaji wa soka wa Tunisia akisoma Qur'ani ndani ya ndege zimesambaa kwenye mitandao ya kijamii.
Habari ID: 3479636   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/23

Wanamichezo Waislamu
RIYADH (IQNA) - Karim Mostafa Benzema, mwanasoka wa kulipwa wa Ufaransa ambaye anacheza kama mshambuliaji katika Klabu ya Al-Ittihad ya Ligi Kuu ya Saudia , alipokea zawadi ya nakala ya Qur'ani Tukufu kutoka kwa ripota wa Saudi.
Habari ID: 3477455   Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/18

Waislamu na michezo
TEHRAN (IQNA)- Mesut Ozil, mchezaji wa zamani wa timu ya taifa ya soka ya Ujerumani, alihudhuria sala ya Ijumaa katika Msikiti Mkuu wa Istiqlal katika mji mkuu wa Indonesia Jakarta.
Habari ID: 3475305   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/28

TEHRAN (IQNA)- Wiki za hivi karibuni nchini Uingereza, mshambuliaji Muislamu na Mwarabu wa Timu ya Soka ya Liverpool katika Ligi Kuu ya maarufu kama EPL amevuma kwa umahiri na dini yake.
Habari ID: 3471405   Tarehe ya kuchapishwa : 2018/02/26

Algeria imetaka waandalizi wa Kombe la Soka la Dunia 2014 kuwapa nakala za Qur’ani wachezaji na maafisa wa timu yake ya taifa.
Habari ID: 1399941   Tarehe ya kuchapishwa : 2014/04/26