qurani tukufu - Ukurasa 24

IQNA

IQNA – Zaidi ya watoto 3,000 wamekusanyika katika Haram Tukufu ya Imam Ridha (AS) mjini Mashhad kwa ajili ya kongamano la Qur’ani lililopewa jina “Malaika wa Muqawama (Upinzani)”, na kujaza eneo hilo tukufu kwa tilawa na sauti za imani.
Habari ID: 3481111   Tarehe ya kuchapishwa : 2025/08/20

IQNA – Mashindano ya 45 ya Kimataifa ya Qur’an Tukufu ya Mfalme Abdulaziz yanatarajiwa kufikia tamati kwa hafla maalum itakayofanyika mjini Makkah siku ya Jumatano.
Habari ID: 3481110   Tarehe ya kuchapishwa : 2025/08/20

QNA – Msafara wa Qur’ani wa Arbaeen kutoka Iran, unaojulikana mwaka huu kama “Msafara wa Imam Ridha (AS)”, ulianza shughuli zake katika njia ya Arbaeen tarehe 8 Agosti 2025.
Habari ID: 3481109   Tarehe ya kuchapishwa : 2025/08/20

IQNA – Jumapili, mji wa Banihal katika eneo la Kashmir linalosimamiwa na India uliandaa Mkutano wa Pili wa Qur’ani ya Braille kwa watu wenye ulemavu wa kuona.
Habari ID: 3481106   Tarehe ya kuchapishwa : 2025/08/19

IQNA – Mchujo wa awali wa usomaji kwa ajili ya Mashindano ya 7 ya Kimataifa ya Qur’ani kwa Wanafunzi Waislamu umekamilika, ambapo kazi kutoka nchi 36 zimepitiwa.
Habari ID: 3481104   Tarehe ya kuchapishwa : 2025/08/19

IQNA – Awamu ya awali ya kategoria ya usomaji katika Mashindano ya 7 ya Kimataifa ya Qur'ani kwa Wanafunzi Waislamuyaliyoandaliwa na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeanza rasmi, huku washiriki kutoka mataifa 36 wakituma video za usomaji kwa ajili ya tathmini.
Habari ID: 3481101   Tarehe ya kuchapishwa : 2025/08/18

IQNA – Msikiti maarufu wa Faisal ulioko katika mji mkuu wa Pakistan, Islamabad, uliandaa sherehe ya kuwaenzi wahifadhi wa Qur’ani Tukufu.
Habari ID: 3481100   Tarehe ya kuchapishwa : 2025/08/18

IQNA – Muhammad Hussein al-Tayyan, mwandishi na mtaalamu wa lugha wa Syria, anaamini kwamba Qur’an ni kitovu cha lugha ya Kiarabu, na kupitia Qur’an ndiyo lugha hii iliyoenea na kukomaa.
Habari ID: 3481098   Tarehe ya kuchapishwa : 2025/08/18

IQNA – Misri imetangaza mashindano makubwa zaidi ya taifa ya televisheni yenye lengo la kugundua vipaji vipya vya usomaji wa Qur’ani.
Habari ID: 3481097   Tarehe ya kuchapishwa : 2025/08/17

IQNA – Jimbo la Sarawak, Malaysia limeanzisha mbinu rafiki kwa mazingira katika kuheshimu na kuondosha nakala zilizochakaa za Misahafu au Qur’an Tukufu.
Habari ID: 3481094   Tarehe ya kuchapishwa : 2025/08/16

IQNA – Wizara ya Wakfu na Mambo ya Kiislamu ya Morocco imetangaza mpango mkubwa wa miaka mitatu wa kuwapa mafunzo mapya maimamu 48,000 wa misikiti kote nchini.
Habari ID: 3481088   Tarehe ya kuchapishwa : 2025/08/15

IQNA – Rais wa Jamhuri ya Kiarabu ya Misri amesisitiza umuhimu wa kuendeleza tovuti ya kimataifa ya Idhaa ya Qur’an Tukufu ya nchi hiyo.
Habari ID: 3481085   Tarehe ya kuchapishwa : 2025/08/15

IQNA – Shughuli za kuadhimisha siku ya kuzaliwa kwa Mtume Mtukufu Muhammad (SAW) zimezinduliwa rasmi Jumatatu katika mji mkuu wa Yemen, Sana’a.
Habari ID: 3481080   Tarehe ya kuchapishwa : 2025/08/13

IQNA – Qari kutoka Iran, Hamidreza Amadi-Vafa, amesema kuwa kusoma Qur’ani katika njia ya kutoka Najaf hadi Karbala wakati wa Arbaeen hujenga mazingira ya kiroho yasiyo na mfano katika nyakati nyingine za mwaka.
Habari ID: 3481073   Tarehe ya kuchapishwa : 2025/08/12

IQNA – Roboti za kielektroniki zinazoweza kuingiliana na watumiaji zimetumika katika toleo la 45 la Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani yanayofanyika Makkah kwa lengo la kuboresha huduma kwa wageni.
Habari ID: 3481072   Tarehe ya kuchapishwa : 2025/08/11

IQNA – Jukwaa la kielimu la Qur’ani kwa ajili ya wasiozungumza Kiarabu linazinduliwa nchini Saudi Arabia.
Habari ID: 3481069   Tarehe ya kuchapishwa : 2025/08/11

IQNA – Katika Ukanda wa Gaza uliokumbwa na vita, dada watatu wa Kipalestina wamekamilisha kuhifadhi Qur’ani Tukufu yote, licha ya kuvumilia mashambulizi ya kijeshi ya Kizayuni, uhamisho wa kulazimishwa, na njaa kali.
Habari ID: 3481067   Tarehe ya kuchapishwa : 2025/08/11

IQNA – Wawakilishi wawili kutoka Malaysia wametwaa ubingwa katika Mashindano ya 65 ya Kimataifa ya Kusoma na kuhifadhi Qur’ani Tukufu ya Malaysia (MTHQA) ya 65, kila mmoja katika kipengele chake husika.
Habari ID: 3481061   Tarehe ya kuchapishwa : 2025/08/10

IQNA – Waziri Mkuu wa Malaysia amesema kuwa serikali yake itatenga ufadhili wa ziada kwa Yayasan Restu ili kuwezesha tafsiri ya Qur’ani Tukufu katika lugha nyengine 30, na hivyo kupanua zaidi upeo wa ujumbe wake wa ulimwengu.
Habari ID: 3481060   Tarehe ya kuchapishwa : 2025/08/09

IQNA – Mufti Mkuu wa Misri amesema kuwa akili mnemba (Artificial Intelligence – AI) haina mamlaka ya kutoa maamuzi ya Kiislamu au fatwa.
Habari ID: 3481058   Tarehe ya kuchapishwa : 2025/08/09