Fikra za Qur'ani
IQNA - Kongamano la Kuchunguza Fikra za Qur'ani za Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Seyed Ali Khamenei.
Habari ID: 3478065 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/20
Lugha ya Kiarabu
IQNA - Kuteremshwa kwa Qur'ani Tukufu kwa Kiarabu kuliongeza hadhi na kudumu kwa lugha hiyo, Kituo cha Kiislamu cha Al-Azhar cha Misri kilisema.
Habari ID: 3478058 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/19
Qur'ani Tukufu
IQNA - Mashindano ya 36 ya Kitaifa ya Qur'ani Tukufu ya Maldives yamepangwa kuzinduliwa tarehe 23 Februari 2024.
Habari ID: 3478057 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/19
Watetezi wa Qur'ani Tukufu
IQNA - Jumuiya ya Nchi za Kiarabu imepongeza uamuzi wa hivi majuzi wa bunge la Denmark wa kuharamisha kunajisi maandishi ya kidini.
Habari ID: 3478056 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/19
Uislamu na Teknolojia
IQNA-Jumuiya ya Kuhudumia Qur’ani Tukufu na Sunnah ya Al-Burhan imezindua apu mpya iliyopewa jina la Salim inayowasaidia watoto walio na umri wa chini ya miaka 8 kujifunza Quran bila ya kuhitaji mwalimu.
Habari ID: 3478054 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/18
Jiografia ya Matukio katika Qur'ani Tukufu/4
IQNA – Upeo wa utawala wa Mtume Suleiman (Amani ya Mwenyezi Mungu Iwe Juu Yake-AS-) ulikuwa mkubwa kiasi kwamba hata falme kubwa zaidi katika historia zinaonekana kuwa ndogo ikilinganishwa ufalme wa nabii huyo.
Habari ID: 3478051 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/18
Jiografia ya Matukio katika Qur'ani Tukufu/3
IQNA - Watu wote waliowahi kuishi duniani ni kizazi cha Adam (AS) na Hawa.
Habari ID: 3478032 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/14
Mashindano ya Qur'ani Tukufu
IQNA - Waziri wa Wakfu Misri amesema mashindano ya kimataifa ya Qur'ani yatafanyika nchini humo kwa kushirikisha wasomaji na wahifadhi wa Qur'ani Tukufu kutoka nchi 60.
Habari ID: 3478031 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/13
Utamaduni
IQNA - Msichana mdogo katika eneo la Kashmir linalotawaliwa na India amesifiwa kwa kazi yake ya kaligrafia ya Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3478030 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/13
Mashindano ya Qur'ani Tukufu
IQNA - Tehran imeandaa shindano la kuchagua wawakilishi wa Iran katika mashindano yajayo ya kimataifa ya Qur'ani Tukufu kwa wanafunzi wa shule.
Habari ID: 3478029 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/13
Ta'azia
IQNA – Sheikh Zia al-Nazir, msomaji maarufu wa Ibtihal nchini Misri, alifariki dunia Jumamosi, Desemba 9.
Habari ID: 3478022 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/12
Watetezi wa Qur'ani Tukufu
IQNA - Kituo cha Kiislamu cha Al-Azhar cha Misri kimepongeza hatua ya Denmark ya kupiga marufuku vitendo vya kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu nchini humo na kutarajia nchi nyingine za Ulaya zitafanya hivyo.
Habari ID: 3478021 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/11
Elimu ya Qur'ani Tukufu
IQNA - Libya imeandaa kongamano la kimataifa la siku tatu kuhusu sayansi ya Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3478020 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/11
Waislamu Nigeria
IQNA - Mhubiri mkuu wa Kiislamu katika Jimbo la Oyo, kusini magharibi mwa Nigeria, alisisitiza haja ya serikali kuunga mkono masomo ya Qur'ani Tukufu na Kiislamu nchini humo.
Habari ID: 3478019 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/11
Diplomasia ya Qur'ani
IQNA - Baadhi ya wasomaji Qur'ani Tukufu kutoka nchi za kigeni wamealikwa kushiriki katika programu za usomaji (qiraa) wa Qur'ani Tukufu nchini Iran wakati wa sherehe za kuadhimisha kumbukumbu ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu.
Habari ID: 3478013 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/09
Turathi ya Kiislamu
KARBALA (IQNA) – Kopi ya nakala ya kodexi ya Msahahafu wa karne 14 zilizopita wa Mashhad, (Mus'haf Mashhad Razawi) imekabidhiwa Idara ya Mfawidhi wa Haram Tukufu ya Imam Hussein (AS) huko Karbala, Iraq.
Habari ID: 3478012 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/09
Uislamu Ulaya
Bunge la Denmark limepitisha mswada wa sheria inayoharamisha vitendo vya kuvunjia heshima nakala za Qur'ani Tukufu katika maeneo ya umma.
Habari ID: 3478003 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/08
Shughuli za Qur'ani Tukufu
CAIRO, (IQNA) - Wizara ya Wakfu ya Misri inapanga kuzindua programu za mfunzo ya Qur'ani Tukufu kwa watoto katika misikiti.
Habari ID: 3478002 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/07
Watetezi wa Qur'ani Tukufu
MOSCOW (IQNA)- Russia imetangaza kwamba inajitahidi kuandaa taarifa ya kimataifa katika Umoja wa Mataifa ya kulaani vitendo vyote kudhalilishwa au kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu na Uislamu, mwanadiplomasia wa nchi hiyo amesema.
Habari ID: 3478001 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/07
Mashindano ya Qur'ani
DUBAI (IQNA) - Waandalizi wa toleo la 24 la Mashindano ya Qur'ani Tukufu ya Sheikha Hind Bint Maktoum katika Umoja wa Falme za Kiarabu walitangaza Desemba 13 kama tarehe ya mwisho ya usajili.
Habari ID: 3477996 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/06