TEHRAN (IQNA) – Kituo cha Kiislamu cha Al Azhar nchini Misri kimetangaza kuwa ni haramu kwa wale wanaofahamu kuwa wanaugua ugonjwa wa COVID-19 maarufu kama Corona kushiriki katika sala za jamaa misikitini.
Habari ID: 3472547 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/03/09
TEHRAN (IQNA) – Wakuu wa Saudi Arabia Jumatatu Jumatatu wametangaza kusitisha shughuli zote za usomaji Qur'ani na mafundisho mengine misikitini kufuatia hofu ya kuenea ugonjwa wa COVID-19 maarufu kama Corona.
Habari ID: 3472546 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/03/09
TEHRAN (IQNA) - Askari wa Gadi ya Mfalme wa Saudi Arabia imetekeleza amri ya mrithi wa mfalme wa nchi hiyo, Mohammad bin Salman na kuwatia nguvuni wanamfalme watatu wa nchi hiyo kwa tuhuma za uhaini.
Habari ID: 3472545 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/03/08
TEHRAN (IQNA) – Tuko katika mnasaba wa kukumbuka siku ya kuzaliwa Imam Ali bin Abi Talib AS, siku ambayo nchini Iran pia ni maarufu kwa jina la Siku ya Baba.
Habari ID: 3472543 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/03/07
TEHRAN (IQNA) - Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Sayyid Abbas Mousavi amelaani shambulio hilo la kigaidi sambamba na kuwafariji wananchi na serikali ya Afghanistan pamoja na familia za waliouawa na kujeruhiwa katika hujuma hiyo.
Habari ID: 3472542 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/03/07
TEHRAN (IQNA)- Ayatullah Nouri Hussein Hamedani ambaye ni miongoni mwa viongozi wa juu wa kidini nchini Iran amelaani ukatili na mauaji yanayoendelea kufanywa dhidi ya Waislamu nchini India na kukosoa kimya cha vyombo vya habari duniani kuhusiana na mauaji hayo.
Habari ID: 3472540 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/03/07
Hofu ya kirusi cha Corona
TEHRAN (IQNA)- Hotuba za sala ya Ijumaa katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) leo hazikupindukia dakika 10 kufuatia amri ya Idara ya Masuala ya Kiislamu na Wakfu nchini humo.
Habari ID: 3472538 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/03/06
TEHRAN (IQNA) – Serikali ya Saudia imefungua tena Msikiti Mtakatifu wa Makka (al-Masjid al-Ḥaram) na Msikiti Mtakatifu wa Mtume SAW (Al Masjid an Nabawi) baada ya kufunga kwa muda maeneo hayo mawili matakatifu (Haramein) kutokana na hofu ya kuenea kirusi cha Corona.
Habari ID: 3472537 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/03/06
TEHRAN (IQNA) - Maonyesho ya 28 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Tehran ambayo yalikuwa yafanyike katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani yameakhirishwa kutokana na kuenea kirusi cha Corona nchini Iran.
Habari ID: 3472536 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/03/06
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameitahadharisha serikali ya India dhidi ya kuendelea kutekeleza mauaji ya halaiki dhidi ya Waislamu wa nchi hiyo na kusisitiza kuwa, ukandamizaji unaoendelea kufanyiwa Waislamu katika nchi hiyo ya kusini mwa Asia utapelekea serikali ya New Delhi itengwe katika ulimwengu wa Kiislamu.
Habari ID: 3472535 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/03/05
Spika wa Bunge la Iran
TEHRAN (IQNA)- Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) ameeleza kusikitishwa kwake na mauaji yanayofanywa dhidi ya Waislamu nchini India na ameitaka serikali ya New Delhi, itumie mbinu na uwezo wote kwa ajili ya kuhitimisha mzozo uliopo kwa njia za amani.
Habari ID: 3472534 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/03/05
TEHRAN (IQNA) - Saudi Arabia imewapiga marufuku raia wake na wakazi wa nchi hiyo kutekeleza ibada ya Umrah katika mji Mtakatifu wa Makka au kuzuru Msikiti wa Mtume SAW katika mji wa Madina kwa hofu ya kuenea kirusi cha Corona ambacho kinaenea kwa kasi duniani.
Habari ID: 3472533 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/03/05
TEHRAN (IQNA) – Mashindano ya 46 ya Kitaifa ya Qur'ani Tukufu yamefanyika nchini Ufilipino ambapo rais Rodrigo Duterte wa nchi hiyo amewatumia washiriki ujumbe maalumu.
Habari ID: 3472532 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/03/05
TEHRAN (IQNA) – Kiongozi wa Harakati ya Mapmbano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas), Ismail Haniya amesema Russia inapinga mpango wa 'muamala wa karne' uliowasilishwa na Mareknai kuhusu kadhia ya Palestina.
Habari ID: 3472528 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/03/04
TEHRAN (IQNA) - Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametoa maelekezo muhimu kuhusiana na mradhi yaliyoenea ya COVID-19 yanayosababishwa na kirusi cha corona humu nchini Iran.
Habari ID: 3472527 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/03/03
Makundi ya Palestina
TEHRAN (IQNA) –Makundi ya muqawama au kupigania ukombozi wa Palestina yamesisitiza kuwa, matokeo ya awali ya uchaguzi wa bunge katika utawala wa Kizayuni wa Israel yanayoneysha kuwa hakuna mabadiliko yoyote katika sera za utawala huo.
Habari ID: 3472526 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/03/03
Maoni
TEHRAN (IQNA) –Waislamu nchini Marekani wanatazamiwa kuwa na taathira kubwa katika uchaguzi wa rais uliopangwa kufanyika mwezi Novemba mwaka huu.
Habari ID: 3472525 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/03/03
TEHRAN (IQNA) – India inatambuliwa kama nchi ya kidemokrasia yenye muujiza wa kisasa kutokana na kuwa na idadi kubwa ya watu wa kaumu, kabila na dini mbali mbali wamekuwa wakiishi pamoja
Habari ID: 3472524 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/03/02
TEHRAN (IQNA) - Mohammed Tawfiq Allawi, Waziri Mkuu wa Iraq ametangaza kujiondoa kuunda Baraza la Mawaziri la nchi hiyo.
Habari ID: 3472522 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/03/02
TEHRAN (IQNA) – Mashindano ya 7 ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu ya wanafunzi ya Waislamu yameakhirishwa.
Habari ID: 3472521 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/03/02