iran - Ukurasa 2

IQNA

IQNA – Iran itaadhimisha Eid al‑Fitr siku ya Jumamosi, tarehe 21 Machi, baada ya hilali ya mwezi wa Shawwal kutoonekana nchini humo jioni ya Alhamisi.
Habari ID: 3482074    Tarehe ya kuchapishwa : 2026/03/20

IQNA-Katika taarifa yenye vipengele sita iliyoelekezwa kwa serikali za nchi za Kiislamu, Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran amesema: “Lazima muamue msimamo wenu katika Vita vya Ramadhani, je, mnasimama upande wa nchi ya Kiislamu ya Iran, au upande wa Marekani na Israel?”
Habari ID: 3482064    Tarehe ya kuchapishwa : 2026/03/17

IQNA – Wakati mashambulizi ya kijeshi ya Marekani na Israel dhidi ya Iran yakiingia katika juma lake la tatu na idadi ya raia wanaopoteza maisha ikiongezeka pande zote mbili, sauti ya kwanza ya kupinga imejitokeza kutoka ndani ya utawala wa Trump wenyewe.
Habari ID: 3482059    Tarehe ya kuchapishwa : 2026/03/15

IQNA-Maandamano ya Siku ya Kimataifa ya Quds yameanza leo kote nchini Iran huku taifa likiwa katika maombolezo ya shahidi Imam Ayatullah al Udhma Sayyid Ali Khamenei.
Habari ID: 3482052    Tarehe ya kuchapishwa : 2026/03/13

IQNA – Maandamano ya kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Quds yanatarajiwa kufanyika katika miji na maeneo yote ya Iran Ijumaa hii.
Habari ID: 3482041    Tarehe ya kuchapishwa : 2026/03/11

Uchambuzi wa Mapambano Dhidi ya Uzayuni katika Qur’ani/4
IQNA-Katika matukio ya hivi karibuni, mbele ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kulikuwepo njia mbili: vita au mazungumzo. Watu wengi kwa kawaida walipendelea mazungumzo. Hata hivyo, kwa nini hatima ya nchi ikaishia kwenye vita?
Habari ID: 3482033    Tarehe ya kuchapishwa : 2026/03/09

IQNA — Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi mpya ya Diplomasia ya Qur'ani amesisitiza kuwa dhamira kuu ya taasisi hiyo ni kuimarisha umoja wa Umma wa Kiislamu kwa msingi wa Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3481999    Tarehe ya kuchapishwa : 2026/02/26

IQNA – Kufuatia kuonekana kwa hilali ya mwezi mwandamo jioni ya Jumatano, Alhamisi ilitangazwa rasmi kuwa siku ya kwanza ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani nchini Iran.
Habari ID: 3481956    Tarehe ya kuchapishwa : 2026/02/19

IQNA – Mwanazuoni wa Kisunni kutoka Iran amesema kuwa kulinda umoja wa Umma wa Kiislamu kutazima njama zote zinazopangwa na maadui.
Habari ID: 3481950    Tarehe ya kuchapishwa : 2026/02/17

IQNA – Shirika la Utangazaji la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran (IRIB) limesambaza kionjo rasmi cha msimu mpya wa kipindi cha televisheni cha “Mahfel”, ambacho hurushwa nchini Iran wakati wa mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3481943    Tarehe ya kuchapishwa : 2026/02/16

IQNA-Kiongozi wa harakati ya Muqawama (mapambano ya Kiislamu) ya Ansarullah nchini Yemen amesema kuwa Marekani na Utawala wa Israel zinakabiliana na Iran kwa sababu Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inasimama kama kizuizi dhidi ya mradi wao mpana wa kutawala eneo la Asia Magharibi au Mashariki ya Kati.
Habari ID: 3481932    Tarehe ya kuchapishwa : 2026/02/14

IQNA – Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran yamegeuka kuwa mfano hai wa kuunganisha dini, maisha ya kijamii na maendeleo katika ulimwengu wa kisasa, amesema mchambuzi mmoja wa masuala ya kisiasa kutoka Lebanon.
Habari ID: 3481925    Tarehe ya kuchapishwa : 2026/02/12

Mamilioni ya wananchi kutoka matabaka yote ya kijamii wamejitokeza mitaani kote nchini Iran kushiriki maandamano ya kitaifa yanayoashiria maadhimisho ya miaka 47 ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu.
Habari ID: 3481919    Tarehe ya kuchapishwa : 2026/02/11

IQNA – Jumuiya ya Qur'ani ya Iran imesisitiza kuwa vita kuu duniani hadi leo bado ni vita juu ya Qur'ani, ikisema kuwa hali ya sasa ya maendeleo ya kimataifa inaonyesha wazi kuwa wakati umefika kwa mazungumzo na fikra za Qur'ani kujitokeza kwa nguvu katika uwanja wa umma.
Habari ID: 3481913    Tarehe ya kuchapishwa : 2026/02/10

IQNA – Hafla maalumu imefanyika mjini Tehran siku ya Jumapili kutoa heshima kwa marehemu mwanazuoni mashuhuri Sheikh Ahmed Omar Hashem, aliyewahi kuwa Rais wa Chuo Kikuu cha Al-Azhar cha Misri.
Habari ID: 3481907    Tarehe ya kuchapishwa : 2026/02/09

IQNA – Majina ya wanachama wa Msafara wa Qur'ani wa Nurwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, unaotarajiwa kuelekea Ufalme wa Saudi Arabia wakati wa msimu wa Hija mwaka huu, yametangazwa rasmi.
Habari ID: 3481906    Tarehe ya kuchapishwa : 2026/02/09

IQNA – Qari au Msomaji mahiri wa Qur'ani Tukufu kutoka Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Mohsen Qassemi, ameibuka mshindi wa kwanza katika toleo la tatu la Tuzo ya Kimataifa ya Usomaji wa Qur'ani ya Al-Ameed, lililofanyika nchini Iraq.
Habari ID: 3481902    Tarehe ya kuchapishwa : 2026/02/08

IQNA – Profesa mmoja wa Chuo Kikuu kutoka Iraq ameyalezea Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran si tu kama tukio la kisiasa, bali kama mabadiliko makubwa katika mantiki ya madaraka na ufahamu wa Ummah ya Kiislamu.
Habari ID: 3481894    Tarehe ya kuchapishwa : 2026/02/07

Taarifa ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran
IQNA-Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imewaita mabalozi wa nchi wanachama wa Umoja wa Ulaya (EU) kuwasilisha malalamiko yake dhidi ya azimio la hivi karibuni la EU linalolenga Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC).
Habari ID: 3481889    Tarehe ya kuchapishwa : 2026/02/04

Kundi la wasomi, wanafalsafa na wanaharakati kutoka sehemu mbalimbali za dunia limetangaza kumuunga mkono Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Seyyed Ali Khamenei, pamoja na juhudi zake za ujasiri na zenye upeo mpana katika kulinda utu wa binadamu na haki.
Habari ID: 3481888    Tarehe ya kuchapishwa : 2026/02/04