iqna

IQNA

Mawaidha
IQNA – Wafasiri wa Qur’ani Tukufu wanazingatia Ajal mbili (wakati wa kufa) kwa wanadamu kwa kuzingatia Aya ya 2 ya Surah Al-Anaam ya Qur’ani Tukufu.
Habari ID: 3479737    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/11

Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Maustadh wawili mashuhuri wa Qur'ani wa Misri ni miongoni mwa wajumbe wa jopo la majaji katika mashindano ya kwanza ya kimataifa ya Qur'ani nchini Iraq.
Habari ID: 3479728    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/10

Mtazamo
IQNA – Wanazuoni na wasomi wa ngazi za juu  wa Kiislamu wanaamini kwamba ufufuo wa mwanadamu utakuwa katika mwili na pia katika roho.
Habari ID: 3479725    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/09

IQNA - Tuzo la 13 la Kimataifa la Qur'ani la Kuwait, linaloshirikisha mashindano ya kuhifadhi, qiraa na Tajweed, litafanyika kuanzia Novemba 13 hadi 20, 2024.
Habari ID: 3479723    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/09

Qurani
IQNA - Kuna wanaharakati wanne wa Qur'ani wa Iran wanaohudhuria mashindano ya kimataifa ya Qur'ani ya Iraq yaliyoanza mjini Baghdad siku ya Jumamosi.
Habari ID: 3479722    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/09

IQNA - Mashindano ya usomaji wa Qur'ani Tukufu yalifanyika Rawalpindi, Pakistani kuwaenzi mashahidi wa muqawama.
Habari ID: 3479718    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/08

Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Sherehe imefanyika nchini Uingereza kutangaza na kuwatunuku washindi wa mashindano ya kimataifa ya Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3479711    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/06

Chuki dhidi ya Uislamu
IQNA - Mwanasiasa wa siasa kali za mrengo wa kulia wa Denmark amehukumiwa kifungo cha miezi minne jela na mahakama ya Uswidi kwa kuchochea chuki za kikabila kwa kuchoma moto Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3479709    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/06

IQNA - Mchakato wa kutathmini washiriki wa hatua ya awali ya Mashindano ya 47 ya Kitaifa ya Qur'ani Tukufu ya Iran umeanza leo  Jumanne, Novemba 5
Habari ID: 3479707    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/05

Qur'ani Tukufu
IQNA - Hamza Roberto Piccardo ndiye Mtaliano wa kwanza Mwislamu ambaye ameitarjumi Qur'ani Tukufu kwa lugha ya Kiitaliano.
Habari ID: 3479700    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/04

Mashindano
IQNA - Mashindano ya Qur'ani Tukufu yalifanyika kwa wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Al-Mustafa huko Kyengera, mji mkuu wa Uganda wa Kampala, wikendi hii.
Habari ID: 3479698    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/04

Muqawama
IQNA - Mjumbe wa ofisi ya kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amefafanua jinsi kiongozi wa harakati hiyo aliyeuawa shahidi, Yahya Sinwar, alivyowaheshimu sana wahifadhi Qur'ani.
Habari ID: 3479695    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/03

Harakati za Qur'ani
IQNA – Idara ya Mfawidhi wa Haram Takatifu ya Hadhrat Abbas (AS) inaandaa vikao vya Qur'ani katika mji mtakatifu wa Najaf, Iraq.
Habari ID: 3479687    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/02

Harakati za Qur'ani
IQNA - Wizara ya masuala ya kidini ya Indonesia ilithibitisha kukamilika kwa mradi wa tarjuma ya Qur’ani Tukufu katika Kicirebon.
Habari ID: 3479682    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/01

Harakati za Qur'ani
IQNA - Sherehe ilifanyika mashariki mwa Kosovo kuwaenzi wasichana 44 ambao wamehitimu kutoka kozi za Qur'ani.
Habari ID: 3479672    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/30

IQNA - Kundi la wanachama wa Jumuiya ya Qur'ani ya Iran wametembelea watu wa Lebanon, ambao wamejeruhiwa katika shambulio la Israel, katika hospitali jijini Tehran.
Habari ID: 3479666    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/29

Qur'ani Tukufu Katika Mataifa
IQNA - Wafasiri wa kwanza wa Qur'ani Tukufu katika lugha ya Kibosnia,  ya Bosnia na Herzegovina, walilenga hasa katika kuwasilisha kwa usahihi maana za aya lakini katika miongo michache iliyopita, pia kumekuwa na umakini kwenye vipengele vya uboreshaji wa kifasihi.
Habari ID: 3479661    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/28

Qur'ani Tukufu
IQNA - Zaidi ya nakala milioni 300 za Qur'ani Tukufu zimechapishwa katika Kituo cha Uchapishaji Qur'ani cha Mfalme Fahd mjini Madina, Saudi Arabia.
Habari ID: 3479653    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/27

Maadili ya kibinafsi/ Hatari za Ulimi 14
IQNA – Ni muhimu kulinda maneno ya watu wengine, na mtu hapaswi kusambaza maneneo aliyoyasikia bila ya ridhaa ya aliyeyasema. Kueneza maneno yaw engine kunaweza kuitwa ni umbeya. Wasomi wa maadili ya Kiislamu wamekataza umbea kwani ni tabia isiyofaa ambayo husababisha uadui na chuki na kuharibu udugu na urafiki.
Habari ID: 3479651    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/27

Qur'ani Tukufu
IQNA – Msururu wa kozi za Qur’ani zimepangwa kuandaliwa kwa ajili ya walimu wa shule nchini Kuwait. Idara ya Mafunzo ya Kiislamu ya nchi hiyo ya Kiarabu katika Ghuba ya Uajemi  itaendesha kozi hizo kwa ushirikiano na Jumuiya ya Kuwait ya Misaada na Maendeleo ya Kibinadamu.
Habari ID: 3479643    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/25