iqna

IQNA

TEHRAN (IQNA) - Kiongozi wa harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema, kujiweka mbali Waislamu na Uwalii wa Umma ndio sababu kuu ya matatizo uliyonayo Umma wa Kiislamu.
Habari ID: 3473048    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/09

TEHRAN (IQNA) – Kituo cha Qur’ani (Darul Qur’an) katika Idara ya Mfawidhi wa Haram ya Imam Hussein AS huko Karbala, Iraq imeandaa darsa za Qur’ani katika msimu wa joto.
Habari ID: 3473047    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/08

Sayyid Hassan Nasrallah
TEHRAN (IQNA) - Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, mlipuko uliotokea katika bandari ya Beirut ni janga kubwa la kibinadamu na kitaifa.
Habari ID: 3473045    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/08

TEHRAN (IQNA) - Serikali ya India imepiga marufuku watu kutoka nje katika eneo la Kashmir na kuweka hatua kandamizi za usalama wakati huu kumbukumbu ya mwaka mmoja tangu New Delhi ilipofuta mamlaka ya utawala wa ndani katika eneo hilo lenye idadi kubwa zaidi ya Waislamu.
Habari ID: 3473038    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/05

TEHRAN (IQNA)- Misikiti katika Umoja wa Falme za Kiarbau (UAE) itaruhusiwa kuwa na asilimia 50 ya idadi ya wanaoweza kuswali ndani yake kuanzia Agosti 3.
Habari ID: 3473025    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/02

TEHRAN (IQNA) – Qarii kutoka Tanzania ameibuka mshindi katika mashindano ya kusoma Qur’ani (qiraa) ya Chuo Kikuu cha Al Qasimia cha Sharjah katika Umoja wa Falme za Kiarabu.
Habari ID: 3473023    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/01

TEHRAN (IQNA) – Misikiti katika mji mkuu wa China, Beijing iliandaa Swala ya Idul Adha siku ya Ijumaa.
Habari ID: 3473021    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/01

TEHRAN (IQNA) – Waislamu katika maeneo mbali mbali duniani wameshiriki katika Swala ya Idul Adha huku swala hiyo ikiwa imeathiriwa pakubwa na janga la COVID-19 au corona.
Habari ID: 3473019    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/31

Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika ujumbe wa Idi
TEHRAN (IQNA) - Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametoa mkono na kheri na fanaka na kuwapongeza viongozi wa nchi za Kiislamu kwa mnasaba wa Sikukuu hii kubwa ya Idul Adh'ha.
Habari ID: 3473016    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/31

TEHRAN (IQNA) – Baada ya msikiti wa Hagia Sophia kufunguliwa mjini Istanbul, Uturuki, idadi kubwa ya watalii wa kigeni na wa ndani ya nchi wamefika katika msikiti huo.
Habari ID: 3473015    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/30

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA) - Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema: "Katika matukio ya sasa ya Marekani na harakati ya kupinga ubaguzi wa rangi iliyopo, msimamo wetu thabiti ni wa kuwaunga mkono wananchi na kulaani mwenendo wa kikatili wa utawala wa ubaguzi wa rangi wa nchi hiyo."
Habari ID: 3473011    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/29

TEHRAN (IQNA)- Mtafiti kutoka Ethiopia amekusanya vitabu na makala za kale za Kiislamu na Kiarabu.
Habari ID: 3473009    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/28

TEHRAN (IQNA) – Waislamu wanaotekeleza ibada ya Hija wamewasilia katika mji mtakatifu wa Makka kutoka maeneo mbali mbali ya Saudi Arabia huku kukiwa na hatua kali za kuzuia kuenea ugonjwa wa corona.
Habari ID: 3473007    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/27

TEHRAN (IQNA)- Vituo 200 vya Qur’ani Tukufu nchini Jordan vimetangaza kuandaa darsa maalumu za kuhifadhi Qu’rani Tukufu kwa kuzingatia kanuni za afya wakati huu wa janga la corona.
Habari ID: 3473006    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/27

TEHRAN (IQNA) Mnyanyua vyuma wa kike kutoka Latvia, ambaye aliwahi kuwa bingwa wa dunia, Bi. Rebecca Koha ametangaza kusilimu.
Habari ID: 3473005    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/27

TEHRAN (IQNA) – Makundi kadhaa ya wanawake Waislamu nchini Australia wamejitolea kugawa misaada ya chakula kwa wasiojiweza mjini Melbourne katika kipindi hiki cha janga la COVID-19 au corona.
Habari ID: 3473001    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/26

TEHRAN (IQNA) – Jumuiya ya Kimataifa ya Mwamko wa Kiislamu imeipongeza Uturuki kwa hatua yake ya kulirejeshea jengo la kihistoria la Hagia Sophia hadi yake ya msikiti.
Habari ID: 3473000    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/26

TEHRAN (IQNA) – Mufti Mkuu wa Ghana amesema inajuzu kwa Waislamu nchini humo kuswali Swala ya Idul Adha nyumbani.
Habari ID: 3472998    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/25

Swala ya kwanza ya Ijumaa imeswaliwa katika Msikiti wa Hagia Sophia, Istanbul Uturuki baada ya zaidi ya miaka 86 ambapo maelfu ya waumini wameshiriki katika swala hiyo mnamo Julai 24, 2020
Habari ID: 3472996    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/25

TEHRAN (IQNA) - Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Bahrain Ayatullah Sheikh Isa Qassim amesema Wabahrain wataendeleza mapambano yao ya kisiasa hadi haki zao zitambuliwa na watawala wa nchi hiyo.
Habari ID: 3472990    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/23