IQNA – Mwanazuoni mashuhuri wa sayansi za hisabati kutoka mji wa Yazd nchini Iran ametoa changamoto ya kielimu kwa lobi za Kizayuni.
Habari ID: 3482161 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/04/25
Uchambuzi wa Mapambano Dhidi ya Uzayuni katika Qur’ani / 21
IQNA – Miongoni mwa matukio makubwa yaliyotokea kutokana na damu ya shahidi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Imam Khamenei, ni kuibuka kwa kuhurumiana na umoja wa watu wa Iran katika kutetea utambulisho wa nchi yao, jambo ambalo linatokana na mapenzi na irada ya Mwenyezi Mungu.
Habari ID: 3482122 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/04/06
Uchambuzi wa Mapambano Dhidi ya Uzayuni katika Qur’ani / 20
IQNA- Mwenyezi Mungu anasema katika Aya ya 7 ya Surah Muhammad ya Qur’ani Tukufu kwamba: “Enyi mlioamini! Mkimsadia Mwenyezi Mungu, Atakusaidieni na Atathibitisha nyayo zenu.”
Habari ID: 3482120 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/04/05
Uchambuzi wa Mapambano Dhidi ya Uzayuni katika Qur’ani / 19
IQNA – “Amr Jami’ (Jambo Kubwa au la Pamoja)” katika Qur’ani Tukufu ni kila kazi muhimu inayohitaji ushirikiano na uwepo wa watu; wala haifai kwa yeyote kuondoka mahali hapo bila idhini ya kiongozi.
Habari ID: 3482117 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/04/04
Uchambuzi wa Mapambano Dhidi ya Uzayuni katika Qur’ani / 18
IQNA – Qur’ani Tukufu inataja dhana ya “wilayah ya waumini kwa wao kwa wao” na pia katazo la kuwafanya Watu wa Kitabu kuwa mawalii (walezi au washirika wa uongozi).
Habari ID: 3482103 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/03/29
Uchambuzi wa Mapambano Dhidi ya Uzayuni katika Qur’ani / 17
IQNA – Wakati watu madhlumu wa Palestina na mataifa mengi ya Kiislamu wakiwa chini ya dhuluma na uvamizi wa utawala wa Kizayuni wa Israel, baadhi ya nchi za Kiarabu zimeimarisha uhusiano wao wa siri na utawala huo wenye laana na nuksi; tabia ambayo Qur’ani Tukufu imeiashiria kwa onyo kali sana.
Habari ID: 3482098 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/03/28
Uchambuzi wa Mapambano Dhidi ya Uzayuni katika Qur’ani / 16
IQNA – Aya ya 39 ya Surah Al‑Hajj katika Qur’ani Tukufu inaeleza kwamba Waislamu wanapaswa kufanya yale yaliyo ndani ya uwezo wao, kisha wasubiri nusura ya Mwenyezi Mungu.
Habari ID: 3482093 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/03/26
Uchambuzi wa Mapambano Dhidi ya Uzayuni katika Qur’ani / 15
IQNA – Serikali ya Kiislamu haianzi vita dhidi ya yeyote, lakini ina wajibu wa kujibu uchokozi, fitina na vitendo vya kueneza hofu ili msaada wa Mwenyezi Mungu uweze kuifikia.
Habari ID: 3482089 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/03/25
Uchambuzi wa Mapambano Dhidi ya Uzayuni katika Qur’ani / 14
IQNA-Kama ilivyokuwa kwa Nabii Ya‘qub (A.S.) alipoweka sharti la kuchukua ahadi thabiti mbele ya Mwenyezi Mungu kabla ya kumruhusu Benyamini aondoke, vivyo hivyo kuja kwa Mwokozi aliyeahidiwa kunahitaji ahadi nzito na ya kweli kutoka kwa Umma unaomsubiri.
Habari ID: 3482086 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/03/24
Uchambuzi wa Mapambano Dhidi ya Uzayuni katika Qur’ani / 13
IQNA – Katika muktadha wa vita vinavyoendelea ambavyo vilianza katika mwezi mtukufu wa Ramadhani, upande mmoja unasimama Iran ya Kiislamu, na upande mwingine wapo Marekani, utawala wa Kizayuni, pamoja na vituo vyao vilivyoko katika nchi za Waarabu Waislamu za Asia ya Magharibi.
Habari ID: 3482083 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/03/23
Uchambuzi wa Mapambano Dhidi ya Uzayuni katika Qur’ani / 12
IQNA – Matumizi ya Aya ya 120 ya Sura At-Tawbah katika mapambano ya leo yanajumuisha aina nyingi za juhudi za watu, ikiwemo kuingia katika nyanja zinazochochea ghadhabu ya maadui.
Habari ID: 3482079 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/03/22
Uchambuzi wa Mapambano Dhidi ya Uzayuni katika Qur’ani / 11
IQNA –IQNA-Katika sehemu ya kumi na moja ya mfululizo wa maandishi ya uchambuzi wa Qur’ani kuhusu matukio ya hivi karibuni, simulizi ya vita vya Talut katika Qur’ani Tukufu inachunguzwa, na jinsi ushindi wa mwisho unavyokuja baada ya kupita kwenye mitihani ya kimungu.
Habari ID: 3482076 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/03/20
Uchambuzi wa Mapambano Dhidi ya Uzayuni katika Qur’ani / 10
IQNA – Kuna uhusiano wa kina kati ya kuangamizwa kwa makafiri na kusafishwa kwa waumini; kadiri daraja ya imani inavyopanda, ndivyo kiwango cha ukafiri kinavyozidi kuwa kikali.
Habari ID: 3482073 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/03/19
Uchambuzi wa Mapambano Dhidi ya Uzayuni katika Qur’ani / 9
IQNA – Mojawapo ya mitihani ya Mwenyezi Mungu ni jaribio la kutambua haki na batili; na mojawapo ya njia za kutambua haki na batili ni kuchunguza wafuasi na wanaounga mkono batili, na kujiepusha na madhalimu wanaokandamiza.
Habari ID: 3482067 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/03/17
Uchambuzi wa Mapambano Dhidi ya Uzayuni katika Qur’ani / 8
IQNA – Aya za Qur’ani Tukufu zinazohusu Vita vya Uhud katika Surah Aal Imran zinalenga kuwahamisha Waislamu kutoka katika mtazamo uliotawanyika unaoangalia historia kama matukio yaliyokatika katika, na kuwapeleka kwenye uelewa wa kimchakato wa sunna na sheria za Mwenyezi Mungu.
Habari ID: 3482058 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/03/15
Uchambuzi wa Mapambano Dhidi ya Uzayuni katika Qur’ani/7
IQNA – Kwa ajili ya kutangaza mwisho wa vita au ushindi katika mapambano dhidi ya Marekani na utawala wa Kizayuni, Qur’ani Tukufu inaweka misingi kadhaa ya uongozi na mwongozo.
Habari ID: 3482050 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/03/12
Uchambuzi wa Mapambano Dhidi ya Uzayuni katika Qur’ani/5
IQNA – Kwa mujibu wa aya za Surah Al-Fath na Al-Ahzab katika Qur’ani Tukufu, Mwenyezi Mungu Mtukufu amekusudia kwamba kila wakati maadui wanapoanzisha uhasama, na upande wa haki ukadumu thabiti, basi kurudi nyuma na kushindwa kwa mhalifu huwa ni jambo lisilokwepeka na lisilobadilika.
Habari ID: 3482043 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/03/11
Uchambuzi wa Mapambano Dhidi ya Uzayuni katika Qur’ani/6
IQNA – Qur’ani Tukufu inabainisha kwamba kiwango cha imani ya mtu kwa Mwenyezi Mungu ndicho kinachoamua kiwango cha uwezo wake wa kutenda.
Habari ID: 3482040 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/03/10
Uchambuzi wa Mapambano Dhidi ya Uzayuni katika Qur’ani/2
IQNA- Katika Qur’ani Tukufu tunasoma hivi: “…Lau wanngelitengana , basi kwa hakika tungaliwaadhibu wale waliokufuru miongoni mwao kwa adhabu chungu.” (Al Fath: 25)
Habari ID: 3482026 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/03/07
TEHRAN (IQNA)- Wazayuni wameshindwa kubatilisha uamuzi wa mahakama ya Uingereza ambaye imekataa kumfungulia mashtaka mwanaharakati wa Palestina kufuatia matamshi aliyotoa dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel katika maandamano ya Siku ya Kimataifa ya Quds mjini London mwaka 2017.
Habari ID: 3471807 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/01/15