Duru ya Nne ya Mashindano ya Kimataifa aya Qur'ani Barani Ulaya itfanyika nchini Ujerumaani kuanzia Machi 25-27 mwaka 2016.
Habari ID: 3468966 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/12/24
Abiria Waislamu wamezuia kuuawa wenzao wa Kikristo huko Kenya katika shambulio la magaidi wakufurishaji wa al Shabab.
Habari ID: 3468865 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/12/23
Jeshi la Nigeria limetumia buldoza kubomoa kikamilifu ukumbi wa Husseiniyyah Baqiyyatullah katika mji wa Zaria sehemu ambayo ni makao makuu ya Harakati ya Kiislamu ya Nigeria.
Habari ID: 3467977 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/12/21
Maafisa wa Nigeria wamesema kuwa Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria ambaye alitiwa nguvuni na jeshi huku familia na wafuasi wake wakichukuliwa hatua kali za jeshi na kusababisha umwagaji damu watashtakiwa.
Habari ID: 3467870 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/12/21
Mkuu wa Jumuiya ya Maulamaa wa Kisuni wa Iraq amefichua mkono wa Saudi Arabia katika mauaji yaliyofanywa na jeshi la Nigeria dhidi ya Waislamu wa madhehebu ya Shia katika mji wa Zaria.
Habari ID: 3467471 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/12/20
Maandamano ya kulaani mauaji ya umati ya Waislamu nchini Nigeria yameendelea kushuhudiwa katika pembe mbali mbali za dunia.
Habari ID: 3467081 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/12/20
Maandamano yamefanyika katiak maeneo mbali mbali duniani ikiwa ni pamoja na Iraq, Bahrain, Uingereza na Pakistan kulaani mauaji ya Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini Nigeria.
Habari ID: 3465571 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/12/18
Mwana wa kiume wa Sheikh Ibrahim Zakzaky wa nchini Nigeria amesema familia bado haijazungumza na kiongozi huyo wa Waislamu wa madhehebu ya Shia tangu alipokamatwa na kwa mantiki hiyo hawana uthibitisho wowote kama yuko hai au la.
Habari ID: 3465562 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/12/18
Shirika la Iran la Utamaduni na Uhusiano wa Kiislamu ICRO limetoa taarifa na kulaani hujuma ya hivi karibuni ya jeshi la Nigeria dhidi ya Waislamu wa madhehebu ya Shia ambapo zaidi ya waumini 1000 wameripotiwa kuuawa.
Habari ID: 3464304 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/12/17
Donald Trump, mwanasiasa wa chama cha Republicans amesema baadhi ya waitifaki wa Marekani, ikiwemo Israel, wanaliunga mkono na kulipa misaada kundi la kigaidi la ISIS au Daesh.
Habari ID: 3463979 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/12/16
Baraza la Mahusiano ya Kiislamu Marekani CAIR limemlaani Donald Trump anayewania kuteuliwa kugombea urais wa tikiti ya chama cha Republican, kufuatia matamshi yake kuwa Waislamu watimuliwe Marekani.
Habari ID: 3461178 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/12/08
Waislamu katika eneo la Qatif Saudi Arabia Ijumaa hii wametoa wito wa kusitishwa hukumu ya kunyongwa mwanazuoni maarufu wa Kiislamu katika eneo hilo Sheikh Nimr Baqir An Nimr.
Habari ID: 3460127 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/12/06
Waislamu nchini Marekani wamebainisha wasiwasi wao mkubwa kuhusu wimbi jipya la chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu kufuatia mauaji yaliyofanyika California.
Habari ID: 3459724 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/12/04
Takribani miaka 1376 iliyopita, ilifanyika majlisi ya kwanza ya siku ya Arubaini tangu kuuawa shahidi mjukuu wa Mtume Muhammad SAW Imam Hussein bin Ali AS akiwa na watu wa Nyumba Tukufu ya Mtume ambao waliuawa shahidi tarehe 10 Muharram mwaka 61 Hijria.
Habari ID: 3459320 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/12/02
Kundi la kigaidi Boko Haram limetangaza kuhusika na shambulio dhidi ya msafara wa Waislamu wa Madhehebu ya Shia waliokuwa katika msafara wa maombolezo ya Imam Hussein AS jimbo la Kaduna nchini Nigeria.
Habari ID: 3458202 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/29
Kiongozi wa kanisa Katoliki duniani, Papa Francis ametoa wito kwa viongozi wa dini mbalimbali nchini Kenya kuzidisha ushirikiano na urafiki miongoni mwao ili kuepusha fitina za kidini na kimadhehebu.
Habari ID: 3457358 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/26
Vitendo vya chuki na utumiaji mabavu dhidi ya Waislamu nchini Ufaransa vinaripotiwa kuongezeka siku baada ya siku hasa baada ya mashambulio ya kigaidi ya hivi karibuni katika mji mkuu wa nchi hiyo Paris.
Habari ID: 3455375 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/22
Ofisi ya Mwendesha Mashtaka nchini Ufaransa imethibitisha kuwa gaidi aliyepanga na kuratibu mashambulizi ya kigaidi ya Paris ameuawa.
Habari ID: 3454889 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/21
Kamati ya haki za binadamu ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa imeitaka serikali ya Myanmar iheshimu haki za jamii ya Waislamu wa Rohingya walio wachache katika nchi hiyo.
Habari ID: 3454884 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/21
Warsha ya kuhusu kumbukumbu ya Arubaini ya Imam Hussein AS imefanyika Bauchi nchini Nigeria.
Habari ID: 3454535 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/19