iqna

IQNA

mauaji
Kadhia ya Palestina
IQNA-Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi wa Kipalestina, UNRWA, limeonya kuhusu vifo vingi vya watoto katika Ukanda wa Gaza huku kukiwa na ukosefu mkubwa wa chakula na upatikanaji wa maji salama na huduma za matibabu katika eneo hilo.
Habari ID: 3478456    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/05

Jinai za Israel
IQNA-Mkuu wa Kitengo cha Asia Magharibi katika Ofisi ya Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa amesema: Idadi ya raia na waandishi wa habari waliouawa huko Gaza haina mfano.
Habari ID: 3478363    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/16

Watetezi wa Palestina
IQNA - Maandamano duniani kote kupinga na kulaania mauaji ya kimbari yanayotekeleza na utawala haramu wa Israel kwa himaya ya Marekani dhidi ya Wapalestina huko Gaza yanaendelea duniani kote.
Habari ID: 3478018    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/11

Leo, maelfu ya akina mama wa Iran pamoja na watoto wao wameshiriki katika mikusanyiko mingi iliyofanyika kote nchini, kwa ajili ya kuwaunga mkono wananchi wa Gaza na kulaani jinai za utawala wa Israel wa mauaji ya watoto.
Habari ID: 3477768    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/21

Mwanamume mmoja wa Minnesota ameshtakiwa kwa mauaji ya gari katika ajali iliyoua wanawake watano wa Kiislamu wiki iliyopita.
Habari ID: 3477184    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/24

Chuki dhidi ya Uislamu
TEHRAN (IQNA) - Wanaume wawili walipigwa risasi na kuuawa Jumatatu usiku huko nchini Marekani katika jiji la Oakland wakati washambuliaji wengi waliokuwa kwenye gari walipofyatua risasi kwa umati wa watu karibu na Kituo cha Kiislamu cha Oakland.
Habari ID: 3475820    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/21

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA)- Jeshi katili la utawala haramu wa Israel limewaua shahidi vijana watatu wa Kipalestina katika mji wa Jenin, kaskazini mwa Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
Habari ID: 3475386    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/17

Ugaidi
TEHRAN (IQNA) Watu zaidi ya 50 wakiwemo wanawake na watoto, wameuawa baada ya genge lenye silaha kushambulia kanisa moja ya kikatoliki kaskazini magharibi mwa Nigeria wakati wa ibada ya Jumapili.
Habari ID: 3475341    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/06

TEHRAN (IQNA) – Mchunguzi maalumu wa Umoja wa Mataifa ametangaza kuwa ushahidi unaonyesha mrithi wa ufalme wa Saudi Arabia na maafisa kadhaa wa ngazi ya juu wa ufalme huo walihusika na mauaji ya mwandishi habariJamal Khashoggi.
Habari ID: 3472008    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/06/20

TEHRAN (IQNA)-Utawala wa Mabuddha wenye misimamo mikali nchini Myanmar umewaua kwa umatu Waislamu karibu 3,000 huku taasisi zote za Umoja wa Mataifa za kuwafikishia misaada ya dharura Waislamu zikizuiwa.
Habari ID: 3471157    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/09/04

Muungano unaoongozwa na Saudi Arabia katika vita vya Yemen umetajwa kuwa unahusika moja kwa moja na mauaji ya raia wa nchi hiyo.
Habari ID: 3468864    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/12/23

Inakadiriwa kuwa Waislamu wasiopungua milioni nne wameuawa katika miongo ya hivi karibuni Mashariki ya Kati katika vita vilivyoanzisha na madola ya maghairbi hasa Marekani na Marekani na Shirika la Kijeshi la Nchi za Magharibi NATO.
Habari ID: 3350564    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/23

Afisa mwandamizi wa Umoja wa Mataifa amesema karibu Waislamu wote waliokuwa wakiishi mji mkuu wa Jamhuri ya Afrika ya Kati, Bangui, wamelazimika kuondoka mjini humo kutokana na jinai za magaidi wa Kiksristo.
Habari ID: 1384500    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/03/09