IQNA – Kituo cha Dar‑ul‑Qur'an cha Wanawake, kinachohusiana na Idara ya Usimamizi wa Haram Tukufu ya Imam Ali (AS), kinaandaa mashindano ya Qur'ani Tukufu kwa wasichana wadogo katika mji mtukufu wa Najaf.
Habari ID: 3482003 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/02/27
IQNA – Mkutano wa kwanza wa kimataifa wa kisayansi wa kuadhimisha milenia (miaka 1000) ya *Hawza ya Najaf umetangaza mapendekezo yake, ukisisitiza haja ya kuangazia nafasi ya wanazuoni na shakhsia za hawza hiyo katika historia ya fikra za Kiislamu.
Habari ID: 3481934 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/02/14
IQNA – Baraza la Kisayansi la Qur’ani Tukufu chini ya Idara ya Usimamizi wa Haram Takatifu ya Hadhrat Abbas (AS) liliandaa kikao maalumu cha Qur’ani mjini Najaf kwa mnasaba wa maadhimisho ya kuzaliwa kwa Imam Zaman (Mwenyezi Mungu aharakishe kudhihiri kwake kwa heri).
Habari ID: 3481896 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/02/07
IQNA – Uwanja wa Haram Tukufu ya Imam Ali (AS) mjini Najaf, Iraq, leo tarehe 28 Disemba 2025 umeshuhudia hafla ya kupandisha bendera maalum.
Habari ID: 3481728 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/12/28
IQNA-Kiongozi wa idara ya nakala za maandiko ya Maktaba ya Al-Rawdha Al-Haidriya, iliyo ndani ya Haram ya Imam Ali (AS) nchini Iraq, amesema kuwa maktaba hii imejulikana kwa wingi na utofauti wa hazina zake za kidini na kisayansi, na imekuwa miongoni mwa maktaba mashuhuri zaidi.
Habari ID: 3481709 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/12/24
IQNA – Eneo mpya katika Haram Tukufu ya Imam Ali (AS) mjini Najaf, ambalo linatambuliwa kwa ukubwa wake wa kipekee na sifa bainifu za usanifu wa Kiislamu, umezinduliwa rasmi Jumanne huko Najaf, Iraq.
Habari ID: 3481681 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/12/19
IQNA – Haram Tukufu ya Imam Ali (AS) mjini Najaf imefunikwa kwa vitambaa vyeusi ikiwa ni sehemu ya maandalizi makubwa ya kumbukumbu ya Wafat au kufariki kwa Mtume Muhammad (SAW) itakayoadhimishwa Ijumaa, tarehe 28 Safar.
Habari ID: 3481114 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/08/20
IQNA – Jukwaa la Kielimu la Qur’ani Tukufu, linalohusiana na Astan (uwakilishi wa ulinzi na usimamizi) wa Haram ya Hazrat Abbas (AS), linaandaa programu za Qur’ani na kutoa huduma za kijamii kwa wafanyaziyara wa Arbaeen mjini Najaf.
Habari ID: 3481081 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/08/13
IQNA – Idara ya Masuala ya Wanawake ya Taasisi ya Haram Tukufu ya Imam Ali (AS) imeandaa mipango kabambe ya kuwahudumia wafanyaziyara wa kike katika msimu huu wa ziara ya Arbaeen.
Habari ID: 3481032 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/08/02
IQNA – Haram Tukufu ya Imam Ali (AS) iliyopo Najaf, Iraq, imetangaza kuwa inaendelea na maandalizi makubwa kwa ajili ya kuwapokea Wafanyaziyara wengi wanaotarajiwa kufika kwa ziyara ya Arbaeen ijayo.
Habari ID: 3480996 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/07/25
IQNA – Haram Tukufu ya Imam Ali (Alayhis Salaam) huko Najaf, Iraq, kwa sasa inashuhudia wingi mkubwa wa wafanyaziara na waombolezaji kuadhimisha kuingia kwa mwezi wa Muharram, ambao ulianza Ijumaa, tarehe 27 Juni.
Habari ID: 3480871 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/06/29
IQNA – Mwanazuoni Mwandamizi wa Kiislamu kutoka Iran Ayatullah Abdollah Javadi Amoli amesema Qur'ani na Ahl al-Bayt bado ni nguzo kuu za umoja kati ya Waislamu.
Habari ID: 3480662 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/10
Qur'ani Tukufu
IQNA – Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani yanaendelea katika mji mtakatifu wa Najaf, Iraq, yakishirikisha wanafunzi wa Vyuo Vikuu vya Kiislamu (Hauza) au seminari kutoka nchi 10 za Kiislamu.
Habari ID: 3480078 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/19
IQNA – Katika kusherehekea siku ya kuzaliwa kwa Imam Ali (AS), mjumuiko wa Qur'ani umefanyika katika Haram au kaburi takatifu la Imam Ali (AS) huko Najaf, Iraq kwa hisani ya kituo cha Dar al-Quran katika eneo hilo takatifu.
Habari ID: 3480045 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/13
Turathi za Kiislamu
IQNA – Maonyesho ya kimataifa katika Haram ya Imam Ali (AS) huko Najaf yanaonyesha kazi za sanaa zaidi ya 300 kwa ajili ya kusherehekea kuzaliwa kwa imam huyo.
Habari ID: 3480042 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/12
Harakati za Qur'ani
IQNA – Idara ya Mfawidhi wa Haram Takatifu ya Hadhrat Abbas (AS) inaandaa vikao vya Qur'ani katika mji mtakatifu wa Najaf, Iraq.
Habari ID: 3479687 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/02
Jinai
IQNA - Nyumba ya Hujjatul Islam Sayyid Sadreddin Al-Qabanchi, Imamu wa Swala ya Ijumaa ya mji mtakatifu wa Najaf nchini Iraq, imeshambuliwa leo.
Habari ID: 3479670 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/30
Mashindano ya Qur'ani
IQNA – Toleo la tano la Mashindano ya Qur’ani yaliyofanyika katika mji mtakatifu wa Najaf, Iraq, lilifikia tamati katika sherehe zilizofanyika wikendi.
Habari ID: 3479416 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/11
Najaf
IQNA – Idara ya Mfawidhi wa Haram ya Imam Ali (AS) huko Najaf, Iraq, iliweka idadi ya wafanyaziara waliozuru kaburi hilo tukufu katika siku ya 28 ya mwezi wa Hijri wa Safar kuwa karibu milioni 5.
Habari ID: 3479377 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/03
Harakati za Qur'ani
IQNA - Vituo vinne vya Qur'ani vimewekwa kwenye barabara zinazoelekea mji mtakatifu wa Najaf, Iraq.
Habari ID: 3479369 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/02