Nidhamu Katika Qur'ani / 15
IQNA – Qur’ani Tukufu inajitambulisha yenyewe na Mtukufu Mtume Muhammad (SAW) kama nguzo ya nidhamu na umoja katika jamii ya Kiislamu.
Habari ID: 3478845 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/18
Ahul Bayt (AS)
IQNA - Programu za Qur'ani zitaandaliwa katika mkesha wa kumbukumbu ya kuzaliwa Imam Ridha (AS) siku ya Jumapili.
Habari ID: 3478842 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/18
IQNA - Mwandishi wa kaligrafia wa Syria Ubaidah Muhammad Salih Al-Banki alielezea amesema kuwa na fursa ya kuandika kaligrafia Mus’haf (Msahafu) kama baraka ya Mwenyezi Mungu na chanzo kikubwa cha heshima.
Habari ID: 3478839 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/17
Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Iran itatuma washiriki katika Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Saudi Arabia katika vitendo vya qiraa na hifdhi.
Habari ID: 3478833 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/16
Qur'ani Tukufu
IQNA – Tafsiri ya Qur’ani Tukufu ilianza katika miaka ya mwanzo baada ya ujio wa Uislamu, na baadhi ya sehemu za Kitabu Kitukufu zilifasiriwa wakati wa uhai wa Mtukufu Mtume Muhammad (SAW).
Habari ID: 3478821 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/14
Nidhamu Katika Qur’an/13
IQNA – Kile Uislamu unasema kuhusu nidamu ya kijamii ni mbali zaidi ya kile ambacho wengine wanasema. Kwa mujibu wa Uislamu, nidhamu ya kijamii uinapaswa kuwa kiasi kwamba haina madhara kwa uhuru wa mtu binafsi na uadilifu wa kijamii.
Habari ID: 3478817 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/13
Nasaha
IQNA – Kazi ya tarjuma na tafsiri ya Qur'ani Tukufu ni ngumu lakini ya lazima na yenye thamani, msaidizi wa Mufti Mkuu wa Oman alisema.
Habari ID: 3478805 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/12
Hija na Qur'ani
IQNA – Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu hivu karibuni amekutana na wajumbe wa msafara wa Qur’ani wa Hija wa Iran, akawausia kuwahimiza Mahujaji kutafakari aya za Qur’ani Tukufu.
Habari ID: 3478799 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/10
Qari Mashuhuri wa Qur'ani Tukufu
IQNA – Qari mashuhuri wa Iran Karim Mansouri amepongeza amani ambayo Qur'ani Tukufu inaleta katika maisha ya wale wanaoongozwa nayo.
Habari ID: 3478794 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/09
Nidhamu Katika Qur’ani /11
IQNA – Imam Ali (AS) katika dakika za mwisho za uhai wake alisisitiza umuhimu wa nidhamu katika maisha, jambo ambalo linaonyesha kwamba malengo ya jumla ya jamii ya Kiislamu yanaweza kufikiwa tu kwa kuzingatia utaratibu na nidhamu.
Habari ID: 3478793 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/08
Harakati za Qur'ani
IQNA - Usomaji wa hivi karibuni wa qari wa Tarteel wa Qur'ani kwa mtindo wa Sheikh Abdul Basit Abdul Samad umeibua sifa.
Habari ID: 3478789 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/08
Nidhamu katika Qur’ani/ 10
IQNA - Msingi wa utaratibu katika maisha ya Muislamu ni kumwabudu Mwenyezi Mungu na ndiyo maana kuswali swala tano za kila siku humsaidia mja kupanga shughuli zake za kila siku.
Habari ID: 3478788 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/07
Harakati za Qur'ani
IQNA - Mohamed Mahmoud Tiblawi alikuwa qari mashuhuri nchini Misri ambaye aliwahi kuwa rais wa Jumuiya ya Wasomaji na Wahifadhi wa Qur'ani nchini humo kwa miaka kadhaa.
Habari ID: 3478782 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/06
Nidhamu Katika Qur'ani / 9
IQNA - Kufanya kazi kikamilifu kwa mujibu wa mfumo wa Sharia (kanuni za kidini) kutaleta utaratibu na nidhamu katika maisha ya kibinafsi na ya kijamii ya Waislamu.
Habari ID: 3478778 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/05
Harakati za Qur'ani
IQNA – Qari maarufu wa Iran na mwalimu wa Qur’ani Ustadh Ahmad Abolqassemi amehudhuria toleo la kwanza la maonyesho ya Qur’ani ya Kabul.
Habari ID: 3478769 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/04
Chuki dhidi ya Uislamu
IQNA-Mji wa Malmö nchini Uswidi au Sweden kwa mara nyingine umeshuhudia kkuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu. Kitendo hicho cha kuvunjia heshima Qur'ani Tukufu kimefanywa kwa ulinzi kamili wa polisi wa nchi hiyo na pia usimamizi wa jukwaa wa Wazayuni.
Habari ID: 3478768 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/04
Nidhamu Katika Qur'ani /7
IQNA – Mwenyezi Mungu amewahimiza watu waepuke hofu isiyo na msingi, kama vile kuwaogopa wengine, na ametuamrisha kuwa na Khashiya (unyenyekevu) kwake tu, na iwapo mwanadamu atafuata muongozo huu basi atajiepusha na fedheha na udhalilishaji wowote.
Habari ID: 3478762 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/03
Aya za Qur'ani Tukufu katika kauli za Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Mwanadamu ni mhitaji wa kila kitu. Je, tumuulize nani atukidhie mahitaji yetu na atuondolee matatizo tuliyonayo? Mwenyezi Mungu ambaye anajua mahitaji yetu anasema. " Na muombeni Mwenyezi Mungu fadhila zake. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mjuzi wa kila kitu."
Habari ID: 3478760 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/03
Nidhamu Katika Qur'ani / 8
IQNA – Qur’ani Tukufu inarejelea baadhi ya mifano ya nidhamu na utaratibu mkubwa katika uumbaji wa dunia ili kuwaalika watu kutafakari na kuwaongoza hadi kwa Yule aliyeumba nidhamu hii.
Habari ID: 3478758 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/02
Wanawake
IQNA - Operesheni ya ujenzi wa kituo cha Kiislamu na Qur'ani kwa wanawake ilianza katika sherehe nchini Qatar.
Habari ID: 3478754 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/01