qurani tukufu - Ukurasa 78

IQNA

TEHRAN (IQNA)- Wanafunzi zaidi ya 185 wa Qur'ani Tukufu kutoka mikoa 26 ya Algeria ambao wamefanikiwa kuhifadhi Qur'ani katika mafunzo yaliyotolewa kwa njia ya intaneti wameenziwa katika sherehe iliyofanyika mjini Oran, kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.
Habari ID: 3473676    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/02/23

TEHRAN (IQNA)- Mpango mpya umezinduliwa mjini Dubai katika Umoja wa Falme za Kiarabu kwa lengo la kuwafadhili na kuwaunga mkono waalimu wa Qur’ani Tukufu kote duniani.
Habari ID: 3473672    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/02/22

TEHRAN (IQNA)- Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuyaelewa mafundisho sahihi ya Qurani Tukufu ndio ufunguo wa kuongoka katika njia iliyonyooka tabaka la vijana.
Habari ID: 3473647    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/02/13

TEHRAN (IQNA) – Qiraa ya Qur’ani Tukufu ya qarii mashuhuri wa Misri Sheikh Anwar Shahat Anwar akiseoma Qur’ani Tukufu mjini Kermanshah Iran, imesembazwa katika mitandao ya kijamii.
Habari ID: 3473637    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/02/09

TEHRAN (IQNA) - Mvumbuzi wa Saudi Arabia ametangaza kuwa kufanikiwa kutayarisha nakala ya Qur’ani Tukufu ya kielektroniki kwa lugha ya Braille ambayo hutumiwa na watu wenye ulemavu wa macho.
Habari ID: 3473609    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/31

TEHRAN (IQNA) – Zuhra Darzi Alwash ni binti kutoka Syria anayeishi katika kambi ya wakimbizi wa ndani ya nchi kaskazini magharibi mwa nchi hiyo ya Kiarabu.
Habari ID: 3473602    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/29

TEHRAN (IQNA)- Waliofika fainali katika Mashindano ya 37 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Iran wametangazwa na kamati andalizi.
Habari ID: 3473593    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/26

TEHRAN (IQNA) – Kikao cha qiraa ya Qur'ani Tukufu kwa ajili ya wanawake kimefanyika Tehran wakati wa kukaribia siku ya kukumbuka kuzaliwa Bibi Fatima Zahra SA
Habari ID: 3473590    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/26

TEHRAN (IQNA) – Idara ya Masuala ya Kidini Uturuki (Diyanet) imewatunuku Waislamu wa Argentina vitabu 7,000 vya kidini na nakala za Qur'ani Tukufu zilizotarjumiwa kwa Kihispania.
Habari ID: 3473589    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/25

TEHRAN (IQNA) – Klipu ya video imesambaa katika mitandao ya kijamii ikimuoneysha qarii maarufu wa Misri, Sheikh Ahmed Ahmed Noaina akisoma Qur'ani Tukufu akiwa amevalia barakoa.
Habari ID: 3473584    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/23

TEHRAN (IQNA) – Qarii maarufu wa Misri Sheikh Abdul Alim Fasada ameaga dunia akiwa na umri wa miaka 73.
Habari ID: 3473567    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/18

TEHRAN (IQNA)- Siku kama ya leo miaka 1431 iliyopita, yaani tarehe 3 Jumada Thani mwaka wa 11 hijria, Bibi Fatima Zahra Amani ya Mwenyezi Mungu iwe juu Yake- Salamullah Alayha- (SA), binti kipenzi cha Bwana Mtume Muhammad SAW na mke wa Imam Ali bin Abi Talib SA alikufa shahidi baada ya kuishi umri mfupi tu lakini uliojaa baraka.
Habari ID: 3473564    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/17

TEHRAN (IQNA) - Televisheni ya Qur’ani ya Shirika la Utangazaji la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran (IRIB) imerusha hewnai qiraa ya qarii mashuhuri wa Misri Sheikh Ragheb Mustafa Ghalwash.
Habari ID: 3473551    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/12

TEHRAN (IQNA)- Televisheni ya Qur’ani ya Shirika la Utangazaji la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran (IRIB) imezindua kipindi kipya cha kurusha hewani qiraa ya Qur’ani Tukufu ya wasomaji maarufu wa Misri.
Habari ID: 3473542    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/10

TEHRAN (IQNA) - Idara ya Masuala ya Kidini Uturuki (Diyanet) imesambaza nakala milioni moja za Qur’ani katika nchi mbali mbali duniani.
Habari ID: 3473527    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/05

TEHRAN (IQNA) – Serikali ya Algeria imeafiki kufunguliwa tena madrassah za Qur'ani Tukufu nchini humo ambazo zilikuwa zimesitisha shughuli zao kutokana na maambukizi ya ugonjwa wa COVID-19 au corona.
Habari ID: 3473514    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/01

TEHRAN (IQNA)- Khitma ya Qur’ani Tukufu imefanyika Tehran Jumanne kwa mnasaba wa kukaribia mwaka moja tokea alipouawa shahidi kamanda wa ngazi za juu wa Iran, Luteni Jenerali Qassem Soleimani.
Habari ID: 3473507    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/30

TEHRAN (IQNA) – Madrassah za Qur’ani nchini Somalia maarufu kama Duksi zinaendelea kuwa tumaini kwa watoto nchini humo pamoja na kuwepo mazingira magumu ya kiuchumi, kijamii na umasikini mkubwa.
Habari ID: 3473506    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/30

TEHRAN (IQNA)- Muasisi wa kituo kikubwa zaidi cha Qur’ani Tukufu nchini Senegal amefariki dunia.
Habari ID: 3473499    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/27

TEHRAN (IQNA) – Akademia ya Qur’ani Tukufu, ambayo imetajwa kuwa miogoni mwa kubwa zaidi duniani, imefunguliwa huko Sharjah katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE).
Habari ID: 3473498    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/27