Harakati za Qur'ani
IQNA - Kituo cha kuhifadhi Qur'ani na kufundisha sayansi ya Qur'ani kimezinduliwa huko Sirte, mji ulio kaskazini mwa Libya.
Habari ID: 3478474 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/09
Nidhamu
IQNA - Qari maarufu nchini Misri amehukumiwa kifungo cha miezi sita jela kwa tabia yake isiyo ya kawaida alipokuwa akisoma Qur’ani Tukufu hivi karibuni.
Habari ID: 3478471 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/08
Mtazamo wa Maadili Katika Qur'ani/ 3
IQNA-Aya za Qur'ani Tukufu na Hadithi zinatuhimiza tuepuke shubuha, kushuku na kutoaminiana. Kuwashuku au kuwa na dhana mbaya kuhusu wengine ni tabia mbaya ambayo inaweza kuwa na athari hasi kwa mtu na wale wanaohusishwa naye.
Habari ID: 3478462 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/06
Mwezi wa Ramadhani
IQNA - Kama ilivyokuwa miaka ya nyuma, Misri inapanga kutuma wasomaji Qur'ani na wahubiri katika nchi mbalimbali katika mwezi mtukufu wa Ramadhani mwaka huu.
Habari ID: 3478459 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/06
Qurani Tukufu
IQNA - Waziri anayemaliza muda wake wa masuala ya kidini wa Pakistan amesisitiza wajibu wa kila Muislamu mwanamume na mwanamke kueneza elimu ya Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3478454 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/05
Mtazamo wa Maadili Katika Qur'ani/ 2
IQNA – Wivu au uhasidi ni tabia mbaya ambayo husababisha mtu kutaka wengine kupoteza baraka zao. Kwa hakika wivu ulikuwa sababu ya mauaji ya kwanza na pia mauaji ya kwanza baina ya ndugu wa familia moja katika historia ya wanadamu.
Habari ID: 3478452 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/05
Utamaduni
IQNA – Jumba la Makumbusho ya Qur'ani la "Bait Al-Hamd" limezinduliwa nchini Kuwait kwa lengo la kukuza Qur'ani Tukufu na maarifa ya Kiislamu.
Habari ID: 3478451 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/04
Turathi ya Kiislamu
IQNA - Miongoni mwa vitu vinavyoonyeshwa kwenye Maktaba ya Kitaifa ya Qatar ni nakala adimu ya Qur'ani Tukufu kutoka Morocco.
Habari ID: 3478442 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/03
Harakati za Qur'ani Misri
IQNA - Wizara ya Wakfu ya Misri inapanga kuzindua msafara wa wasomaji Qur'ani Tukufu kwa ajili ya mwezi mtukufu wa Ramadhani. Msafara huo utaundwa na Idara ya Wakfu ya Mkoa wa Alexandria.
Habari ID: 3478441 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/03
Mwezi wa Ramadhani
IQNA – Misikiti nchini Misri inatayarishwa kuwakaribisha waumini katika mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3478436 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/01
Waislamu Russia
IQNA - Kijana mmoja amehukumiwa kifungo cha miaka 3.5 jela nchini Russia kwa kujunjia heshima nakala Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3478430 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/29
Harakati za Qur'ani
IQNA - Wizara ya Wakfu ya Misri iliandaa kongamano la Qur'ani katika misikiti 66 kote nchini.
Habari ID: 3478426 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/28
Qur'ani Tukufu barani Afrika
IQNA-Video iliyosambazwa na mtalii wa Morocco, ambapo watoto wa Kiafrika wanasoma aya za Sura Maryam kwa njia nzuri na ya kipekee, imewavutia wengi katika mitandao ya kijamii.
Habari ID: 3478425 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/28
Harakati za Qur'ani
IQNA - Astan (Mfawidhi) wa Haram tukufu ya Imam Hussein (AS) huko Karbala, Iraq, ilimtaja mwandishi mashuhuri wa kaligrafia, Uthman Taha kama shakhsia wa Qur'ani wa mwaka.
Habari ID: 3478413 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/25
Saikolojia katika Qur’ani /1
IQNA – Msongo wa mawazo (stress) au shinikizo la kisaikolojia ni hali ambayo hutokana na matukio mabaya au magumu ambayo huathiri mwili au akili ya mtu na kusababisha msukosuko na mfadhaiko.
Habari ID: 3478375 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/18
Harakati za Qur'ani
IQNA - Makumi ya watoto huko Rafah, kusini mwa Gaza, ambao wamehitimu katika mafunzo ya
Habari ID: 3478360 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/16
Mashindano ya Qur'ani ya Iran
IQNA –Raundi ya mwisho ya toleo la 8 la mashindano ya kimataifa ya Qur'ani kwa wanafunzi wa shule za Kiislamu duniani itaanza mjini Tehran siku ya Alhamisi.
Habari ID: 3478351 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/14
Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Mashindano ya nchi nzima ya Qur'ani yanaendelea nchini Mauritania ambayo yanalenga kuchagua wawakilishi wa nchi hiyo ya Kiafrika kwa ajili ya mashindano yajayo ya kimataifa ya Qur'ani.
Habari ID: 3478348 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/14
Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Mashindano ya kimataifa ya mabingwa katika kuhifadhi Qur'ani Tukufu na utamaduni wa Kiislamu yamepangwa kufanyika nchini Misri msimu huu wa kiangazi.
Habari ID: 3478346 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/13
Watetezi wa Qur'ani Tukufu
IQNA - Waislamu wa Uholanzi wamesambaza nakala za Qur’ani Tukufu zenye tafsiri ya Kiholanzi ili kujibu la jaribio la mrengo mkali wa kulia la kuchoma kitabu kitakatifu cha Waislamu mwezi uliopita.
Habari ID: 3478342 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/12