iqna

IQNA

Msomi wa Qur'ani
IQNA - Ahmed al-Aimash (Laimeche) ni mtu mashuhuri nchini Algeria na ulimwengu wa Kiarabu kutokana na jukumu lake katika kukuza Uislamu na kuimarisha utambulisho wa kitamaduni wa Waarabu.
Habari ID: 3479391    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/07

Shughuli za Qur'ani
IQNA – Idara ya Mfawidhi wa Haram Takatifu ya  Hadhrat Abbas (AS) huko Karbala, Iraq iliandaa programu mbalimbali za Qur’ani kwa wafanyaziara wa kike wakati wa matembezi ya Arbaeen mwaka huu.
Habari ID: 3479388    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/06

Muqawama
IQNA- Badreddin Abdul Malik al-Houthi, kiongozi wa harakati ya Ansarullah ya Yemen, katika hotuba yake kuhusu hali mbaya ya hivi sasa ya Umma wa Kiislamu amesema kuna ulazima kufungamana na Mtume Muhammad (SAW0 Mtume na Qur'ani Tukufu, amesisitiza haja ya Waislamu kusoma na kuiga shakhsia ya Mtume (SAW).
Habari ID: 3479387    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/06

IQNA - Wizara ya Wakfu na Masuala ya Kiislamu ya Mauritania inapanga kuandaa mashindano ya Qur'ani na Hadithi kwa nchi za Afrika Magharibi.
Habari ID: 3479382    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/04

Wasoomaji Qur'ani
IQNA - Wabunge kadhaa nchini Misri wametoa wito wa kuundwa kwa kamati mpya ya kusimamia usomaji wa Qur'ani au qiraa na maqari au wasomaji Qur’ani nchini humo.
Habari ID: 3479380    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/04

Harakati za Qur'ani
IQNA - Programu zenye ubunifu za Qur'ani Tukufu zinafanyika katika Haram Tukufu ya Imam Ridha (AS) huku mamilioni ya mahujaji wakiwasili Mashhad kuandaa maandamano ya maombolezo.
Habari ID: 3479375    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/03

Harakati za Qur'ani
IQNA - Vituo vinne vya Qur'ani vimewekwa kwenye barabara zinazoelekea mji mtakatifu wa Najaf, Iraq.
Habari ID: 3479369    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/02

Arbaeen katika Qur'ani /4
IQNA - Matembezi ya kila mwaka ya Arbaeen, moja ya mikusanyiko mikubwa ya kidini duniani, yana mizizi mirefu katika mafundisho ya Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3479367    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/02

Watetezi wa Palestina
IQNA - Maandamano ya kukaa ndani yameandaliwa na wanafunzi na wafanyakazi wa Chuo cha Juu cha Qur'ani Tukufu katika mji mkuu wa Yemen wa Sana'a kulaani kitendo cha jeshi la utawala haramu wa Israel kuvunjiwa heshima nakala za Qur'ani Tukufu hivi karibuni na ukatili wao dhidi ya Wapalestina.
Habari ID: 3479366    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/02

Qur’ani na Jamii /1
IQNA – Kwa mujibu wa mafundisho ya Kiislamu, uwajibikaji wa kijamii unarejelea mfululizo wa tabia na matendo ambayo watu huwafanyia wanadamu wenzao.
Habari ID: 3479360    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/31

Mawaidha
IQNA – Kuna uzuri na muelekeo wa kisaikolofia wa kuswali na kuomba dua katika aya za Qur’ani, mwanachuoni na mtafiti wa Iraq anasema, akisisitiza umuhimu wa neno Rabb (Mola) katika mtazamo huu.
Habari ID: 3479359    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/31

Harakati za Qur'ani
IQNA - Misikiti na maeneo yenye makaburi matakatifu nchini Iran yatakuwa na hafla maalum za usomaji wa Qur'ani katika mkesha wa kumbukumbu ya kufariki kwa Mtukufu Mtume Muhammad (SAW.).
Habari ID: 3479357    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/31

Watetezi wa Palestina
IQNA - Takriban watu milioni moja walikusanyika katika mji mkuu wa Yemen wa Sana'a siku ya Ijumaa ili kuelezea mshikamano wao na Wapalestina huko Gaza na pia kulaani jinai ya wanajeshi wa Israel ya kuivunjia heshima Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3479356    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/31

Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Toleo la kwanza la Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani yaliyopewa jina la Tuzo la Qur'ani la Iraq yatafanyika katika mji mkuu wa nchi hiyo ya Kiarabu, Baghdad, mwezi wa Novemba.
Habari ID: 3479355    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/30

Mayahudi katika Qur'ani /8
IQNA – Bani Isra’il, kwa mujibu wa aya za Qur’ani Tukufu, walikuwa watu wakaidi zaidi katika suala la kukataa Tauhidi au Imani ya kumuabudu Mungu Mmoja.
Habari ID: 3479350    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/29

Chuki dhidi ya Qur'ani
IQNA - Uswidi (Sweden) itawafikisha mahakamani wanaume wawili walioivunjia heshima Qur'ani Tukufu mara kadhaa wakati wa maandamano mwaka jana, waendesha mashtaka wa nchi hiyo ya Skandinavia wametangaza.
Habari ID: 3479349    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/29

Arbaeen
IQNA - Ujumbe wa wasomaji Qur’ani wa Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Al-Mustafa  cha Iran ambao umesafiri hadi Iraq kwa ajili ya Arbaeen ulifanya programu kadhaa za usomaji wa Qur'ani katika mji mtakatifu wa Najaf.
Habari ID: 3479339    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/28

Qur'ani Tukufu
IQNA – Mohamed Farid Alsendiony alikuwa qari mashuhuri wa Misri na ulimwengu wa Kiislamu, na mmoja wa kizazi cha kwanza cha maqari wenye kufuata mtindo wa Misri.
Habari ID: 3479337    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/27

Arbaeen 1446 H
IQNA - Msafara wa Qur'ani wa Iran uliotumwa Iraq kushiriki katika vikao vya Qur'ani kwa munasaba wa Arbaeen ulihitimisha shughuli zake baada ya karibu siku kumi.
Habari ID: 3479331    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/26

Jinai za Israel
IQNA - Kuvunjiwa heshima kwa Qur'ani Tukufu na wanajeshi wa Israel huko Gaza kumelaaniwa vikali na wanazuoni wa Yemen, ambao wametaka kuchukuliwa hatua dhidi ya ukatili wa utawala wa Kizayuni katika eneo la Palestina.
Habari ID: 3479329    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/26