TEHRAN (IQNA) – Misikiti nchini Ujerumani imefunguliwa Jumamosi baada ya kufungwa kwa muda wa miezi miwili kutokana na janga la ugonjwa wa COVID-19 au corona.
Habari ID: 3472751 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/10
TEHRAN (IQNA) – Misikiti 37 nchini Singapore imeungana na kuchanga dola laki sita kwa ajili ya kutoa futari kwa Waislamu wanaofunga saumu ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3472749 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/09
TEHRAN (IQNA) – Duru ya 28 ya Maonyesho ya Kimataifa ya Qur’ani ya Tehran itafanyika kwa njia ya intaneti.
Habari ID: 3472748 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/09
TEHRAN (IQNA) – Taasisi ya Kiislamu ya Dar Al-Hijrah ya Virginia nchini Marekani inagawa chakula kwa wanaohitajia katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3472747 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/08
TEHRAN (IQNA) – Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema janga la COVID-19 au corona limeibua 'tsunami ya chuki' na hivyo ametoa wito wa kusitishwa matamshi yaliyojaa chuki duniani.
Habari ID: 3472746 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/08
TEHRAN (IQNA) - Jumuiya ya Misikiti Ufaransa (UMF) imetoa wito kwa Waislamu nchini humo kuswali na kusherehekea Idul Fitr majumbani mwao ili kuzuia kuenea ugonjwa wa COVID-19.
Habari ID: 3472744 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/08
TEHRAN (IQNA) – Waislamu Korea Kusini wameamua kufungua misikiti yao Jumatano baada ya nchi hiyo kutoripoti maambukizi mapya ya corona au COVID-19 kwa siku ya tatu mfululizo.
Habari ID: 3472736 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/05
TEHRAN (IQNA) – Mesut Ozil mchezaji soka mashuhuri wa timu ya Arsenal katika Ligi ya Premier ya England ametoa mchango wa dola laki moja za Kimarekani kuwasaidia Waislamu ambao wameathiriwa vibaya na janga la COVID-19 au corona katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3472730 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/03
TEHRAN (IQNA) – Asasi za Kiislamu mjini New York nchini Marekani zimeungana na kuanzisha mpango wa kugawa futari kwa wasiojiweza katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3472726 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/02
TEHRAN (IQNA) – Waislamu nchini Canada wamepata fursa ya kusikia adhana misikitini kupitia vipaza sauti kwa mara ya kwanza kabisa katika historia ya nchi hiyo ya Amerika Kaskazini.
Habari ID: 3472720 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/01
TEHRAN (IQNA) – Chama tawala nchini India, Bharatiya Janata (BJP), kimetoa wito wa umoja na maelewano ya kidini baada ya malalamiko ya kimataifa kufuatia ongezeko la chuki dhidi ya Uislamu nchini humo.
Habari ID: 3472719 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/04/30
TEHRAN (IQNA) -Sayyed Abbas Mousawi, Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesisitiza kuwa njia pekee ya kurejesha uthabiti na utulivu Yemen ni umoja na mshikamano miongoni mwa makundi mbali mbali nchini humo.
Habari ID: 3472717 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/04/30
TEHRAN (IQNA) - Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani ambayo hufanyika kwa njia ya moja kwa moja kupitia Televisheni ya Al Kauthar ya Iran yameanza.
Habari ID: 3472714 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/04/29
TEHRAN (IQNA) – Waziri wa Polisi Afrika Kusini Bheki Cele amewaomba radhi Waislamu nchini humo baada ya afisa wa polisi kutamka matamshi ya kuvunjia heshima Uislamu wakati akiwakamata waumini waliokuwa wamekiuka sheria za kuzuia mijimuiko kutokana na janga la corona.
Habari ID: 3472709 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/04/27
TEHRAN (IQNA) – Wanamgambo wa jenerali muasi Khalifa Haftar nchini Libya wameushambulia msikiti karibu na mji mkuu wa nchi hiyo, Tripoli.
Habari ID: 3472708 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/04/27
TEHRAN (IQNA) – Mwanachama wa Kamati ya Hilali ya Mwezi nchini Iran amesema hilali ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani haitazamiwi kuonekana Alhamisi Aprili 23.
Habari ID: 3472695 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/04/23
TEHRAN (IQNA)- Ubaguzi wa Waislamu nchini India ambao umeongezeka katika miezi ya hivi karibuni sasa umekithiri zaidi wakati huu wa janga la corona.
Habari ID: 3472690 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/04/21
TEHRAN (IQNA) –Mhubiri wa Kiislamu Nigeria amekamatwa katika jimbo la Kano kaskazini mwa nchi hiyo baada ya kuswalisha Sala ya Ijumaa kwa siri kinyume cha amri ya serikali.
Habari ID: 3472688 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/04/21
TEHRAN (IQNA)- Viongozi wanne maarufu wa jamii ya Waislamu nchini Marekani wanachangisha fedha za kuwasiaidia maimamu na wafanyakazi wa misikiti katika kipindi hiki cha janga la ugonjwa wa corona au COVID-19 nchini humo.
Habari ID: 3472685 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/04/20
TEHRAN (IQNA) – Sheria ya kutotoka nje ili kuzuia kuenea ugonjwa wa corona nchini India imepelekea Waislamu wa jamii ya Rohingya wasiweze kupokea msaada wa chakula kutoka kwa wahisani na hivyo wanakabiliwa baa la njaa.
Habari ID: 3472681 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/04/19