qurani tukufu - Ukurasa 26

IQNA

IQNA – Kwa lengo la kueneza mafundisho ya Uislamu, maafisa wa serikali ya Morocco wamegawa nakala za Qur’ani Tukufu kwa Wamorocco wanaoishi nje ya nchi waliporejea nyumbani.
Habari ID: 3480999   Tarehe ya kuchapishwa : 2025/07/26

IQNA – Wanafunzi thelathini wa Qatar wameshiriki katika kozi ya majira ya joto ya wiki tatu iliyoandaliwa na Kituo cha Elimu ya Qur'ani cha Al Noor kwa lengo la kuboresha kuhifadhi Qur'ani Tukufu na kukuza ujuzi wa kielimu.
Habari ID: 3480998   Tarehe ya kuchapishwa : 2025/07/25

IQNA – Shughuli za Msafara wa Qur'ani wa Arbaeen wa Iran mwaka huu nchini Iraq zinatarajiwa kuanza tarehe 5 Agosti, kwa mujibu wa afisa mmoja.
Habari ID: 3480995   Tarehe ya kuchapishwa : 2025/07/25

Kampeni ya Kimataifa ya Qur'ani ya “Fath”/ 21
IQNA-Katika kuunga mkono kampeni ya Qur’ani Tukufu iitwayo Fath inayoendeshwa na Shirika la Habari la Kimataifa la Qur’ani (IQNA), msomaji mashuhuri na mwalimu wa kimataifa wa Qur’ani, Ali Akbar Kazemi, amesoma kwa tartili Aya ya 139 ya Surah Al-Imran.
Habari ID: 3480993   Tarehe ya kuchapishwa : 2025/07/24

IQNA – Warsha ya mafunzo kuhusu misingi ya Qira’at kumi za Qur’ani Tukufu imezinduliwa katika Msikiti wa Mtume (SAW) - Al Masjid an Nabawi, mjini Madina, Saudi Arabia.
Habari ID: 3480987   Tarehe ya kuchapishwa : 2025/07/23

IQNA – Afisa mmoja wa utamaduni nchini Iran ameeleza kuwa matembezi ya Arbaeen ni dhihirisho la wazi la mafundisho ya Qur’ani Tukufu kwa vitendo.
Habari ID: 3480985   Tarehe ya kuchapishwa : 2025/07/23

IQNA – Mkutano wa 20 wa wataalamu wa Qur’ani, makari na wahifadhi wa Iran utafanyika mwezi Novemba mwaka huu chini ya usimamizi wa Baraza Kuu la Qur’ani.
Habari ID: 3480976   Tarehe ya kuchapishwa : 2025/07/21

IQNA- Ibrahim Isa Musa, qari mashuhuri kutoka Afrika ya Kati, ameshiriki katika kampeni ya Qur’ani ya “Fath” iliyoandaliwa na shirika la IQNA kwa kusoma Surah Tukufu ya Al-Nasr.
Habari ID: 3480972   Tarehe ya kuchapishwa : 2025/07/20

IQNA – Kozi maalum ya kiangazi ya kuhifadhi na kusoma Qur’ani kwa wanawake imezinduliwa katika Msikiti Mkuu wa Makka maarufu kama Masjid al Haram.
Habari ID: 3480971   Tarehe ya kuchapishwa : 2025/07/20

IQNA – Warsha ya tatu maalum ya mafunzo kuhusu mbinu mpya za kuhifadhi Qur’ani Tukufu imeanza katika Shule ya Zuhair Bin Al-Qain huko Karbala, Iraq.
Habari ID: 3480967   Tarehe ya kuchapishwa : 2025/07/19

IQNA – Idara inayosimamia kaburi au Haram ya Hadhrat Abbas (AS) huko Karbala, Iraq imetangaza usambazaji wa takriban nakala 15,000 za Qur’ani Tukufu na vitabu vya sala kwa ajili ya matumizi ya mamilioni ya waumini wanaotembelea eneo hilo takatifu.
Habari ID: 3480966   Tarehe ya kuchapishwa : 2025/07/19

IQNA – Wizara ya Wakfu ya Misri imetangaza majina ya washiriki wa KiMisri waliokidhi masharti ya kushiriki katika mtihani maalum wa uteuzi, ili kuwachagua wawakilishi katika toleo la 32 la mashindano ya kimataifa ya Qur'an nchini humo, pamoja na tarehe ya mtihani huo.
Habari ID: 3480959   Tarehe ya kuchapishwa : 2025/07/18

IQNA – Kampeni mpya ya kimataifa ya Qurani kwa jina “Fath” imezinduliwa kwa lengo la kuinua morali ya majeshi ya Kiislamu na kueneza maadili ya Qurani ndani ya jamii, hasa kufuatia mashambulizi ya hivi karibuni ya Israel dhidi ya Iran.
Habari ID: 3480957   Tarehe ya kuchapishwa : 2025/07/17

IQNA – Taasisi ya Mfalme Abdulaziz nchini Saudi Arabia imechapisha kitabu kipya kwa lugha ya Kiarabu kinachofuatilia historia ya maendeleo ya zana zilizotumika kuandika Qur’ani Tukufu.
Habari ID: 3480955   Tarehe ya kuchapishwa : 2025/07/16

IQNA – Baladi Omar, qari mashuhuri wa Qur’ani kutoka nchi ya Ivory Coast ya Afrika Magharibi, ameshiriki katika kampeni ya Qur’ani ya “Fath” kwa kusoma aya nne za mwanzo kutoka Surah al-Fath kwa tartili.
Habari ID: 3480950   Tarehe ya kuchapishwa : 2025/07/15

IQNA – Toleo la 65 la Mashindano ya Kimataifa ya Usomaji na Kuhifadhi Qur’ani Malaysia (MTHQA) litazinduliwa tarehe 2 Agosti katika Kituo cha Biashara cha Dunia Kuala Lumpur (WTCKL).
Habari ID: 3480949   Tarehe ya kuchapishwa : 2025/07/15

IQNA – Mafunzo ya Qur'ani ya asubuhi wakati wa kiangazi yanatarajiwa kufanyika katika vituo 14 vya Qur'ani kote nchini Qatar kuanzia Jumapili.
Habari ID: 3480947   Tarehe ya kuchapishwa : 2025/07/15

IQNA – Wizara ya Awqaf ya Misri imetangaza kuzindua mashindano ya kwanza ya kitaifa ya mtandaoni ya kuhifadhi na kusoma Qur'ani Tukufu nchini humo.
Habari ID: 3480946   Tarehe ya kuchapishwa : 2025/07/15

IQNA – Mpango wa kitaifa wa usomaji wa Qur’ani Tukufu umeanzishwa rasmi nchini Algeria, ukilenga kusambaza shughuli za Qur’ani katika misikiti mbalimbali ya Mkoa wa Mascara.
Habari ID: 3480943   Tarehe ya kuchapishwa : 2025/07/14

IQNA – Hafla maalum imefanyika katika mji wa Karasu, ulioko kaskazini magharibi mwa Uturuki katika mkoa wa Sakarya, kuwaenzi wasichana 34 waliokamilisha kuhifadhi Qur’ani yote kwa moyo.
Habari ID: 3480942   Tarehe ya kuchapishwa : 2025/07/14