TEHRAN (IQNA)- Mahafali ya kuhitimu mamia ya wanafunzi walioifadhi Qur'ani Tukufu imefanyika kaskazini mashariki mwa Uturuki katika mkoa wa Rize.
Habari ID: 3474668 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/12
TEHRAN (IQNA)- Qarii wa kimataifa wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Mahdi Ghulamnejad amesambaza klipu inayomuonyesha yeye na mwanae wakisoma pamoja sehemu ya Sura Al Balad katika Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3474636 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/04
TEHRAN (IQNA) – Mwanae qarii mashuhuri wa Qur’ani kutoka Misri Sheikh Abdul Basit Abdulswamad amesema baba yake alikuwa na sauti ambayo mbali na Waislamu inawavutia pia wasiokuwa Waislamu.
Habari ID: 3474626 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/01
Leo katika historia
TEHRAN (IQNA)- atika siku kama ya leo miaka 33 iliyopita, aliaga dunia katika mji wa Cairo Misri, Sheikh Abdul-Basit Abdul-Samad, mmoja wa waalimu na maqarii wakubwa wa Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3474621 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/30
TEHRAN (IQNA)- Katika mitandao ya kijamii kumesambaa kilpu ya Qarii Abdullah Khaled wa Pakistan akiwa anasoma aya za Surah Ibrahim.
Habari ID: 3474610 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/28
TEHRAN (IQNA)- Warsh ya kujadili 'Hali ya Qiraa na Tajwid ya Qur'ani Tukufu Barani Afrika' imepangwa kufanyika wiki ijayo kwa njia ya intaneti.
Habari ID: 3474600 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/25
TEHRAN (IQNA)- Taha Ezzat ni kijana mwenye umri wa miaka 17 kutoka mkoa wa El Beheira Misri na amepata umashuhuri Misri na duniania kutokana na qiraa yake ya Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3474594 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/23
TEHRAN (IQNA)- Vituo vya kuwafunza waalimu wa Qur'ani nchini Misri vinatazamiwa kuanza tena shughuli zao baada ya kufungwa kwa mwaka moja.
Habari ID: 3474579 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/19
TEHRAN (IQNA)- Lugha ya Kalenjin nchini Kenya inakadiriwa kuwa na wazungumzaji milioni 6.3 na sasa jamii hiyo kubwa kwa mara ya kwanza imepata Qur'ani Tukufu iliyotarjumiwa kwa lugha yao.
Habari ID: 3474557 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/14
TEHRAN (IQNA)- Dini tukufu ya Kiislamu inawahimiza waumini kujiepusha na israfu hasa katika chakula kwani huku Waislamu wakiwa kuwasaidia wasiojiweza katika jamii.
Habari ID: 3474554 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/14
TEHRAN (IQNA)- Mashindano ya Qur'ani Tukufu kwa ajili ya watoto Wapalestina yameanza Jumatano katika mji wa Quds (Jerusalem) na Ukingo wa Magharibi.
Habari ID: 3474543 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/11
TEHRAN (IQNA)- Naibu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Al Azhar nchini Misri amewaenzi na kuwatunuku zawadi wanafunzi walioshika nafasi za juu katika mashindano ya hivi karibu ya Qiraa ya Qur'ani Tukufu na Ibtihal.
Habari ID: 3474540 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/11
TEHRAN (IQNA)- Televisheni moja ya Misri inayorusha matangazo kwa njia ya sataliti ina kipindi maalumu ambacho kinajumuisha qiraa ya Qur'ani tukufu ya wasomoaji kutoka nchi mbali mbali.
Habari ID: 3474532 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/09
TEHRAN (IQNA)- Wasomaji wawili maarufu wa Qur'ani Iraq, Ali Al Khafafi na Hani al Khazali hivi karibuni wamesambaza klipu wakiwa wanasoma Sura Al Fatiha na Sura Ad Dhuha kwa mbinu ya Lami Maqam
Habari ID: 3474531 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/09
TEHRAN (IQNA)- Msikiti wa Kituo cha Kiislamu cha Al Azhar umeanza tena vdarsa za Qur'ani za kuhudhuria ana kwa ana baada ya marufuku yam waka moja na nusu kutokana na janga la COVID-19.
Habari ID: 3474513 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/04
TEHRAN (IQNA)-Kituo cha Qur’ani Tukufu kinachofungamana na Idara ya Mfawidhi wa Haram Takatifu ya Imam Ali AS huko Najaf, Iraq kimeandaa mafunzo ya Qur’ani kwa ajili ya wanawake.
Habari ID: 3474501 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/01
TEHRAN (IQNA)- Wizara ya Wakfu na Masuala ya Kiislamu Qatar imesema wanafunzi wa kiume wanaweza kurejea tena katika vituo vya kufunza Qur'ani Tukufu misikitini kuanzia Novemba Mosi.
Habari ID: 3474492 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/30
TEHRAN (IQNA)- Sherehe kubwa imefanyika Jumatano usiku katika Ukanda wa Ghaza huko Palestina kuwaenzi wasichana na wavulana 1,000 ambao wamehifadhi Qur'ani hivi karibuni.
Habari ID: 3474489 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/29
TEHRAN (IQNA)- Msomi wa Kiislamu nchini Misri amesema Uislamu unalipa umuhimu mkubwa suala la kulinda maeneo ya ibada hata yale ambayo si ya Waislamu.
Habari ID: 3474470 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/25
TEHRAN (IQNA)- Qarii Mashuhuri wa Misri Sheikh Mahmoud Shahat hivi karibuni alisoma aya za Qur’ani katika sherehe iliyofanyika kwa mnasaba wa Milad un Nabi au maadhimisha ya kukumbuka kuzaliwa Mtume Muhammad SAW.
Habari ID: 3474466 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/24