Utamaduni wa Kiislamu
IQNA - Mwandishi wa kaligrafia kutoka Misri ambaye amekamilisha uandishi wa Qur'ani Tukufu anasema kufikia mafanikio haya ni ndoto ya kila mwanakaligrafia Muislamu.
Habari ID: 3478235 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/22
Qari Mashuhuri
IQNA - Wale wanaopenda usomaji wa Qur’ani Tukufu wa marehemu qari wa Misri Muhammad Sidiq Minshawi wanamtaja kama mfalme wa Maqam ya Nahawand.
Habari ID: 3478229 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/21
Al Azhar
IQNA - Msomi na afisa wa zamani wa Chuo Kikuu cha Kiislamu cha Al-Azhar cha Misri amesisitiza ulazima
Habari ID: 3478228 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/21
Harakati za Qur'ani
IQNA - Mashindano ya kuhifadhi na kufasiri Qur'ani Tukufu yameanza huko Bamako, mji mkuu wa Mali siku ya Ijumaa.
Habari ID: 3478225 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/21
Mawaidha
IQNA – Taqwa (Kumcha Mungu) ni aina ya ulinzi maalum wa Nafs au Nafsi ambao pia huitwa kulinda eneo takatifu la Mwenyezi Mungu.
Habari ID: 3478224 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/20
Harakati za Qur'ani
IQNA - Maafisa kadhaa kutoka Kituo cha Kiislamu cha Al-Azhar nchini Misri wamefanya mazungumzo na wanachama wa chama cha wachapishaji cha Misri ili kujadili njia za kutatua matatizo katika mchakato uchapishaji Misahafu au nakala za Qur’ani Tukufu nchini humo.
Habari ID: 3478222 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/20
Chuki dhidi ya Uislamu (Islamophobia)
IQNA - Tangu kuanza kwa vita vya utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Ukanda wa Gaza mnamo Oktoba 7, 2023, idadi ya jinai za chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu ikiwa ni pamoja na barua za vitisho zilizotumwa kwa misikiti nchini Ujerumani imeongezeka sana.
Habari ID: 3478217 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/19
Elimu
IQNA – Toleo la 16 la Tamasha la Kimataifa la Qur'ani na Hadithi la Chuo Kikuu cha Al-Mustafa (SAW) limehudhuriwa na wanafunzi kutoka nchi 68.
Habari ID: 3478212 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/18
Mawaidha
IQNA - Qur'ani Tukufu ina amri na maagizo mengi yanayolenga kusaidia ukuaji wa kiroho wa wanadamu.
Habari ID: 3478209 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/18
Qari Maarufu wa Misri
IQNA - Sheikh Mahmoud al-Bujairami alikuwa qari mashuhuri wa Misri ambaye alisafiri katika nchi nyingi za Kiislamu kwa ajili ya kusoma Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3478207 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/17
Harakati za Qur'ani Tukufu
IQNA - Urais wa Haramain (misikiti miwili mitakatifu ya Makka na Madina) imezindua programu ya kujifunza Qur'ani Tukufu kwa njia ya intaneti.
Habari ID: 3478203 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/16
Ustamaduni wa Kiislamu
IQNA - Watu katika mikoa ya kusini mwa Morocco wamekuwa wakirejea tena katika Maktab (shule za jadi za Qur'ani).
Habari ID: 3478202 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/16
Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Mashindano ya kitaifa ya Qur'ani Tukufu ya Brunei yataanza Jumatano, Januari 17.
Habari ID: 3478200 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/16
Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Waandaaji wa Awamu ya Tatu ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Meshkat wametangaza kanuni na vigezo vya kuwasilisha visomo vya qiraa ya Qur'ani iliyorekodiwa.
Habari ID: 3478196 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/14
Chuki dhidi ya Uislamu
IQNA - Polisi wameshambulia waandamanaji waliokuwa wanapinga mpango wa kuteketeza moto nakala ya Qur’ani Tukufu, mpango ambao ulikuwau umepangwa na mkuu wa vuguvugu la kupinga Uislamu la PEGIDA, Edwin Wagensveld, katika mji wa Arnhem nchini Uholanzi.
Habari ID: 3478195 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/14
Sura za Qur'ani Tukufu: An-Nisa
IQNA – Surah An-Nisa, sura ya nne ya Quran, inaanza kwa kupendekeza Taqwa (kumcha Mungu).
Habari ID: 3478193 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/13
Harakati za Qur'ani
IQNA – Duru ya 9 la Tamasha la Kimataifa la Usomaji Qur'ani Tukufu Kwa Tajweed litafanyika Casablanca, Morocco, baadaye mwezi huu.
Habari ID: 3478167 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/08
Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Mashindano ya 24 YA Qur'ani Tukufu ya Sheikha Hind Bint Maktoum katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) yalianza Jumamosi jioni.
Habari ID: 3478165 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/08
IQNA - Waziri wa zamani wa utamaduni wa Tunisia alibainisha kuwa Tafsiri ya Qur’ani ya Sheikh Muhammad al-Ṭahir ibn Ashur (1879-1973) ilikuwa ni tafsiri ya kwanza ya Qur’ani nzima katika eneo la Kiarabu la Maghreb.
Habari ID: 3478164 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/07
Jitihada
IQNA - Licha ya mashambulizi ya mauaji ya kimbari yanayotekelezwa na Israel dhidi ya Wapalestina katika Ukanda wa Gaza ambayo yamepelekea watu ya 23,000 kupoteza maisha na malaki kuyahama makazi yao, mafunzo ya Qur'ani Tukufu yanaendelea katika eneo hilo lililozingirwa.
Habari ID: 3478163 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/07