karbala - Ukurasa 7

IQNA

Takribani watu milioni 20 wamewasili Karbala kwa ajili ya kushiriki katika Arubaini ya Imam Husain AS. Mkuu huyo wa mkoa wa Karbala amesema kuwa hii ni mara ya kwanza kabisa kumiminika watu kiasi chote hicho katika historia ya ziara za Imam Husain AS.
Habari ID: 2617895   Tarehe ya kuchapishwa : 2014/12/13

Waziri wa Ulinzi wa Iraq amesema kuwa, wafanyaziara milioni 17.5 wamekusanyika katika mji mtukufu wa Karbala kwa ajili ya kushiriki maombolezo ya siku ya Arubaini ya Imam Hussein (A.S).
Habari ID: 2617814   Tarehe ya kuchapishwa : 2014/12/12

Sayyid Hassan Nasrallah
Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah nchini Lebanon amesema kuwa watu wanaofikiri kwamba kwa kuanzisha vita vya kisaikolojia na vitisho wataweza kuzuia kufanyika maombolezo ya Aba Abdillah Imam Hussein AS wanajidanganya, kwani vitisho hivyo havitawatenganisha na Imam Hussein AS.
Habari ID: 1463834   Tarehe ya kuchapishwa : 2014/10/26