iqna

IQNA

Mwanae mwanazuoni mashuhuri wa Kiislamu Nigeria, Sheikh Ibrahim Zakzaky, Jumamosi amelalamika kuwa, wazazi wake wanazorota kiafya korokoroni na serikali imewanyima huduma za kitiba.
Habari ID: 3470468    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/23

Mwakilishi wa Faqihi Mtawala katika masuala ya Hija na Ziara za Kidini Iran
Mwakilishi wa Faqihi Mtawala katika masuala ya Hija na Ziara za Kidini Iran amesisitiza kuhusu Diplomasia ya Hija baina ya nchi zote za Kiislamu hasa Iran na Pakistan.
Habari ID: 3470467    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/21

Kila wikendi, Waislamu wa kundi la GainPeace, (tupate amani) la Chicago, Marekani hutenga meza ya vitabu ambapo husambaza nakala za Qur'ani na vitabu vigine vya Kiislamu katika mji huo.
Habari ID: 3470466    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/21

Zaidi ya watu 44 wameuawa kufikia Jumanne katika mapigano yalianza Julai 9 katika eneo la Kashmir linalidhibitiwa na India.
Habari ID: 3470465    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/19

Kongamano la Kimataifa kuhusu masomo ya Qur'ani Tukufu limemalizika katika mji wa Manchester nchini Uingereza.
Habari ID: 3470463    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/18

Vijana wasomaji wa Qur'ani kutoka nchi kadhaa za Afrika Mashariki wamekutana Kigali Rwanda na kubainisha wazi kuwa wanapinga idiolojia ya mauaji ya kimbari.
Habari ID: 3470458    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/17

Gingrich, Spika wa Zamani wa Bunge la Marekani
Spika wa zamani wa Kongresi ya Marekani amesema kuwa Waislamu wanaoshikamana na sheria za Kiislamu wanapaswa kufukuzwa nchini Marekani.
Habari ID: 3470456    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/16

Waislamu nchini Uingereza wamebainisha hofu ya kuhusu kuteuliwa Bi.Theresa May kama Waziri Mkuu kutokana na sera zake haribifu kwa jamii ya Waislamu nchini humo.
Habari ID: 3470454    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/14

Saudi Arabia imemkamata mwanazuoni mkubwa wa Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini humo.
Habari ID: 3470451    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/13

Mwanafunzi mmoja wa chuo kikuu Uingereza ametoa taarifa na kusema kundi la kigaidi la ISIS au Daesh halina uhusiano wowote na Uislamu.
Habari ID: 3470448    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/12

Katibu wa Baraza la Ustawi wa Utamaduni wa Qur’ani Iran amesema Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani ya Wanachuo Waislamu ni tukio la kipekee katika Ulimwengu wa Kiislamu.
Habari ID: 3470445    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/10

Misikiti kadhaa mjini London imepokea vitio vya kigaidi kutoka kwa makundi yanayoamnikiwa kuwa ya wabauguzi wa mrengo wa kulia huku vitendo vya chuki dhidi ya Uislamu vikiongezeka nchini humo.
Habari ID: 3470442    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/09

Bunge la Umoja wa Ulaya limelaani vikali kuendele akukandamiwa Waislamu wa kabila la Rohingya nchini Myanmar.
Habari ID: 3470438    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/08

Chuo Kikuu cha Biruni huko Istanbul Uturiki kimeandaa maonesho kuhusu 'Vitu 1001 vilivyovumbuliwa na Waislamu duniani.
Habari ID: 3470431    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/04

Sala ya Idul Fitri imefutwa katika mji mwa Southampton Uingereza kufuatia ripoti kuwa makundi ya watu wenye misimamo mikali wenye chuki dhidi ya Waislamu wanapanga kuvuruga sala hiyo.
Habari ID: 3470428    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/02

Seyed Hossein Naqavi
Mbunge wa ngazi za juu nchini Iran amesema kadhia ya Palestina ndio muhimu zaidi kwa Waislamu na hivyo ametoa wito wa ushiriki mkubwa katika maandamano ya Siku ya Kimataifa ya Quds.
Habari ID: 3470422    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/29

Shirika la Kutoa Misaada la Kutoa Misaada ya Kibinadamu Qatar (RAF) limefungua kituo kipya cha kuhifadhi kiitwacho "Al Rahmah" Qur'ani Tukufu kaskazini mashariki mwa Kenya.
Habari ID: 3470421    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/28

Awamu ya 24 ya Mashindano ya Qur'ani ya nchi za Afrika Magharibi yamefanyika nchini Senegal.
Habari ID: 3470411    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/23

Waziri wa Mambo ya Nje ya Iran
Waziri wa Mambo ya Nje ya Iran Muhammad Javad Zarif amesema Waislamu wanapaswa kuungana ili kuonyesha nchi za Magharibi kuwa wanaweza kupambana na ugaidi na misimamo mikali ya kidini.
Habari ID: 3470408    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/22

Mashindano ya Kitaifa ya Qur'ani Tukufu yamefanyika hivi karibuni nchini Liberia katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3470402    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/20