qurani tukufu - Ukurasa 81

IQNA

Ayatullah Nouri Hamedani
TEHRAN (IQNA)- Mwanazuoni wa ngazi za juu katika Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kuivunjia heshima Qur'ani Tukufu ni njama za vituo vya kifikra vya Utawala wa Kizayuni wa Israel na Marekani katika fremu ya kueneza chuki na hofu dhidi ya Uislamu.
Habari ID: 3473142    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/06

TEHRAN (IQNA) – Qarii mashuhuri wa Iran Saeed Parvizi hivi karibuni alisoma aya za Sura al-Kahf za Qur’ani Tukufu.
Habari ID: 3473138    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/05

TEHRAN (IQNA) - Jumuiya ya Walimu wa Chuo Kikuu cha Kidini (Hawza) cha Qum hapa Iran imelaani vikali kuvunjiwa heshima matukufu ya Qur'ani Tukufu na Mtume Muhammad SAW na kusisitiza kuwa, kuivunjia heshima Qur'ani Tukufu kwa kisingizio cha uhuru wa itikadi kwa hakika ni kuukata roho uhuru huo na kungamiza kijinai, itakadi ya watu.
Habari ID: 3473137    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/04

TEHRAN (IQNA) –Kituo Jumuishi cha Kufunza Qur’ani (IQE) kimefunguliwa katika jimbo la Niger nchini Nigeria.
Habari ID: 3473133    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/03

TEHRAN (IQNA) – Klipu ya sauti ya qiraa ya Qarii Muirani Ustadh Kabir Qalandzadeh akisoma aya za Sura Sabah ya Qur’ani Tukufu imesambazwa katika mitandao ya kijamii.
Habari ID: 3473116    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/29

TEHRAN (IQNA) – Maandamano makubwa yameibuka kusini mwa Sweden Ijumaa usiku baada ya mwanasiasa wa Denmark anayepinga Uislamu kuzuiwa kuhudhuria hafla ya kuivunjia heshima Qur’ani Tukufu.
Habari ID: 3473115    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/29

TEHRAN (IQNA) – Qarii mashuhuri wa Misri, Mahmodu Shahat Anwar hivi karibuni alisoma aya za Qur'ani akiwa safarini katika jimbo la Dakahlia nchini humo.
Habari ID: 3473109    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/27

TEHRAN (IQNA) – Klipu ya tilawa ya Qur'ani Tukufu ya Qarii kutoka Japan imeenea katika mitandao ya kijamii.
Habari ID: 3473091    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/22

TEHRAN (IQNA) – Klipu hii inamuonyesha qarii wa Misri Mahamoud Shahat Anwar akisoma baadhi ya aya za Surat Al-A'la za Qur'ani Tukufu bila kupumua mwaka 2016.
Habari ID: 3473070    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/15

TEHRAN (IQNA) – Klipu ya Qur’ani Tukufu ya moto Muafrika akisoma Qur’ani Tukufu kwa ustadi imesambaa katika mitandao ya kijamii.
Habari ID: 3473059    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/12

TEHRAN (IQNA) – Sheikh Muhammad al-Toukhi alikuwa qarii mashuhuri wa Qur'ani Tukufu kutoka Misri.
Habari ID: 3473041    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/06

TEHRAN (IQNA)- Qari maarufu wa Misri, marhum Sheikh Abdul Basit Abdul Samad alisafiri katika nchi nyingi duniani kusoma Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3473033    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/04

TEHRAN (IQNA)- Kuna idadi kubwa ya qiraa za qarii mashuhuri wa Misri Sheikh Sayyid Mutawalli Abdul Aal aliyeaga dunia mwaka 2015.
Habari ID: 3473013    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/29

TEHRAN (IQNA) – Hivi karibuni kumesambazwa qiraa ya Qur'ani Tukufu ya qarii maarufu wa Misri Sheikh Mahmod Shahat Muhammad Anwar akiwa anasema aya za Qur'ani mjini Cape Town, Afrika Kusini.
Habari ID: 3472999    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/25

TEHRAN (IQNA) – Qarii marufu wa Misri Sheikh Ahmed Ahmed Noaina hivi karibuni alisoma baadhi ya aya za Surat Al-Muzzammil za Qur'ani Tukufu kwa pumzi moja.
Habari ID: 3472992    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/23

TEHRAN (IQNA) – Klipu fupi ya video ya qiraa ya qarii mkongowe wa Qur'ani Tukufu kutoka Iran imesambazwa katika mitandao ya kijamii.
Habari ID: 3472966    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/15

TEHRAN (IQNA) – Qarii wa Qur'ani kutoka Misri, Sheikh Hani al-Hussaini ametoa wito kwa wazazi Waislamu kuwafunza watoto wao kuhifadhi Qur'ani Tukufu na Tajwid wakiwa bado ni wadogo.
Habari ID: 3472964    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/15

TEHRAN (IQNA) – Qarii mashuhuri wa Misri Sheikh Sayyid Said alitembelea Iran mwaka 2007 na kusema Qur'ani Tukufu katika mji wa Zanjan.
Habari ID: 3472963    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/14

TEHRAN (IQNA) – Qiraa ya qarii maarufu wa Misri marhum Sheikh Sayed Mutawalli Abdul Aal katika mji wa Tabriz, Iran imesambazwa katika mitandao ya intaneti hivi karibuni.
Habari ID: 3472951    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/11

TEHRAN (IQNA) – Qiraa ya hivi karibuni ya Qarii mashuhuri wa Qur'ani Tukufu kutoka Misri Sheikh Ahmad Ahmad Al Nuaina aliposoma aya katika Sura za A-Duha na Al-Inshirah.
Habari ID: 3472937    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/07