Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA) - Msemaji wa Harakati ya Kiislamu ya Palestina Hamas ametoa wito kwa wananchi wa Palestina kuzidisha mapambano yao dhidi ya Wazayuni wavamizi wanaokalia ardhi za Palestina kwa mabavu hasa mji Al-Quds (Jerusalem) ili kuulinda Msikiti wa Al-Aqsa ulio mjini humo.
Habari ID: 3476110 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/18
Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA) – Wapalestina wanaendelea kulaani vikali njama za utawala haramu wa Israel za Kuyahudisha na kupotosha ukweli katika vitabu vya shule katika mji wa Quds (Jerusalem) unaokaliwa kwamabavu na utawala huo.
Habari ID: 3476068 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/10
Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA) – Kundi moja la kutetea haki za binadamu limeutaka Umoja wa Mataifa kuushinikiza utawala wa Kizayuni wa Israel usitishe sera za kutumia mabavu ambayo hupelekea idadi kubwa ya Wapalestina kupoteza maisha.
Habari ID: 3475503 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/14
Haki za Watoto
TEHRAN (IQNA)- Tarehe12 Juni, kama ilivyo ada ya kila mwaka, jumuiya ya kimataifa inaungana na kusema hapana kwa ajira ya watoto. Licha ya kupungua kwa idadi ya watoto wanaofanya kazi katika miongo miwili iliyopita, maendeleo kuelekeza kutokomeza ajira kwa watoto yalitatizwa katika kipindi cha mwaka 2016 hadi 2020.
Habari ID: 3475371 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/13
Kadhia ya Palestina
TEHRAN (IQNA)- Timu ya ngazi ya juu ya uchunguzi ya Umoja wa Mataifa imesema hatua ya utawala haramu wa Israel ya kukalia kwa mabavu ardhi za Wapalestina na kuwafanyia Wapalestina vitendo vya kibaguzi ndio sababu kuu ya kushuhudiwa mawimbi ya ghasia zisizokwisha katika ardhi hizo zilizoghusubiwa.
Habari ID: 3475354 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/09
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran
TEHRAN (IQNA)- Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Hossein Amir-Abdollahian amesema undumakuwili na kimya cha baadhi ya serikali na duru za kimataifa ndio chanzo cha kupata ubavu Israel katika kuzidisha uvamizi dhidi ya Wapalestina na ukiukaji wa haki zao.
Habari ID: 3475148 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/04/21
TEHRAN (IQNA)- Naibu mwakilishi wa kudumu wa Russia katika Umoja wa Mataifa anasema kuwa upigaji kura wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kwa ajili ya kusimamisha uanachama wa Russia katika Baraza la Haki za Kibinadamu la Umoja wa Mataifa unaonyesha juhudi za Marekani kudumisha msimamo wake wa kibeberu.
Habari ID: 3475100 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/04/08
TEHRAN (IQNA)- Waziri Mkuu wa serikali ya Taliban nchini Afghanistan ametoa wito kwa nchi za Waislamu ziitambue rasmi serikali hiyo.
Habari ID: 3474827 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/19
TEHRAN (IQNA)- Wanachama wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa wamepitisha kwa kauli moja azimio la kurahisisha shughuli za upelekaji misaada nchini Afghanistan.
Habari ID: 3474712 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/23
TEHRAN (IQNA)- Umoja wa Mataifa mapema leo Ijumaa umepasisha azimio linalolaani na kubatilisha hatua zote za Israel katika eneo la Syria la Golan linalokaliwa kwa mabavu na utawala huo na kuutaka utawala wa Kizayuni ukomeshe hatua zote zinazokiuka sheria za kimataifa.
Habari ID: 3474660 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/10
CODIV-19
TEHRAN (IQNA)- Umoja wa Mataifa(UN( na Umoja wa Afrika (AU) kwa pamoja zimelaani "ubaguzi" ambao baadhi ya nchi za kusini mwa Afrika zimekuwa zikikabiliwa nao tangu kugunduliwa aina mpya ya kirusi kipya cha COVID-19 ijulikanayo kama Omicron nchini Afrika Kusini.
Habari ID: 3474633 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/03
TEHRAN (IQNA)- Leo tarehe 29 Novemba inaadhimishwa kote duniani kama Siku ya Kimataifa ya Kuonesha Mshikamano na Taifa la Palestina
Habari ID: 3474616 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/29
TEHRAN (IQNA)- Kamati ya Nne ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa jana Jumanne ilipasisha maazimio sita dhidi ya utawala haramu wa Israel licha ya upinzani mkali wa wawakilishi wa Marekani, Canada na Israel.
Habari ID: 3474537 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/10
Rais Raisi wa Iran katika hotuba kwa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa
TEHRAN (IQNA)- Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema juhudi za Marekani na washirika wake za kuitwisha dunia ubeberu wao zimefeli vibaya na kwamba siasa hizo za ubeberu hazina itibari tena kimataifa.
Habari ID: 3474324 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/22
Matukio ya Afghanistan
TEHRAN (IQNA)- Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, asilimia 97 ya wananchi wa Afghanistan wamo katika hatari ya kuingia chini ya mstari wa umasikini.
Habari ID: 3474280 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/10
TEHRAN (IQNA)- Baraza Kuu la Kisiasa la Yemen linasema linasubiri majibu chanya kutoka kwa Umoja wa Mataifa na mjumbe wake mpya wa Yemen, Hans Grundberg, kuhusu mpango uliopendekezwa na Harakati ya Ansarullah kwa ajili ya kusaidia kumaliza vita nchini Yemen.
Habari ID: 3474204 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/18
TEHRAN (IQNA)-Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limekutana Jumatatu kwa dharura kujadili hali nchini Afghanistan ambako kundi la Taliban llilichukua mamlaka Jumapili baada ya vikosi vya serikali kuzidiwa nguvu na Rais ashraf Ghani kutoroka nchi.
Habari ID: 3474198 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/17
TEHRAN (IQNA)- Umoja wa Mataifa umelaani vikali shambulizi la kigaidi lilofanywa Jumapili kwenye 'Hotel Afrika' katika mji mkuu Mogadishu na kusababisha vifo vya watu kadhaa na wengine wengi kusalia majeruhi.
Habari ID: 3473615 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/02/02
TEHRAN (IQNA) - Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limepitisha maazimio matano ya kuunga mkono Palestina na miinuko ya Golan ya Syria.
Habari ID: 3473417 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/03
TEHRAN (IQNA) - Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametuma ujumbe kwa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kwa mnasaba wa maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Kushikamana na Wananchi wa Palestina na kuitolea mwito jamii ya kimataifa kukabiliana na hatua za utawala wa Kizayuni wa Israel unaouwa watoto.
Habari ID: 3473415 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/02