TEHRAN (IQNA)-Wafungwa 2,950 katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) wamepunguziwa vifungo vyao baada ya kuhifadhi Qur’ani.
Habari ID: 3471302 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/12/10
TEHRAN (IQNA)-Zaidi ya wanawake 7,000 wanashiriki katika awamu ya 11 ya Mashindano ya Kitaifa ya Qur'ani kwa wanawake mjini Tehran.
Habari ID: 3471301 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/12/09
TEHRAN (IQNA)-Kuna madrassah za Qur'ani zipatazo 14,000 nchini Morocco ambazo zinatoa mafunzo ya Qur'ani kwa wanafunzi 450,000 ambapo asilimia 40 kati yao ni wanawake.
Habari ID: 3471294 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/12/04
TEHRAN (IQNA)- Maimamu na wahubiri wa Kiislamu barani Ulaya wameshiriki katika mkutano wa siku moja mjini Brussels Ubelgiji kwa kusisitiza kuhusu ujumbe wa amani wa Qur’ani Tukufu kwa wanadamu wote.
Habari ID: 3471284 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/11/27
TEHRAN (IQNA)-Baba nchini Saudi Arabia amemsamehe muuaji wa mwanae kwa sharti kuwa ahifadhi Qur'ani kikamilifu.
Habari ID: 3471265 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/11/16
TEHRAN (IQNA)-Mkutano wa pili wa kimataifa kuhusu qiraa au usomaji wa Qur’ani Tukufu umefanyika katika mji wa Istanbul, Uturuki.
Habari ID: 3471252 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/11/07
TEHRAN (IQNA)-Tamasha la 'Waumini wa Qur'ani Tukufu na Ukombozi wa Msikiti wa Al Aqsa' limefanyika katika Msikiti wa Ammar ibn Yasir katika eneo la Palestina la Ukanda wa Ghaza.
Habari ID: 3471245 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/11/03
TEHRAN (IQNA)-Waislamu nchini Somalia hivi karibuni wameshiriki katika khitma ya Qur’ani Tukufu ya mwalimu maarufu wa Qur’ani nchini humo.
Habari ID: 3471227 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/10/22
TEHRAN (IQNA)-Idadi kubwa ya nakala za Qur'ani zimepatikana hivi karibuni zikiwa zimetupwa katika mtaro wa maji taka katika mtaa mmoja katika mji wa Taif, Saudi Arabia.
Habari ID: 3471224 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/10/21
TEHRAN (IQNA)-Daktari Ahmed Ahmed Nuaina ni Qarii mashuhuri wa Qur'ani Misri na anatambuliwa kuwa miongoni wasomaji bora wa Qur'ani nchini humo.
Habari ID: 3471222 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/10/19
TEHRAN (IQNA)-Taasisi ya Misaada ya Qatar imesambaza nakala 4,000 za Qur'ani Tukufu zenye hati ya Braille ambayo hutumiwa na watu wenye ulemavu wa macho.
Habari ID: 3471220 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/10/17
TEHRAN (IQNA)-Waziri wa Waqfu na Masuala ya Kiislamu Misri Sheikh Mohamed Mokhtar Gomaa amesema wizara yake itaanzisha shule za Qur’ani katika misikiti yote mikubwa nchini humo.
Habari ID: 3471193 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/09/26
TEHRAN (IQNA)-Mama Muirani na watoto wake mapacha wamefanikiwa kuhifadhi Qur’ani kikamilifu.
Habari ID: 3471183 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/09/19
TEHRAN (IQNA)-Mwanasiasa wa cha chama cha Democrats nchini Sweden amewakasirisha wengi kwa kuivunjia heshima Qur’ani Tukufu.
Habari ID: 3471165 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/09/10
Watu zaidi ya milioni 15 kote Iran wameshiriki katika mpango wa kitaifa wa kusoma Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3471152 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/09/02
TEHRAN (IQNA)- Oman imepanga kuanzisha mafunzo ya kusoma Qur’ani Tukufu kupitia intaneti kwa Waislamu wote.
Habari ID: 3471112 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/08/08
TEHRAN (IQNA)- Mashindano ya Qur'ani Tukufu barani Ulaya yamepwanga kufanyika katika mji mkuu wa Sweden, Stockholm kwa munasaba wa Siku Kuu ya Idul Ghadir.
Habari ID: 3471108 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/08/06
TEHRAN (IQNA)-Hassan Rouhani jioni ya leo amekula kiapo cha kuwa rais wa 7 wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa kipindi kingine cha miaka minne kwa kuahidi mbele ya Qur'ani tukufu kwamba atalinda Uislamu, Mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu na Katiba ya nchi.
Habari ID: 3471106 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/08/05
Inna Lillah wa Inna Ilahyi Rajioun
TEHRAN (IQNA)-Qarii (msomaji) mashuhuri wa Qur’ani Tukufu kutoka Misri, Sheikh Mohammad Abdul Wahhab el-Tantawi ameaga dunia akiwa na umri wa zaidi ya miaka 70.
Habari ID: 3471089 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/07/27
TEHRAN (IQNA)-Qarii (msomaji) mashuhuri wa Qur’ani Tukufu nchini Uturuki, Sheikh Abdullah Hatipoglu aliaga dunia Jumapili akiwa na umri wa miaka 88.
Habari ID: 3471086 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/07/26