Taarifa
IQNA-Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la nchini Iran (IRGC) limetoa taarifa na kutangaza kuwa kambi ya Muqawama, hususan wanamapambano shupavu na mashujaa wa Palestina, hatimaye itamaliza na kuyakatisha maisha ya aibu ya utawala wa Kizayuni wa Israel ambao unakaliwa ardhi za Palestina kwa mabavu.
Habari ID: 3480490 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/04
Rais Pezeshkian wa Iran katika mazugumzo na Bin Salman wa Saudia
IQNA-Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amefanya mazungumzo ya simu na Mrithi wa Kiti cha Ufalme wa Saudia na kusisitiza kwa kusema: "Nina imani kwamba kama nchi za Kiislamu zitafanya kazi kwa pamoja, zinaweza kuleta usalama na ustawi bora katika eneo hili."
Habari ID: 3480489 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/04
IQNA-Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi, ametoa wito wa kuimarisha zaidi umoja na huruma miongoni mwa mataifa ya Kiislamu. Katika ujumbe wa pongezi kwa wenzake Waislamu kwa mnasaba wa sikukuu ya Idul Fitr, inayoadhimisha baada ya kumalizika mwezi mtukufu wa Ramadhani,
Habari ID: 3480472 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/30
IQNA-Wananchi Waislamu wa Iran kote nchini wamejitokeza kwa mamilioni kushiriki katika maandamano ya Siku ya Kimataifa ya Quds, kuonyesha mshikamano na Palestina, na kulaani ukatili wa utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya wananchi madhulumu wa Palestina hasa katika Ukanda wa Gaza.
Habari ID: 3480454 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/28
IQNA – Siku ya Kimataifa ya Quds ni fursa ya kuonyesha msaada wa umma kwa taifa la Palestina na ukombozi wa al-Quds, amesema afisa mwandamizi nchini Iran.
Habari ID: 3480435 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/25
IQNA – Hossein Khani Bidgoli kutoka Iran amesema alikuwa na furaha na jinsi alivyofanya katika Mashindano ya 32 ya kimataifa ya Qur'ani ya Jordan.
Habari ID: 3480420 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/23
IQNA – Dhifa ya futar imeandaliwa Jumatatu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi, kwa ajili ya mabalozi na wawakilishi wa nchi za Kiislamu walioko Tehran.
Habari ID: 3480401 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/19
IQNA – Toleo la pili la Tamasha la Usomaji Qur'ani wa Kuiga sauti za maqari mashuhurilinatarajiwa kufanyika katika mji wa Qazvin, Iran, kuanzia Februari 22 hadi 25, likiwakutanisha maqari 50 vijana kutoka sehemu mbalimbali za nchi.
Habari ID: 3480237 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/02/18
Mapinduzi ya Kiislamu
IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amelipongeza taifa la Iran kwa kufikisha "ujumbe wa umoja" kwa jamii ya kimataifa katika maadhimisho ya miaka 46 ya Ushindi wa Mapinduzi ya Kihistoria ya Kiislamu ya Iran ya mwaka 1979.
Habari ID: 3480206 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/02/13
Mashindano ya Qur'ani
IQNA – Wawakilishi wa nchi 27 watashindana katika hatua ya mwisho ya Mashindano ya 41 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Iran baadaye mwezi huu.
Habari ID: 3480085 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/20
Mashindano ya Qur'ani ya Iran
IQNA – Toleo la 41 la Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran litaingia katika hatua ya mwisho mwezi huu.
Habari ID: 3480049 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/13
Siasa
IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amesema kuwa, Marekani mara zote imekuwa ikifanya makosa katika mtazamo wake dhidi ya Iran kwa miongo kadhaa sasa.
Habari ID: 3480017 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/08
Mtazamo
IQNA – Mchambuzi wa kisiasa wa Palestina amesema Shahidi Jenerali Qassem Soleimani aliona kadhia ya Palestina kama suala kuu la ulimwengu wa Kiislamu, ambalo linapaswa kuungwa mkono kwa njia yoyote ile.
Habari ID: 3480000 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/03
Muqawama
IQNA-Rais Massoud Pezeshkian amesema kwamba Jamhuri ya Kiislamu itaendelea na njia iliyoanzishwa na kamanda shujaa wa kupambana na ugaidi, Shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani, kwa nguvu zake zote huku akisema Shahidi Soleimani hakujali mchana wala usiku popote alipohitajika kuwatetea wanyonge/
Habari ID: 3479995 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/03
Harakati za Qur'ani
IQNA – Mashindano ya Kitaifa ya Qur'ani ya Iran, hasa sehemu yake ya maarifa, yana jukumu muhimu katika kukuza mafundisho ya Kiislamu miongoni mwa wananchi, amesema mwanazuoni.
Habari ID: 3479988 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/01
Mashindano ya Qur'ani
IQNA – Astan Quds Razavi, Idara ya Mfawidhi wa Haram Takatifu ya Imam Ridha (AS) mjini Mashhad, imeahidi kutoa msaada kamili katika kufanikisha Mashindano ya 41 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu nchini Iran, afisa mmoja amesema.
Habari ID: 3479979 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/31
Diplomasia
IQNA-Rais Masoud Pezeshkian ameeleza kuwa mtazamo na hatua za kivitendo za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni za kueneza amani na kudumisha usalama katika ukanda huu na baina ya nchi zote za Kiislamu; na ametaka kuwepo ushirikiano mkubwa zaidi kati ya Iran na Oman katika uwanja huo.
Habari ID: 3479977 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/30
Mashindano ya Qur'ani
IQNA – Kukuza uelewa wa Qur’anni Tukufu katika jamii ni lengo kuu la mashindano ya Qur’ani yanayoandaliwa nchini Iran, amesema Mkuu wa Shirika la Wakfu na Misaada la Iran, Hujjatul Islam Mehdi Khamoushi.
Habari ID: 3479959 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/27
Qur'ani Katika Maisha
IQNA – Mwanafunzi mwenye umri wa miaka 15 anasema kuhifadhi Quran Tukufu kumemsaidia kupata mafanikio zaidi shuleni.
Habari ID: 3479941 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/23
Mashindano ya Qur'ani
IQNA – Seyed Jassem Mousavi alishinda zawadi ya juu zaidi ya kategoria ya qiraa katika Mashindano ya 47 ya Kitaifa ya Qur'ani ya Iran huko Tabriz siku ya Alhamisi.
Habari ID: 3479928 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/20