Vijana wasomaji wa Qur'ani kutoka nchi kadhaa za Afrika Mashariki wamekutana Kigali Rwanda na kubainisha wazi kuwa wanapinga idiolojia ya mauaji ya kimbari.
Habari ID: 3470458 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/17
Gingrich, Spika wa Zamani wa Bunge la Marekani
Spika wa zamani wa Kongresi ya Marekani amesema kuwa Waislamu wanaoshikamana na sheria za Kiislamu wanapaswa kufukuzwa nchini Marekani.
Habari ID: 3470456 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/16
Waislamu nchini Uingereza wamebainisha hofu ya kuhusu kuteuliwa Bi.Theresa May kama Waziri Mkuu kutokana na sera zake haribifu kwa jamii ya Waislamu nchini humo.
Habari ID: 3470454 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/14
Saudi Arabia imemkamata mwanazuoni mkubwa wa Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini humo.
Habari ID: 3470451 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/13
Mwanafunzi mmoja wa chuo kikuu Uingereza ametoa taarifa na kusema kundi la kigaidi la ISIS au Daesh halina uhusiano wowote na Uislamu.
Habari ID: 3470448 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/12
Katibu wa Baraza la Ustawi wa Utamaduni wa Qur’ani Iran amesema Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani ya Wanachuo Waislamu ni tukio la kipekee katika Ulimwengu wa Kiislamu.
Habari ID: 3470445 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/10
Misikiti kadhaa mjini London imepokea vitio vya kigaidi kutoka kwa makundi yanayoamnikiwa kuwa ya wabauguzi wa mrengo wa kulia huku vitendo vya chuki dhidi ya Uislamu vikiongezeka nchini humo.
Habari ID: 3470442 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/09
Bunge la Umoja wa Ulaya limelaani vikali kuendele akukandamiwa Waislamu wa kabila la Rohingya nchini Myanmar.
Habari ID: 3470438 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/08
Chuo Kikuu cha Biruni huko Istanbul Uturiki kimeandaa maonesho kuhusu 'Vitu 1001 vilivyovumbuliwa na Waislamu duniani.
Habari ID: 3470431 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/04
Sala ya Idul Fitri imefutwa katika mji mwa Southampton Uingereza kufuatia ripoti kuwa makundi ya watu wenye misimamo mikali wenye chuki dhidi ya Waislamu wanapanga kuvuruga sala hiyo.
Habari ID: 3470428 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/02
Seyed Hossein Naqavi
Mbunge wa ngazi za juu nchini Iran amesema kadhia ya Palestina ndio muhimu zaidi kwa Waislamu na hivyo ametoa wito wa ushiriki mkubwa katika maandamano ya Siku ya Kimataifa ya Quds.
Habari ID: 3470422 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/29
Shirika la Kutoa Misaada la Kutoa Misaada ya Kibinadamu Qatar (RAF) limefungua kituo kipya cha kuhifadhi kiitwacho "Al Rahmah" Qur'ani Tukufu kaskazini mashariki mwa Kenya.
Habari ID: 3470421 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/28
Awamu ya 24 ya Mashindano ya Qur'ani ya nchi za Afrika Magharibi yamefanyika nchini Senegal.
Habari ID: 3470411 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/23
Waziri wa Mambo ya Nje ya Iran
Waziri wa Mambo ya Nje ya Iran Muhammad Javad Zarif amesema Waislamu wanapaswa kuungana ili kuonyesha nchi za Magharibi kuwa wanaweza kupambana na ugaidi na misimamo mikali ya kidini.
Habari ID: 3470408 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/22
Mashindano ya Kitaifa ya Qur'ani Tukufu yamefanyika hivi karibuni nchini Liberia katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3470402 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/20
Utawala wa kiimla wa ukoo wa Aal Khalifa nchini Bahrain umevuna Jumuiya ya Qur'ani nchini humo kwa madai kuwa eti imekiuka sheria.
Habari ID: 3470399 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/20
Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran
Khatibu wa Swala ya Ijumaa mjini Tehran ametoa wito kwa mataifa yote ya Waislamu kuwa na umoja mbele ya njama za ustikbari na Uzayuni wa kimataifa dhidi ya Dini Tukufu ya Uislamu.
Habari ID: 3470392 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/17
Huku Waislamu duniani wakiwa katika wiki ya pili ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, shirika moja la kutoa misaada ya chakula cha futari kwa watu wasijiweza nchini Uganda.
Habari ID: 3470390 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/16
Kampeni ya kitaifa ya Qur'ani Tukufu na umaanawi inaendelea kote nchini India katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3470380 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/12
Ofisa mwenye cheo cha meja katika jeshi la Marekani amekamatwa baada kujaribu kuwaua msikitini na kuwazika hapo katika jimbo la Carolina Kaskazini.
Habari ID: 3470377 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/11