Qarii
IQNA – Sheikh Shaban Abdul Aziz Sayyad, qari mashuhuri wa Misri ambaye alijulikana kwa ufasaha, uwezo na umahiri wake wa kusoma Qur’ani Tukufu, alifariki Januari 29, 1998, akiwa na umri wa miaka 58.
Habari ID: 3478284 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/01
IQNA - Siku ya 27 ya mwezi wa Hijri wa Rajab iliteuliwa kuwa Siku ya Kitaifa ya Kurani Tukufu nchini Iraq.
Habari ID: 3478283 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/01
Uislamu
IQNA - Makumi ya vijana wa Kiislamu nchini Madagaska (Madagascar) walishiriki katika tukio la kipekee kama sehemu ya ibada ya Itikaf, iliyomalizika Januari 26, 2024.
Habari ID: 3478282 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/01
Watetezi wa Palestina
IQNA - Mufti Mkuu wa Tajikistan amesisitiza ulazima wa kuwepo umoja katika ulimwengu wa Kiislamu ili kuiokoa Palestina kutokana na ukandamizaji na kukaliwa kwa mabavu.
Habari ID: 3478277 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/30
Harakati za Qur'ani
IQNA - Maonesho ya 31 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Tehran yatafanyika wakati wa likizo ya Nowruz, yaani mwaka mpya wa Kiirani katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani afisa mmoja alisema.
Habari ID: 3478276 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/30
Harakati ya Qur'ani
IQNA - Wizara ya Utamaduni na Miongozo ya Kiislamu ya Iran imetangaza kuzindua kituo cha tarjama au tarjuma ya Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3478275 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/30
Pepo Katika Qur'ani/2
IQNA – Baraka ambazo waumini watazipata peponi hatuwezi kuzifahamu na kuzidiriki kikamilifu kwani akhera ni dunia iliyo bora zaidi, kubwa na ya juu kuliko dunia hii.
Habari ID: 3478274 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/29
Misri
IQNA - Ahmed Hijazi, mwanamuziki wa Misri, amehukumiwa kifungo cha miezi sita jela kwa kuitusi Qur'ani Tukufu, vyombo vya habari vya nchi hiyo vimeripoti.
Habari ID: 3478272 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/29
Sudan
IQNA - Nakala ya Qur'an Tukufu ilibakia salama baada ya moto kuteketeza gari nchini Sudan hivi karibuni.
Habari ID: 3478271 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/29
IQNA – Kiikao cha Khatmul Quran (kusoma Qur'ani Tukufu kutoka mwanzo hadi mwisho) kimefanyika kwa wanawake katika msikiti katika mji mkuu wa Misri.
Habari ID: 3478270 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/29
Uislamu kwa watu wote
IQNA - Nakala za Qur'ani Tukufu na vitabu vya Kiislamu katika maandishi ya maandishi ya nukta nundu au kwa lugha ya kiingereza Braille, ni miongoni mwa vitu vilivyoonyeshwa kwenye toleo la 55 la Maonyesho ya Kimataifa ya Vitabu ya Cairo.
Habari ID: 3478267 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/28
Ta'azia
IQNA - Qari Barakatullah Saleem, msomaji na mwanazuoni mashuhuri wa Qur'ani Tukufu wa Afghanistan, alifariki siku ya Jumamosi mjini Kabul baada ya kuugua, familia yake ilithibitisha.
Habari ID: 3478263 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/28
Afya ya Akili katika Qur’ani /3
IQNA - Tawakkal au Tawakkul, ambayo ina maana ya mwanadamu kuweka imani kwa Mwenyezi Mungu, ni miongoni mwa mafundisho ambayo yana nafasi muhimu katika kuimarisha na kudumisha afya ya akili.
Habari ID: 3478259 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/27
Chuki dhidi ya Uislamu
IQNA - Meya wa mji wa Arnhem nchini Uholanzi Ahmed Marcouch aliwataka wanasiasa wa kitaifa kuharamisha vitendo vya kuvunjia heshima Qur'ani Tukufu, huku akisema vitendo hivyo ni "vya sumu vinavyowakera wengine".
Habari ID: 3478255 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/26
Harakati za Qur'ani
IQNA - Kijana wa Kipalestina amezindua mpango wa kusambaza nakala za Qur’ani Tukufu miongoni mwa wale wanaoishi katika kambi za wakimbizi katika eneo la Gaza ambalo linakabiliwa na mauaji ya kimbari ya utawala wa Kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3478253 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/25
Wajue watafiti wa Qur'ani /40
IQNA-Sheikh Abdullah al-Farsy, alikuwa mwanazuoni wa Kizanzibari mwenye asili ya Oman, na aliandika mojawapo ya tafsiri kamili za mwanzo za Qur'ani Tukufu kwa lugha ya Kiswahili.
Habari ID: 3478248 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/24
Afya ya Akili Katika Qur'ani /2
IQNA - Moja ya dhana muhimu katika afya ya akili ni amani ya akili, ambayo inaweza kupatikana wakati moyo na ulimi wa mtu hujazwa na kumbkumbuka au kumtaja Mwenyezi Mungu.
Habari ID: 3478247 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/24
Mashindano ya Qur'ani Tukufu
IQNA - Duru ya awali ya Mashindano ya 19 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Algeria ilianza katika mji mkuu wa nchi hiyo siku ya Jumapili.
Habari ID: 3478240 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/23
Harakati za Qur'ani Tukufu
IQNA – Kikao cha usomaji wa Qur'ani Tukufu imepangwa kufanyika Sydney, Australia, kwa mnasaba wa kumbukumbu ya kuzaliwa Imam Ali (AS).
Habari ID: 3478239 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/23
Harakati za Qur'ani
IQNA - Wizara ya Wakfu na Masuala ya Kiislamu ya Jordan imechapisha nakala milioni moja za Qur'ani Tukufu tangu ilipoanzishwa mwaka 1968.
Habari ID: 3478237 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/22