iqna

IQNA

IQNA: Qur’ani Tukufu ina maarifa ya kimataifa yanayopaswa kufafanuliwa, na ujumbe wake unapaswa kuwasilishwa kwa ulimwengu mzima, amesema Hujjatul Islam Mohsen Qara’ati, mwanazuoni wa Kiislamu na mtafsiri wa Qur’ani kutoka Iran.
Habari ID: 3480759    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/30

IQNA – Hafla maalum ya Qur'ani imefanyika jijini Dar es Salaam, Tanzania, ikiweka pamoja Waislamu ambao wamewasikiliza Maqari mashuhuri kutoka Iran waliotambulika kupitia kipindi maarufu cha televisheni cha Mahfel.
Habari ID: 3480754    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/28

IQNA-Kongamano kubwa la Qur'ani Tukufu limefanyika jana Jumapili , Dar es Salaam Tanzania huku viongozi wa dini mbalimbali chini ya kauli mbiu 'Sauti ya Rehema'.
Habari ID: 3480744    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/26

IQNA-Kongamano kubwa na la aina yake la Qur'ani Tukufu imefanyika katika mji wa pwani wa Tanga nchini Tanzania na kuwavutia hadhirina kutokana na usomaji wa kipekee wa Tajweed na wa kupendeza.
Habari ID: 3480738    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/25

IQNA – Toleo la 30 la Tamasha la Kimataifa la Qur'ani na Hadithi la Al-Mustafa limehitimishwa nchini Tanzania kwa hafla maalum ya kufunga, ambapo washiriki bora wa tukio hilo walitunukiwa.
Habari ID: 3480729    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/24

IQNA- Katika hafla ya kipekee iliyofanyika pembezoni mwa Kongamano la 30 la Qur'an Tukufu, lililofanyika katika Ukumbi wa Mikutano ya Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere (JNICC), Jijini Dar es Salaam, Tanzania, Tafsiri mpya ya Qur’an Tukufu kwa lugha ya Kiswahili imezinduliwa rasmi.
Habari ID: 3480722    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/22

IQNA- Kongamano la 30 la Qur’an Tukufu na Hadithi limefanyika kwa mafanikio makubwa Jijini Dar-es-Salaam - Tanzania, likiwakutanisha wasomaji mahiri wa Qur’an kutoka nchini Iran na ndani ya Tanzania..
Habari ID: 3480721    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/22

IQNA – Maqari mashuhuri wa Qur'ani kutoka Iran wanatarajiwa kuzuru Tanzania kushiriki katika kongamano kubwa la kimataifa la Qur'ani litakalofanyika jijini Dar es Salaam.
Habari ID: 3480676    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/12

IQNA – Mashindano ya Qur'ani nchini Tanzania hivi karibuni yalimalizika katika hafla mbili, moja kwa wanaume na nyingine kwa wanawake, ambapo washindi wa juu katika makundi tofauti walitunukiwa zawadi. 
Habari ID: 3480390    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/17

IQNA: Nchini Tanzania, kusadifiana kwa Ramadhani na Kwaresima kwa wakati mmoja kumewaleta Waislamu na Wakristo pamoja, wakishiriki kufunga na kutafakari.
Habari ID: 3480364    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/13

IQNA – Washindi wa Mashindano ya 33 ya Kimataifa ya Tuzo ya Qur'ani Tukufu Tanzania walitangazwa wakati wa hafla ya kufunga mashindano hayo jijini Dar es Salaam.
Habari ID: 3480263    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/02/24

IQNA – Mashindano ya 33 ya Kimataifa ya Quran nchini Tanzania yalianza jana katika taifa hilo la Afrika Mashariki, yakiwa na washiriki kutoka nchi 25.
Habari ID: 3480248    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/02/21

IQNA – Semina ya kitamaduni na kielimu iliyopewa jina “Utangulizi wa Mafanikio ya Mapinduzi ya Kiislamu katika Nyanja ya Wanawake” iliandaliwa jijini Dar es Salaam, Tanzania, Jumatatu.
Habari ID: 3480205    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/02/12

Mashindano ya Qur'ani
IQNA – Mashindano ya kuhifadhi sura fupi za Qur'ani Tukufu kwa watoto wadogo yalihitimishwa kwa hafla ya kufunga nchini Tanzania. 
Habari ID: 3480047    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/13

Mashindano ya Qur'ani
Mashindano ya 21 ya Kimataifa ya Usomaji wa Qur'ani Tukufu yatafanyika Machi mwaka huu katika jiji la Dar es Salaam, Tanzania.
Habari ID: 3479996    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/03

Diplomasia ya Qurani
IQNA-Sheikh Mkuu na Mufti wa Tanzania ameipongeza Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa uamuzi wake wa kuanzisha Akademia ya Qur'ani jijini Dar al-Nur na kuahidi kutoa ushirikiano unaohitajika katika uwanja huo.
Habari ID: 3479865    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/06

Harakati za Qur'ani
IQNA - Kituo cha Qur'ani kinachoitwa  Akademia ya Qur'ani ya Dar An-Nur kitazinduliwa Dar es Salaam, jiji kubwa zaidi la Tanzania, hivi karibuni.
Habari ID: 3479827    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/30

Utamaduni
IQNA-Ofisi ya Mwambata wa Utamaduni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Tanzania imtayarisha na kuchapisha kitabu cha "Kabila la Washirazi Tanzania".
Habari ID: 3479784    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/20

Mashindano ya Qur'ani
IQNA-Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Samia Suluhu Hassan, jana Agosti 31, 2024 alishiriki katika hafla ya kufunga Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu kwa wanawake na washichana yaliyofanyika jijini Dar es Salaam.
Habari ID: 3479364    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/01

Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Mashindano ya Qur'ani kwa wanawake yamefanika katika mji wa Dar es Salaam, Tanzania wikiendi iliyopita.
Habari ID: 3479280    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/14