Waislamu nchini Nigeria
TEHRAN (IQNA) - Gavana wa Jimbo la Borno la Nigeria Ijumaa alitangaza ufunguzi wa mashindano ya kila mwaka ya kuhifadhi Qur'ani yaliyoandaliwa na Kituo cha Mafunzo ya Kiislamu cha Chuo Kikuu cha Usman Dan Fodio.
Habari ID: 3476259 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/17
Waislamu Duniani
TEHRAN (IQNA) - Wananchi Waislamu wa Nigeria wameandamana katika mji mkuu wa nchi hiyo, Abuja, kulalamikia ukandamizaji dhidi ya Waislamu wa madhehebu ya Shia katika Jamhuri ya Azerbaijan.
Habari ID: 3476235 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/11
Hali ya Waislamu Nigeria
TEHRAN (IQNA) Watu wenye silaha wameshambulia msikiti mmoja kaskazini mwa Nigeria na kuwateka nyara watu 19 huku visa vya utekaji nyara vikiongezeka nchini humo.
Habari ID: 3476205 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/06
TEHRAN (IQNA) – Watu wenye silaha wameshambulia msikiti mmoja kusini mwa Nigeria siku ya Ijumaa wakijaribu kumteka nyara imamu bila kufanikiwa ambapo waliwafyatulia risasi na kwuajeruhi waumini kumi na mmoja.
Habari ID: 3476192 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/03
Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) – Toleo la 36 la mashindano ya kila mwaka ya Qur’ani lilizinduliwa katika sherehe katika mji wa Jos katikati mwa Nigeria.
Habari ID: 3475814 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/20
Arbaeen ya Imam Hussein AS
TEHRAN (IQNA) -Waislamu ya madhehebu ya Shia Tanzania, visiwani Zanzibar, Nigeria na Niger wameshiriki katika marasimu, matembezi na vikao vya kuadhimisha Arbaeen (Arubaini) ya Imam Hussein (AS).
Habari ID: 3475801 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/18
TEHRAN (IQNA) - Zaidi ya wanafunzi 80 waliohifadhi Qur'ani Tukufu kikamilifu na wamehitimu kutoka shule ya Kiislamu huko Kaduna, kaskazini mwa Nigeria.
Habari ID: 3475699 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/29
Jinai dhidi ya Waislamu
TEHRAN (IQNA)- Askari wa Jeshi la Nigeria wameshambulia kumbukuku za maomboleza ya Ashura ya Imam Hussein AS katika mji wa Zaria na kuua shahidi na kujeruhi Waislamu kadhaa.
Habari ID: 3475597 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/09
Sekta ya Halal
TEHRAN (IQNA)- Warsha na maonyesho ya kimataifa kuhusu tasnia ya Halal itafanyika nchini Nigeria mwezi ujao.
Habari ID: 3475548 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/27
Ibada ya Hija
TEHRAN (IQNA) – Tume ya Kitaifa ya Hija ya Nigeria (NAHCON) imelazimika kukataa maombi ya kuongeza nafasi zaidi kwa ajili ya Mahujaji mwaka huu ikisisitiza kuwa nafasi zote zimejaa.
Habari ID: 3475424 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/25
Vazi la Hijabu ni haki
TEHRAN (IQNA)- Waislamu nchini Nigeria wamepongeza hukumu ya mahakama ya kilele ambayo imesema wanafunzi wa kike Waislamu wana haki ya kuvaa vazi la staha la Hijabu katika shule za serikali mjini Lagos.
Habari ID: 3475403 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/20
Ugaidi
TEHRAN (IQNA) Watu zaidi ya 50 wakiwemo wanawake na watoto, wameuawa baada ya genge lenye silaha kushambulia kanisa moja ya kikatoliki kaskazini magharibi mwa Nigeria wakati wa ibada ya Jumapili.
Habari ID: 3475341 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/06
TEHRAN (IQNA) - Washindi wa shindano la 36 la kitaifa la kuhifadhi Qur'ani nchini Nigeria walitunukiwa zawadi katika hafla ya kufunga Jumamosi.
Habari ID: 3475081 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/03/27
TEHRAN (IQNA)- Babagana Zulum Gavana wa Jimbo la Borno, Kaskazini Mashariki mwa Nigeria hivi karibuni alionya kuhusu hatari ya kuenea satwa ya kundi la kigaidi la Kiwahhabi la ISIS au Daesh tawi la Afrika Magharibi (ISWAP).
Habari ID: 3474982 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/27
TEHRAN (IQNA)- Katiba ya Nigeria inaruhusu wanawake wa Kiislamu kuvaa Hijabu kulingana na mafundisho ya imani yao, waziri wa elimu wa nchi hiyo ya Kiafrika alisema.
Habari ID: 3474903 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/07
TEHRAN (IQNA)- Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria amewataka walimwengu kujitokeza na kukabiliana na hujuma na mashambulio ya muungano vamizi unaoongozwa na Saudi Arabia dhidi ya wananchi madhulumu wa Yemen.
Habari ID: 3474896 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/06
TEHRAN (IQNA)- Maafisa tisa wakufunzi wa polisi Nigeria ambao ni wahadhiri wamerejea baada ya kutoweka kufuatia hujuma dhidi ya kambi yao iliyotekelezwa na kundi la igaidi linalofungamana na Daesh au ISIS.
Habari ID: 3474810 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/15
TEHRAN (IQNA)- Mwanazuoni maarufu wa Nigeria na muasisi wa Taasisi ya Darul Hadith ameaga dunia akiwa na umri wa miaka 79.
Habari ID: 3474779 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/07
TEHRAN (IQNA)- Watu wasiopungua 25 wameuawa kufuatia hujuma ya magaidi wa kundi Boko Haram wanaofungamana na kundi la kigaidi la ISIS Tawi la Afrika Magharibi (ISWAP) katika hujuma dhidi ya kijiji kimoja katika mji wa Askira Uba katika jimbo la Borno Kaskazini mwa Nigeria.
Habari ID: 3474700 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/20
TEHRAN (IQNA)-Waumini tisa wameuawa katika hujuma ya magaidi dhidi ya msikiti nchini Nigeria katika jimbo la Niger.
Habari ID: 3474662 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/10