iqna

IQNA

Harakati za Qur'ani
IQNA - Kongamano la 7 la Kimataifa Kuhusu Fikra za Qur'ani za Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Seyed Ali Khamenei limepokea makala zaidi ya 2,000, afisa mmoja alisema.
Habari ID: 3479742    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/12

Muqawam
IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei ametoa pongezi kwa mashahidi wa muqawama (mapambano ya Kiislamu) na kusema kwamba wameleta heshima katika kambi ya muqawama.
Habari ID: 3479715    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/07

Muqawama
IQNA-Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu mapema leo ameeleza sababu za msingi za mapambano ya taifa la Iran yanayoendelea kwa takriban miaka 70 dhidi ya dhulma na sera za kupenda kujitanua za Marekani, na kusisitiza kuwa: Katika njia hiyo ya ushindi, utawala wa Kizayuni na Marekani watapewa jibu kali kwa hatua yoyote dhidi ya taifa la Iran.
Habari ID: 3479685    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/02

Katika ujumbe baada ya kuuawa shahidi Sayyid Safieddine
IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Seyyed Ali Khamenei amempongeza Sayyed Hashem Safieddine, kiongozi wa ngazi za juu wa Hizbullah aliyeuawa shahidi hivi karibuni katika hujuma ya utawala haramu wa Israel, na kuitaja harakati ya muqawama kuwa "mtetezi shupavu zaidi wa Lebanon na ngao madhubuti zaidi dhidi ya uroho wa utawala wa Kizayuni." Aidha amesisitiza kuwa, Hizbullah iko hai na inastawi.
Habari ID: 3479640    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/25

Muqawama
IQNA - Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema uungaji mkono wa nchi za Magharibi kwa vita vya mauaji ya kimbari vya Israel dhidi ya Wapalestina wa Gaza umefichua unafiki wao na nukata hiyo inaashiria kushindwa kukubwa kwao.
Habari ID: 3479638    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/23

Rambirambi
IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametoa ujumbe kufuatia kuuawa shahidi kamanda shujaa wa Mujahidina, Yahya Sinwar, Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, HAMAS, na kusisitiza kuwa: "Kama vile safu ya Muqawama (mapambano ya Kiislamu) haikuacha kusonga mbele kwa kuuawa shahidi shakhisia wake mashuhuri, vivyo hivyo haitakoma kwa kuuawa shahidi Sinwar."
Habari ID: 3479615    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/19

Katika barua kwa Kiongozi Muadhamu
IQNA-Wanachuoni 3,000 wa Kisuni wa nchini Iran wamemwandikia barua ya shukrani Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei wakimshukuru na kumpongeza kwa operesheni ya Ahadi ya Kweli II iliyoutia adabu utawala wa Kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3479554    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/07

IQNA – Makumi ya maelfu ya watu walihudhuria swala ya Ijumaa katika Uwanja wa Swala wa Imam Khomini jijini Tehran katika swala ya kihistoria ambayo iliongozwa na Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei tarehe 4 Oktoba 2024.
Habari ID: 3479538    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/05

Swala ya Ijumaa ya Nasr
IQNA-Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amepongeza "kazi nzuri ya vikosi vyetu vya jeshi" katika kutekeleza mashambulizi ya makombora dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel na kusema "ni halali na ya kisheria kabisa".
Habari ID: 3479532    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/04

Muqawama (Mapambano ya Kiislamu)
IQNA-Khitma kwa ajili ya Mpigana Jihadi Katika Njia ya Allah, Sayyid Azizi wa Umma wa Kiislamu, Shahidi Hujjatul Islam wal Muslimin Sayyid Hassan Nasrallah na wenzake inafanyka katika kwa kaui mbiu ya 'Ijumaa ya Nasr" katika Uwanja wa Sala wa Imam Khomeini jijini Tehran.
Habari ID: 3479531    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/04

Siasa
IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, chimbuko la matatizo ya eneo la Asia Magharibi ni mataifa kama Marekani na baadhi ya nchi za Ulaya zinazodai kwa uwongo kwamba, zinataka amani na utulivu.
Habari ID: 3479525    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/02

Ujumbe
IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amesisitiza kuwa, watenda jinai wa Kizayuni wajue kwamba wao si lolote kuweza kuusababishia madhara makubwa muundo imara wa Hizbullah ya Lebanon.
Habari ID: 3479501    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/28

Kiongozi Muadhamu
IQNA- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameonana na wanaharakati wa Vita vya Kujihami Kutakatifu na Muqawama na kusisitiza kuwa, kambi ya Muqawama ya Palestina na Hizbullah ya Lebanon ndiye mshindi katika Jihadi kwa njia ya Mwenyezi Mungu.
Habari ID: 3479490    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/26

IQNA – Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Seyyed Ali Khamenei alikutana na wageni na waandaaji wa Kongamano la 38 la Kimataifa la Umoja wa Kiislamu mjini Tehran tarehe 21 Septemba 2024.
Habari ID: 3479471    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/23

Wiki ya Umoja wa Kiislamu
IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza juu ya nafasi ya watu maalumu katika uundaji wa Umma wa Kiislamu na umoja wa ulimwengu wa Kiislamu na kubainisha kwamba, kwa kuundwa Umma wa Kiislamu, Waislamu kwa nguvu zao za ndani wanaweza kuondoa donda la saratani na khabithi la utawala wa Kizayuni kutoka Palestina na kusambaratisha ushawishi na uingiliaji wa mabavu wa Marekani katika eneo.
Habari ID: 3479460    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/21

Wiki ya Umoja wa Kiislamu
IQNA - Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema umoja kati ya Waislamu si mbinu bali ni "kanuni ya Qur'ani," akiwataka Maulamaa kuzingatia utambulisho wa Umma wa Kiislamu.
Habari ID: 3479445    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/16

IQNA – Tukio la kuondoa vumbi kwenye kaburi tukufu la Imam Ridha (AS) imefanyika wiki hii sambamba na kuwadia Rabi al-Awwal.
Habari ID: 3479430    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/13

Arbaeen 1446
IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametoa shukurani zake kwa wenye mawkib na taifa la kubwa la Iraq katika kipindi cha kumbukumbu ya Arbaeen ya Imam Hussein (AS).
Habari ID: 3479419    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/11

IQNA - Sheikh Ibrahim Zakzaky, kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria, alikutana na mwakilishi wa Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Seyed Ali Khamenei nchini Iraq.
Habari ID: 3479384    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/04

Arbaeen 1446
IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amesema mbele ya wanafunzi wa vyuo vikuu katika maombolezo ya Arubaini ya Imam Husain AS kwamba mapambano baina ya kambi ya haki ya Imam Hussein (AS) na kambi ya batili ya Yazid kamwe havitomalizika.
Habari ID: 3479328    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/25