IQNA

Duru ya Kwanza ya Mashindano ya Qur'ani ya 'Haram Takatifu'

TEHRAN (IQNA) - Duru ya kwanza ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya wawakilishi wa Haram Takatifu zilizo katika maeneo mbali mbali imekamikila Jumanne, huko Karbala nchini Iraq.

Mashindano hayo yameandaliwa na Kituo cha Darul Qur'ani kinachofungamana na Mfawidhi wa Haram Takafitu ya Imam Hussein AS na kulikuwa na waswakilishi wa Iraq, Misri, Syria, Lebanon, Iran, na Afghanistan.

Kishikizo: qurani tukufu