Sunnah za Mwenyezi Mungu katika Quran/2
IQNA – Kwa maneno ya Qur’ani, Istidraj ni mojawapo ya Sunna za Mwenyezi Mungu zisizobadilika na zilizoenea.
Habari ID: 3479325 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/24
Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Sherehe ilifanyika katika mji mkuu wa Kenya wa Nairobi kuwaenzi washindi wa mashindano ya hivi karibuni ya Qur'ani.
Habari ID: 3479322 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/24
Arbaeen 1446
IQNA - Wajumbe wa msafara wa Qur'ani wa Iran hadi sasa wameandaa programu 650 tofauti kwa wafanyaziara wa Arbaeen nchini Iraq.
Habari ID: 3479313 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/23
Arbaeen 1446
IQNA - Kundi la wanaharakati wa Qur'ani wa Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Al-Mustafa wamelekea Iraq Jumatatu jioni kushiriki katika matembezi ya Arbaeen ya Imam Hussein (AS).
Habari ID: 3479305 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/20
Arbaeen katika Qur'an /3
IQNA – Wakati Arbaeen, maana yake ni arobaini na arubaini, ni neno linalohusiana na wingi, katika maandiko mengi ya Kiislamu na Hadithi, linatumika kurejelea sifa na ukuaji wa kiroho wa mwanadamu.
Habari ID: 3479302 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/19
Arbaeen 1446
IQNA - Mkurugenzi wa Taasisi ya Qur'ani inayohusishwa na Haram ya Hazrat Abbas (AS) huko Karbala ametangaza kuanza kwa programu maalum za Qur'ani kwa wafanyaziara wa Arbaeen.
Habari ID: 3479296 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/18
Arbaeen katika Qur’ani /2
IQNA – Neno Arbaeen (maana ya siku arubaini) limetajwa ndani ya Qur’ani Tukufu kuhusu Miqat ya Musa (AS) na kuhusu jinsi Bani Isra’il walivyokwama. Kuna aya 4 ndani ya Qur’ani Tukufu ambamo Arbaeen imetajwa, 3 kati yake ni kuhusu Bani Isra’il.
Habari ID: 3479292 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/18
Ulimwengu wa Kiislamu
IQNA - Naibu Waziri Mkuu wa Malaysia Fadillah Yusof alikabidhi nakala za tafsiri na tarjuma za Qur’ani Tukufu katika Kihispania na Kilatini kwa msikiti mmoja nchini Peru.
Habari ID: 3479289 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/17
Arbaeen katika Qur'an/1
IQNA – Kuna idadi au nambari 39 zilizotajwa ndani ya Qur'an, baadhi yake zinarejelea tu nambari, wakati zingine zina siri nyuma yake.
Habari ID: 3479282 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/15
Mafundisho ya Qur'ani
IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, lengo la adui la kuzusha vita vya kisaikolojia katika upande wa masuala ya kijeshi ni la kuzitia hofu nyoyo za wananchi wa Iran lakini kama inavyotufundisha Qur'ani Tukufu, kurudi nyuma na kulegeza kamba kizembe katika medani yoyote iwe ya kijeshi au medani nyingine za kisiasa, kipropaganda na kiuchhumi, kunaendana na ghadhabu za Mwenyezi Mungu.
Habari ID: 3479281 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/15
Arbaeen 1446
IQNA - Wanachama wa msafara wa Qur'ani wa Arbaeen wa Iran wametajwa na kundi hilo linajumuisha wasomaji Qur'ani waalikwa kutoka nchi 14.
Habari ID: 3479275 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/13
Harakati za Qur'ani
IQNA – Kozi za Qur’ani Tukufu katika Majira ya joto zinazotolewa katika shule za jadi za Qur’ani za Morocco, zinazojulikana kama Maktab, zimepokelewa vyema na watu wa nchi hiyo.
Habari ID: 3479271 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/13
Arbaeen 1446
IQNA - Kituo cha Dar-ul-Quran chenye mfungamano na Mfawidhi wa Kaburi Takatifu la Imam Ali (AS) kitaendesha programu za Qur'ani kwa wafanyaziara wakati wa matembezi ya Arbaeen mwaka huu.
Habari ID: 3479269 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/12
Mayahudi katika Qur’ani / 7
IQNA – Qur’ani Tukufu imetaja baadhi ya sifa mbaya za Mayahudi ambazo zinaweza kugawanywa katika makundi manne ya kidini, kijamii, kiuchumi na kisiasa.
Habari ID: 3479265 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/11
Muqawama na Qur'ani
IQNA - Jumuiya ya Qur'ani ya Iran imesema subira na ustahimilivu wa watu wa Gaza dhidi ya uhasama wa Israel unatokana na mafundisho ya Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3479257 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/10
Waislamu Malaysia
IQNA - Serikali ya Malaysia inaunga mkono wahifadhi Qur'ani katika kupata taaluma zinginezo za kikao, anasema Naibu Waziri Mkuu Ahmad Zahid Hamidi.
Habari ID: 3479255 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/10
Chuki dhidi ya Uislamu
IQNA - Uswidi (Sweden) imemshtaki mwanamume wa miaka 42 kutoka Denmark kwa uchochezi dhidi ya jamii moja (Waislamu) na matusi siku ya Jumatano, waendesha mashtaka walisema katika taarifa.
Habari ID: 3479250 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/09
Harakati za Qur'ani
IQNA - Wizara ya Wakfu na masuala ya Kiislamu ya Algeria inasema wasichana wa nchi hiyo wamekuwa wakifurahia sana kozi za Qur'ani Tukufu za msimu huu wa majira ya joto nchini humo..
Habari ID: 3479246 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/08
Mayahudi Katika Qur'ani /6
IQNA – Qur’ani Tukufu inawataja Mayahudi kuwa ni watu wenye pupa zaidi ya maisha ya kidunia na wanaelezewa kuwa wenye pupa na tamaa zaidi kuliko Mushrikeen (washirikina). Ikumbukwe kwamba Qur'ani Tukufu ina misimamo miwili juu ya Mayahudi. Moja ni kuhusu wale Mayahudi wanaomwamini Mungu Mmoja na Siku ya Kiyama na wakatenda mema na wao ni miongoni mwa “Watu wa Kitabu”.
Habari ID: 3479244 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/08
Arbaeen 1446
IQNA – Matembezi ya Arbaeen, ambayo hujumuisha mamilioni ya waumini, yanatoa fursa muhimu ya kukuza utamaduni wa Qur'ani Tukufu, afisa wa Qur'ani wa Iran anasema.
Habari ID: 3479238 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/06