iqna

IQNA

japan
Uislamu Japan
IQNA-Mwanaakademia wa Ki japan , Kayyim Naoki Yamamoto amesema, hisia za chuki dhidi ya Uislamu (Islamopobia) nchini Japan zinaongezeka tangu utawala haramu wa Kizayuni wa Israel ulipoanzisha vita vya kikatili na mashambulio ya kinyama dhidi ya Ukanda wa Ghaza Oktoba 7, 2023.
Habari ID: 3478466    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/07

Waislamu Japani
TEHRAN (IQNA) – Idadi ya misikiti imekuwa ikiongezeka nchini Japan katika miaka ya hivi karibuni kama vile idadi ya wafuasi wa Uislamu.
Habari ID: 3477048    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/05/26

Waislamu Japan
TEHRAN (IQNA)- Mtaa wa kifahari wa Yoyogi-Uehara katika wilaya ya Shibuyaj jijini Tokyo una jengo la aina yake ambalo ni msikiti mkubwa wenye rangi ya samawati.
Habari ID: 3475599    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/09

TEHRAN (IQNA)-Ingawa idadi ya Waislamu wa Japani inaendelea kuongezeka, kuna makaburi machache sana katika nchi hii, ambapo kuchoma maiti ni jambo la kawaida.
Habari ID: 3475239    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/12

TEHRAN (IQNA)- Waislamu wamesali Sala ya kwanza ya Ijumaa katika msikiti mpya ambayo umejengwa katika mtaa wa Nishi Kasai eneo la Edogawa mjini Tokyo Japan.
Habari ID: 3474309    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/18

TEHRAN (IQNA)- Msikiti wa Tokyo, Japan umeandaliwa kwa ajili ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani huku hatua zikichukuliwa kuzuia kuenea COVID-19.
Habari ID: 3473810    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/04/13

TEHRAN (IQNA)- Shirika la kimataifa la usafirishaji mizigo la Nippon Express la Japan limeanzisha huduma mpya ya usafirishaji mizigio ambayo inazingatia mafundisho ya Uislamu na hivyo imepewa anuani ya 'Halal'.
Habari ID: 3473744    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/17

TEHRAN (IQNA) – Idadi ya Waislamu wanaoishi nchini Japan, ingawa ni ndogo, imeongezeka maradufu katika muongo moja uliopita kutoka 110,000 mwaka 2010 hadi 230,000 mwishoni mwa mwaka 2019.
Habari ID: 3473661    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/02/18

TEHRAN (IQNA) – Klipu ya tilawa ya Qur'ani Tukufu ya Qarii kutoka Japan imeenea katika mitandao ya kijamii.
Habari ID: 3473091    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/22

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA) - Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa mauaji ya watu laki moja katika shambulizi la bomu la nyuklia la Marekani huko Hiroshima ni kielelezo cha tabia na hulka ya kibeberu ya jeshi la nchi hiyo na utovu wa maadili na dini wa Marekani.
Habari ID: 3473043    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/07

Rais wa Iran katika mazungumzo ya simu na Waziri Mkuu wa Japan
TEHRAN (IQNA)- Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: "Hakuna njia nyingine ya kukabiliana kwa mafanikio na corona isipokuwa kushirikiana nchi zote"
Habari ID: 3472737    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/05

TEHRAN (IQNA) –Malaysia imepewa jukumu la kutayarisha chakula halali, ambacho kimetayarishwa kwa mujibu wa mafundisho ya Kiislamu, kwa ajili ya michezo ya Olimpiki ya Tokyo 2020.
Habari ID: 3472477    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/02/16

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema: "Jamhuri ya Kiislamu ya Iran haiimaini Marekani hata kidogo na uzoefu mchungu wa mazungumzo yaliyotangulia na Marekani katika fremu ya JCPOA kamwe hautarudiwa tena kwani hakuna taifa lolote huru na lenye akili litakubali kufanya mazungumzo chini ya mashinikizo."
Habari ID: 3472000    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/06/13

TEHRAN (IQNA)-Kufuatia ongezeko la wageni Waislamu nchini Japan, vyumba vya Sala vya Waislamu vinawekwa katika maeneo mengi ya kibiasahra kote katika nchi hiyo.
Habari ID: 3471851    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/02/24

TEHRAN (IQNA)- Mji wa Osaka, Japan umeimarisha mikakati yake ya kusambaza bidhaa na huduma halali kwa lengo la kuwavutia watalii na wafanyabiashara Waislamu.
Habari ID: 3471753    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/11/27

TEHRAN (IQNA)- Japan imezindua 'misikiti inayotembea' ambayo itatumika katika Michezo ya Olimpiki na Paralimpiki Tokyo mwaka 2020.
Habari ID: 3471611    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/07/29

TEHRAN (IQNA)- Shirika moja la reli nchini Japan limejenga vyumba vya Waislamu kuswali katika moja ya vituo vyake muhimu.
Habari ID: 3471489    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/04/30

TEHRAN (IQNA) – Katika nchi za Kiislamu kwa kawaida huwa huwa hakuna tatizo kupata chakula au bidhaa halali.
Habari ID: 3471432    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/03/18

TEHRAN (IQNA)- Kuna mpango wa kutumia 'Misikiti itembeayo' katika michezo ya Olympiki na Paralimpiki mjini Tokyo, Japan mwaka 2020 kwa lengo la kuwasahilishia Waislamu ibada.
Habari ID: 3471398    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/02/20

TEHRAN (IQNA)-Japan inaibuka kama nchi yenye watalii wengi Waislamu kutokana na huduma inazotoa kwa mujibu wa mafundisho ya Kiislamu hasa chakula halali.
Habari ID: 3471228    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/10/23