TEHRAN (IQNA) – Binti Muirani, Hannaneh Khalafi, ambaye ametajwa kuwa bingwa wa Qur'ani, ataanza kutoa mafunzo ya kuhifadhi Qur'ani kwa njia ya intaneti.
Habari ID: 3473495 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/26
TEHRAN (IQNA) – Taasisi ya Darul Qur'an ya Ujerumani imesambaza klipu ya qiraa ya Qur'ani kumhusu Nabii Isa Masih-Amani ya Mwenyezi Mungu Iwe Juu Yake- ambaye Wakristo wengi wanaamini alizaliwa Disemba 25 katika siku ambayo ni maarufu kama Krismasi.
Habari ID: 3473494 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/26
TEHRAN (IQNA) Hivi karibuni Televisheni ya Qur’ani ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ilirusha hewani qiraa ya Qur’ani Tukufu ya Sheikh Abdul Fattah Taruti wa Misri.
Habari ID: 3473485 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/23
TEHRAN (IQNA) – Jumuiya ya Wanazuoni wa Kiislamu Algeria imetoa wito wa kufunguliwa tena madrassah za Qur’ani nchini humo kwa kuzingatia kanuni za kiafya katika kipindi hiki cha janga la COVID-19 au corona.
Habari ID: 3473472 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/19
TEHRAN (IQNA) –Mahakama Kuu ya Lahore, Pakistan imeamuru kuwa ni wajibu kwa taasisi zote za kielimu kuweka mafundisho ya Qur'ani katika mitaala yao kuanzia mwaka 2021.
Habari ID: 3473470 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/19
TEHRAN (IQNA)- Qiraa ya Qur’ani Tukufu ya qarii wa Misri marhum Sheikh Ahmed Mohammed Amer hivi karibuni imerushwa hewani katika televisheni ya Qur’ani ya Iran.
Habari ID: 3473469 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/18
TEHRAN (IQNA) – Nakala milioni 2.2. za Qur’ani Tukufu zimechapishwa nchini Iran katika kipindi cha miezi tisa iliyopita.
Habari ID: 3473461 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/16
TEHRAN (IQNA) – Televisheni ya Qur'ani ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran hivi karibuni ilirusha hewani qiraa ya qarii wa Misri marhuma Sheikh Khalil Al-Hussary.
Habari ID: 3473459 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/15
TEHRAN (IQNA) – Wizara ya Masuala ya Kiislamu ya Mauritania imeendeleza kampeni maalumu ya qiraa ya Qur’ani katika misikiti ya nchi hiyo.
Habari ID: 3473452 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/13
TEHRAN (IQNA) –Ensaiklopedia ya miujiza ya sayansi katika Qur'ani Tukufu imechapishwa hivi karibuni nchini Algeria.
Habari ID: 3473445 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/11
TEHRAN (IQNA) – Klipu ya qiraa ya Qur'ani Tukufu ya mtoto Mwafrika ambayo imesambazwa katika mitandao ya kijamii imewavutia wengi nchini Iran na kote duniani.
Habari ID: 3473430 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/06
TEHRAN (IQNA)- Hivi karibuni, Televisheni ya Qur'ani ya Iran ilirusha hewani qiraa ya qarii mashuhuri wa Misri Sheikh Ahmed Ahmed Noaina.
Habari ID: 3473402 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/28
TEHRAN (IQNA)- Familia ya qarii maarufu zaidi wa Qur’ani Tukufu wa Misri, Sheikh Abdul-Basit Abdul-Swamad imeitunuku Radio ya Qur’ani ya Misri kanda za qiraa ya qarii huyo.
Habari ID: 3473384 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/22
TEHRAN (IQNA) – Mwanazuoni mashuhuri wa Qur’ani Tukufu nchini Jordan, Mustafa al-Mashni ameaga dunia baada ya kuugua corona au COVID-19.
Habari ID: 3473380 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/21
TEHRAN (IQNA) – Duru ya 14 ya Mashindano ya Qur’ani ya Dubai nchini Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) inaendelea katika mji huo.
Habari ID: 3473377 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/20
TEHRAN (IQNA)- Hivi karibuni klipu ya Sheikh Abdul-Basit akisoma aya ndefu zaidi katika Qur’ani Tukufu imeenea katika mitandao ya kijamii.
Habari ID: 3473365 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/16
TEHRAN (IQNA) – Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amenukulu aya za Qur’ani Tukufu katika Surah An-Naziat katika kufafanua kushindwa Donald Trump katika uchaguzi wa rais Marekani mwaka huu.
Habari ID: 3473342 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/08
TEHRAN (IQNA) - Mahmoud Shahat Anwar, qarii maarufu wa Misri amehudhuria sherehe za kuadhimisha kumbukumbu ya kuzaliwa Bwana Mtume Muhammad SAW maarufu kama Maulidi ambapo na kusoma aya za Qur'ani.
Habari ID: 3473337 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/07
TEHRAN (IQNA)- Qarii na hafidh maarufu wa Qur'ani Tukufu nchini Sudan, Sheikh Noreen Muhammad Sidiq amefariki katika ajali barabarani.
Habari ID: 3473336 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/07
TEHRAN (IQNA)- Kwa mujibu wa taarifa, Putin ameyasema hayo alipohutubu kwa njia ya video katika mjumuiko wa Siku ya Kitaifa ya Russia.
Habari ID: 3473334 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/06