TEHRAN (IQNA) - Utawala wa Kizayuni wa Israel umemkamata Naibu Mkurugenzi wa Shirika la Wakfu wa Kiislamu katika mji wa Quds (Jerusalem) huku kukiwa na tetesi kuwa Wazayuni wanalenga kumuambukjiza kirusi cha corona.
Habari ID: 3472571 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/03/16
TEHRAN (IQNA)- Serikali ya Kuwait imefunga kwa muda misikiti nchini na kubadilisha adhana kufuatia hofu ya kuenea ugonjwa wa COVID-19 maarufu kama corona.
Habari ID: 3472570 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/03/16
TEHRAN (IQNA)- Madrassah zote za Qur'ani zimefungwa kwa muda Morocco na Oman kutokana na hofu ya kuoena ugonjwa wa COVID-19 maarufu kama corona.
Habari ID: 3472569 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/03/15
TEHRAN (IQNA)- Bunge la Uingereza, House of Commons, litaanza kuuza chakula Halali, ambacho kimetayarishwa kwa misingi ya mafundisho ya Kiislam, kuanzia Machi 30 kufuatia ombi la wabunge Waislamu.
Habari ID: 3472568 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/03/15
TEHRAN (IQNA) – Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani ya Zawadi ya Al Qasimia katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) yameakhirishwa ili kuzuia kuenea ugonjwa wa COVID-19 maarufu kama kirusi cha corona.
Habari ID: 3472567 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/03/15
TEHRAN (IQNA) – Saudi Arabia imesitisha safari zote za ndege za kimataifa kwa muda wa wiki mbili kuanzia Machi 15 ili kueneza ugonjwa wa COVID-19 maarufu kama kirusi corona.
Habari ID: 3472565 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/03/14
TEHRAN (IQNA) – Sala ya Ijumaa haikusaliwa katika misikiti kadhaa nchini Marekani kutokana na hofua ya kuenea ugonjwa wa COVID-19 maarufu kama kirusi cha corona
Habari ID: 3472563 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/03/14
TEHRAN (IQNA) - Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema katika vita dhidi ya kirusi cha corona, muongo mkubwa zaidi ni rais Donald Trump wa Marekani na timu yake.
Habari ID: 3472562 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/03/14
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Alhamisi usiku alitoa amri kwa Meja Jenerali Mohammad Baqeri Mkuu wa Kamandi ya Majeshi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kutaka kamandi hiyo iunde 'Kituo cha Afya na Matibabu' kwa lengo la kukabiliana na ugonjwa wa COVID-19 ambao ni maarufu kama kirusi cha Corona.
Habari ID: 3472561 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/03/13
TEHRAN (IQNA)- Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amewasilisha orodha ya vifaa vya kitiba ambavyo Iran inahitajia kwa dharura ili kukabiliana na janga la ugonjwa wa COVID-19 au Corona.
Habari ID: 3472560 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/03/13
TEHRAN (IQNA) - Jumuiya ya Kimataifa ya Mwamko wa Kiislamu imelaani mauaji yanayofanywa ma Wahindu wenye misimamo mikali dhidi ya Waislamu nchini India na kuitaka serikali ya nchi hiyo isitishe mauaji na jinai hiyo.
Habari ID: 3472559 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/03/13
TEHRAN (IQNA) - Rais Muhammad Ashraf Ghani wa Afganistan ametoa amri ya kuachiliwa huru kutoka gerezani wafungwa ambao ni wanachama wa kundi la wanamgambo wa Taliban
Habari ID: 3472558 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/03/12
TEHRAN (IQNA) – Waziri wa Masuala ya Kiislamu katika ufalme wa Saudi Arabia ameamuru kuwa sala ya Ijumaa katika misikiti nchini humo isizidi dakika 15.
Habari ID: 3472557 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/03/12
TEHRAN (IQNA) – Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Malaysia ambayo yalikuwa yamepangwa kufanyika mwezi Aprili sasa yameakhirishwa ili kuzuia kuenea ugonjwa wa COVID-19 maarufu kama corona.
Habari ID: 3472556 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/03/12
Hali ya hatari duniani
TEHRAN (IQNA)- Hatimaye ugonjwa wa virusi vya Corona, au COVID-19 umetangazwa kuwa sasa umeenea duniani kote (global pandemic), amesema Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani, WHO, Dkt. Tedros Ghebreyesus.
Habari ID: 3472555 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/03/11
TEHRAN (IQNA) – Kesi ya kwanza ya kirusi cha Corona imeripotiwa katika mji mtakatifu wa Makka nchini Saudi Arabia.
Habari ID: 3472554 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/03/11
TEHRAN (IQNA) – Idara ya Wakfu ya Mji wa Quds (Jerusalem) imeanza oparesheni ya kunyunyizia dawa ya kuua virusi vya Corona katika Msikiti wa Al-Aqsa.
Habari ID: 3472552 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/03/10
TEHRAN (IQNA) – Msikiti wa Jamia wa Paris, Ufaransa umetangaza kusitishwa kwa muda sala ya Ijumaa katika msikiti huo kutokana na hofu ya kuenea ugonjwa wa COVID-19 maarufu kama Corona.
Habari ID: 3472551 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/03/10
Spika wa Bunge la Iran
TEHRAN (IQNA) - Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran yaani Bunge ameandika barua kwa Umoja wa Mabunge na Maspika wa Mabunge ya Nchi mbalimbali duniani na kuitaka jamii ya kimataifa kupaza sauti kwa pamoja ili kuondolewa haraka iwezekanavyo vikwazo vikiwemo vya kitiba vya Marekani dhidi ya wananchi wa Iran.
Habari ID: 3472550 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/03/10
TEHRAN (IQNA) - Vyombo vya habari vya Ufaransa vimetangaza kuwa, jana usiku mtu mmoja mwenye silaha alishambulia msikiti mmoja mjini Parisa.
Habari ID: 3472548 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/03/09