TEHRAN (IQNA)- Msahafu ambao umetajwa kuwa mkubwa zaidi duniani utaonyeshwa katika maonyesho ya Expo 2020 Dubai ambaye yanatazamiwa kuanza mjini humo baadaye mwezi Oktoba.
Habari ID: 3474242 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/31
TEHRAN (IQNA)- Idara ya Masuala ya Kidini Katika Ofisi ya Rais wa Uturuki (Diyanet) imetangaza kuwa karibu watoto milioni 2 walifaulu katika kozi za kuhifadhi Quran zilizofanyika kote nchini.
Habari ID: 3474226 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/25
TEHRAN (IQNA) - Mkurugenzi mpya wa Idhaa ya Qur'ani ya Radio ya Misri alisema programu maalum itarushwa na idhaa hiyo siku za usoni ambayo inaangazia qiraa nadra za Qur'ani ambazo ni za wasomaji Wamisri.
Habari ID: 3474222 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/24
TEHRAN (IQNA)- Sheikh Sultan Bin Mohammed Al Qasimi, Mjumbe wa Baraza Kuu la Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) na Mtawala wa Sharjah, amekabidhi nakala nne nadra za nakala za Qur'ani Tukufu kwa Akademia ya Qur'ani Tukufu mjini Sharjah.
Habari ID: 3474220 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/23
TEHRAN (IQNA) - Kikao cha kusoma Qur'ani Tukufu kitafanyika Alfajiri ya Siku ya Ashura katika msikitini katika eneo la Rey mjini Tehran.
Habari ID: 3474199 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/17
TEHRAN (IQNA) - Shughuli za juu za Qur'ani za Waislamu wa madhehebu ya Shia katika sehemu tofauti za ulimwengu zimearifishwa katika sherehe ya kufunga toleo la kwanza la "Tuzo ya Ulimwengu 114".
Habari ID: 3474180 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/11
TEHRAN (IQNA) - Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Vijana, Michezo nchini Mauritania ametangaza kufunguliwa vituo vya kurekodi na kusambaza qiraa ya Qur'ani Tukufu kwa sauti ya wasomaji wa Mauritania.
Habari ID: 3474169 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/07
TEHRAN (IQNA)- Waziri wa Wakfu nchini Sudan amesisitiza umuhimu wa kufundisha sayansi ya dini na ufahamu wa Qur'ani shuleni.
Habari ID: 3474158 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/04
TEHRAN (IQNA)- Binti mmoja nchini Misri ambaye sasa ana umri wa miaka 11 aliweza kuhifadhi Qur’ani Tukufu kikamilifu akiwa na umri wa miaka 7.
Habari ID: 3474152 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/02
TEHRAN (IQNA) – Tarjuma za Qurani Tukufu kwa lugha za Kiswahili na Kiindonesia ni kati ya vitaby vipya ambavyo vimewasilishwa katika Maoneysho ya Kimataifa ya Vitabu ya Cairo.
Habari ID: 3474093 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/12
TEHRAN (IQNA) - Kongamano la 14 la Umoja wa Kiislamu limefanyika London, Uingereza Ijumaa Julai 9.
Habari ID: 3474088 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/10
TEHRAN (IQNA)- Wizara ya Masuala ya Kidini Algeria imeandaa darsa maalumu ya kuhifadhi Qur'ani kwa njia ya intaneti.
Habari ID: 3474081 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/08
TEHRAN (IQNA)- Qarii Yassri al Araq wa Iraq hivi karibuni alisoma aya za Qur’ani katika sherehe za kuadhimisha kuanzishwa Jeshi la Kujitolea la Wananchi maarufu kama al Hashd al Shaabi.
Habari ID: 3474078 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/07
TEHRAN (IQNA)- Chuo Kikuu cha Al Azhar kimewatunuku Qur'ani Tukufu wageni katika Maonyesho ya 52 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Cairo, Misri.
Habari ID: 3474072 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/05
TEHRAN (IQNA)- Idara ya Mfawidhi wa Haram ya Hadhrat Abbas AS huko Karbala, Iraq imeandaa warsha ya qiraa ya Qur'ani Tukufu kwa ajili ya wanafunzi Waafrika wanaosoma katika vyuo vya Kiislamu (Hawza) mjini humo.
Habari ID: 3474060 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/01
TEHRAN (IQNA)- Kumekuwa na ongezeko la asilimi 20 la Misahafu iliyochapishwa nchini Iran katika mwaka huu wa Kiirani wa Hijria Shamsia ulioanza Machi 21.
Habari ID: 3474034 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/06/23
TEHRAN (IQNA)- Wizara ya Masuala ya Kiislamu katika Ufalme wa Saudi Arabia imetangaza ksambaza nakala milioni moja za Qur'ani Tukufu ambazo zimetarjumiwa kwa lugha 10.
Habari ID: 3474000 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/06/12
TEHRAN (IQNA) – Mp3Quran ni tovuti kubwa zaidi ya kupakua au kudownload tilawa ya Qur'ani Tukufu ya wasomaji mbali mbali duniani.
Habari ID: 3473991 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/06/09
TEHRAN (IQNA)- Aplikesheni mpya ya Qur'ani iliyopewa jina la 'Ayatul Ahkam' imezinduliwa hivi karibuni nchini Kuwait.
Habari ID: 3473990 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/06/08
TEHRAN (IQNA)- Washindi wa mashindano ya Qur’ani yaliyofanyika hivi karibuni nchini Uganda wametunukiwa zawadi.
Habari ID: 3473966 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/31