Maadili ya Mtu Binafsi / Hatari za Ulimi 13
IQNA - Kutukana ni kuhusisha sifa isiyofaa kwa mtu kwa hasira au chuki.
Habari ID: 3479637 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/23
Harakati za Qur'ani
IQNA - Alireza Enayati, Balozi wa Iran nchini Saudi Arabia, ametembelea Kituo cha Uchapishaji Qu’ani cha Mfalme Fahd mjini Madina.
Habari ID: 3479635 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/23
Utamaduni
IQNA - Maonyesho yanayoangazia maandishi ya kaligarafia ya Qur'ani Tukufu yamefunguliwa katika mji mkuu wa Iraq wa Baghdad.
Waziri wa Utamaduni, Utalii na Mambo ya Kale wa Iraq alizindua maonyesho maalum ya maandishi ya kaligrafia ya Qur'ani Jumatatu, Oktoba 21.
Habari ID: 3479634 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/23
Diplomasia ya Qur'ani
IQNA - Maafisa kutoka Iran na Malaysia wamesisitiza umuhimu wa kuendeleza ushirikiano katika nyanja za Qur'ani.
Habari ID: 3479630 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/22
Maadili ya Mtu Binafsi / Hatari za Ulimi 12
IQNA - Istihza au dhihaka inafanuliwa na wanazuoni wa maadili kuwa ni kuiga maneno, matendo, sifa, au mapungufu ya mwingine kwa lengo la kuwafanya watu wacheke.
Habari ID: 3479628 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/21
Utamaduni wa Qur'ani
IQNA - Hassan Al-Bakouli, mwandishi wa kaligrafia wa Yemen, anasema alipokea idhini ya kunakili Msahafu wa Uthman Taha, mwandishi maarufu wa aya za Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3479627 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/21
IQNA - Video inayoonyesha usomaji wa Qur'ani wa qari wa Sudan mwenye ulemavu wa macho imewavutia watumiaji wa mitandao ya kijamii. Katika klipu hii, Msudani huyo anasoma aya za Qur'ani Tukufu za Surah Al-Hujurat.
Habari ID: 3479624 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/21
Maadili ya Mtu Binafsi / Hatari za Ulimi 11
IQNA – Mtu anapotumia La’an (kummlaani mtu mwingine), anamtaka mtu huyo awe mbali na rehema na neema za Mwenyezi Mungu.
Habari ID: 3479618 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/19
IQNA - Mashindano ya 22 ya Kimataifa ya Qur'ani ya Moscow yatafanyika katika mji mkuu wa Russia mwezi ujao.
Habari ID: 3479617 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/19
Harakati za Qur'ani
IQNA - Wakfu wa Restu wa Malaysia unatazamiwa kutia saini makubaliano ya Mradi wa Wakfu kwa lengo la kusambaza nakala milioni moja za Qur'ani Tukufu kote Uingereza.
Habari ID: 3479612 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/18
Uislamu Marekani
IQNA - Mkurugenzi wa kituo cha uchapishaji cha Qur'ani Tukufu huko Chicago, Marekani, amebainisha ongezeko kubwa la hamu ya Wamarekani kusoma Qur’ani Tukufu tangu kuanza kwa Operesheni ya Kimbunga cha Al-Aqsa na vita vya Gaza.
Habari ID: 3479610 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/18
Maadili ya Mtu Binafsi / Hatari za Ulimi 10
IQNA - Jidal, katika maadili, inahusu kubishana na katika hali mbaya ya idal, mtu hubishana ili hatimaye aonekana ndie mwenye kuibuka mshindi.
Habari ID: 3479607 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/17
Jinai za Israel
IQNA - Shambulio la anga la utawala katili wa Israel kwenye kambi ya hema katikati mwa Gaza mapema wiki hii lilisababisha moto na kuua Wapalestina kadhaa.
Habari ID: 3479602 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/17
Qurni Tukufu
IQNA - Rais wa Chuo Kikuu cha Kiislamu cha Al-Azhar cha Misri alisema Qur'ani Tukufu ina miujiza mingi ya kisayansi ambayo imewashangaza wanasayansi katika nyanja tofauti.
Habari ID: 3479601 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/16
Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani yaliyofanyika Hamburg, Ujerumani, wiki iliyopita, yalihudhuriwa na washiriki 140 kutoka nchi 40 za Ulaya.
Habari ID: 3479600 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/15
Chuki dhidi ya Uislamu
IQNA - Rasmus Paludan mwanasiasa wa siasa kali za mrengo wa kulia wa Denmark na Uswidi ambaye aliivunjia heshima Qur'ani Tukufu ameshtakiwa kwa mara kadhaa nchini Uswidi (Sweden) ambapo sasa mekataa kufika mahakamani.
Habari ID: 3479599 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/15
Maadili ya Mtu Binafsi / Hatari za Ulimi 9
IQNA - Asili ya Tuhmat au tuhuma kwa kawaida huwa ni dhann (kumshuku au kumdhania mtu vibaya). Kushuku tabia au maneno ya wengine kunaweza kusababisha mtu akatoa tuhuma iwe mbele ya mlengwa au akiwa hayupo.
Habari ID: 3479595 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/14
Mashindano ya Qur'ani
IQNA – Mashidano ya 64 Kimataifa ya Kuhifadhi na Kusoma Qur'ani ya Malaysia yamemalizika Jumamosi huku washindi wakitunukiwa zawadi.
Habari ID: 3479583 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/13
Maadili ya Mtu Binafsi / Hatari za Ulimi 8
IQNA - Buhtan (kusingizia uongo na pia kusengenya), yaani kutoa taarifa ya uwongo inayoharibu sifa ya mtu, huwa na matokeo mabaya kwa mtu binafsi na jamii.
Habari ID: 3479582 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/12
Fasihi ya Qur'ani
IQNA - Profesa wa chuo kikuu anasema mashairi ya malenga maarufu Muirani wa karne ya 14, Hafez (Hafidh) Shirazi yamejaa marejeleo ya aya n na mafundisho ya Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3479576 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/11