Spika wa Bunge la Uganda ametoa wito kwa nchi za Kiislamu kuzingatia zaidi suala la malezi ya vijana hasa wale ambao wanajihusisha na shughuli za kisayansi na kiufundi.
Habari ID: 1377673 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/02/20
Imam Khamenei
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei Jumatatu alihutubia maelfu ya wananchi wa miji mbalimbali ya mkoa wa Azarbayjan Mashariki waliokwenda kuonana naye akilishukuru taifa la Iran kwa kujitokeza kwa wingi katika maandamano ya tarehe 22 Bahman (Februari 11) ya kuadhimisha miaka 35 ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu hapa nchini.
Habari ID: 1376766 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/02/18
Mkuu wa Halmashauri ya Kuainisha Maslahi ya Mfumo wa Kiislamu amesema kuhusiana na mazungumzo ya nyuklia kati ya Iran na mataifa sita yenye nguvu duniani kwamba, mazungumzo hayo yanaweza kutatua masuala yote kama nchi za Magharibi zitaacha kutoa visingizio.
Habari ID: 1373535 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/02/10