IQNA – Kupitia taarifa kali kwenye mitandao ya kijamii, Mufti Mkuu wa Oman, Sheikh Ahmad bin Hamad Al-Khalili, amewakosoa vikali viongozi wa Kiarabu wanaoripotiwa kutoa wito wa kuwapokonya silaha wanamuqawama au wapigania ukombozi wa Palestina huko Gaza.
Habari ID: 3480550 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/16
IQNA-Mufti Mkuu wa Oman, Sheikh Ahmed al-Khalili, amekosoa vikali kimya kinachoonyeshwa mbele ya jinai za kinyama zinazofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Gaza.
Habari ID: 3480497 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/05
IQNA-Mufti Mkuu wa Oman amewataka Waislamu wote na watu wanaopenda uhuru duniani kusaidia watu wanaodhulumiwa wa Gaza wanaoishi katika hali mbaya.
Habari ID: 3480336 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/09
Watetezi wa Palestina
IQNA – Mufti Mkuu wa Oman ametoa wito kwa mataifa yote kuwaunga mkono mashujaa wa Yemen ambao wanapigania haki na kupinga dhulma.
Habari ID: 3480002 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/04
Muqawama
IQNA - Mufti Mkuu wa Oman amempongeza Sheikh Naim Qassem kwa kuteuliwa kuwa katibu mkuu mpya wa harakati ya muqawama ya Hizbullah ya Lebanon.
Habari ID: 3479702 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/05
Ujumbe wa rambrambi
IQNA - Mufti Mkuu wa Oman ameelezea matumaini kwamba mtu ambaye atachukua nafasi ya Katibu Mkuu wa Hizbullah Shahidi Sayyid Hassan Nasrallah ataendelea na njia yake.
Habari ID: 3479508 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/29
Watetezi wa Palestina
IQNA - Mufti Mkuu wa Oman, aliyekosolewa na baadhi ya watumiaji wa mitandao ya kijamii kutokana na uungaji mkono wake kwa Palestina, amepata uungwaji mkono na mshikamano kutoka kwa wengine wengi.
Habari ID: 3479485 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/25
Muqawama
IQNA - Mufti Mkuu wa Oman amelaani mauaji ya utawala wa Israel dhidi ya Ismail Haniya, mkuu wa ofisi ya kisiasa ya harakati ya Hamas.
Habari ID: 3479217 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/02
Nasaha
IQNA – Kazi ya tarjuma na tafsiri ya Qur'ani Tukufu ni ngumu lakini ya lazima na yenye thamani, msaidizi wa Mufti Mkuu wa Oman alisema.
Habari ID: 3478805 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/12
Watetezi wa Palestina
IQNA-Mufti Mkuu wa Oman kwa mara nyingine amesisitiza umuhimu wa Msikiti wa Al-Aqsa katika mji wa Quds (Jerusalem) unaokaliwa kwa mabavu na utawala haramu wa Israel na akasema kuukomboa ni jukumu la Waislamu wote duniani.
Habari ID: 3478232 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/22
Kadhia ya Palestina
IQNA - Mufti Mkuu wa Oman amewakosoa wale wanaojaribu kudhoofisha harakati za mapambano ya Kiislamu (muqawama) za Wapalestina dhidi ya jinai za utawala haramu wa Israel.
Habari ID: 3478014 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/09
Chuki dhidi ya Uislamu
MUSCAT (IQNA)- Mufti wa Oman ametoa wito wa kususiwa bidhaa za Sweden kufuatia kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu huko Uswidi (Sweden).
Habari ID: 3477228 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/07/02
Kadhia ya Palestina
TEHRAN (IQNA) - Mufti Mkuu wa Oman aliutaka Umma wote wa Kiislamu kusimama pamoja na taifa la Palestina katika kukabiliana na uchokozi wa utawala ghasibu wa Israel.
Habari ID: 3477039 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/05/24
Mufti wa Oman
TEHRAN(IQNA)- Mufti wa Oman Sheikh Ahmad bin Hamad Al-Khalili amesisitiza haja ya kudumishwa amani na utangamano katika eneo la Ghuba ya Uajemi na kubainisha kwamba, makubaliano na mapatano yaliyofikiwa kati ya Iran na Saudi Arabia yameutia hofu na kiwewe utawala haramu wa Kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3476726 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/18
Njama dhidi ya Al Aqsa
TEHRAN (IQNA)- Mufti wa Oman Sheikh Ahmed bin Hamad al-Khalili amesema, mwenendo ulioanzishwa na baraza la mawaziri la utawala haramu wa Kizayuni lenye misimamo ya kufurutu ada wa kuuvamia Msikiti wa Al-Aqsa unamaanisha kutangaza vita dhidi ya Umma wa Kiislamu.
Habari ID: 3476409 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/15
Upinzani dhidi ya Israel
TEHRAN (IQNA)- Mufti Mkuu wa Oman ametangaza kuafiki na kuunga mkono mpango wa bunge la nchi hiyo wa kususiwa utawala haramu wa Israel unaotenda jinai kila uchao huko Palestina.
Habari ID: 3476339 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/01
Kombe la Dunia la Qatar
TEHRAN (IQNA) - Mufti mkuu wa Oman amewashukuru Waislamu na wale wote ambao wamekataa kuzungumza au kuhojiwa na na waandishi wa habari wa utawala wa Kizayuni wa Israel wakati wa Kombe la Dunia la 2022 linaloendelea nchini Qatar.
Habari ID: 3476163 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/28