Kombe la Dunia la Qatar
TEHRAN (IQNA) – Mashabiki wa soka wa Waislamu ndani na nchi na kutoka mataifa mengine duniani walihudhuria Sala ya Ijumaa mjini Doha, Qatar huku Kombe la Dunia la kwanza katika nchi ya Kiislamu likiendelea.
Habari ID: 3476152 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/26
Njama dhidi ya Iran
TEHRAN (IQNA)- Wananchi wa jiji la Tehran na miji yote ya Iran, leo baada ya Sala za Ijumaa, wamefanya maandamano makubwa ya nchi nzima kulaani shambulio la kigaidi lililotokea juzi Jumatano katika Haram Tukufu ya Shah Cheragh ya mjini Shiraz, kusini magharibi mwa Iran. Genge la kigaidi la ISIS limetangaza kuhusika na jinai hiyo.
Habari ID: 3475997 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/28
Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran
TEHRAN (IQNA)- Khatibu wa Sala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran amesema mustakabali wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran hii leo umeng'ara zaidi kuliko wakati wowote ule.
Habari ID: 3475967 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/21
Sala ya Ijumaa
TEHRAN (IQNA) – Swala ya Ijumaa katika Msikiti wa Al-Aqswa huko al-Quds (Jerusalem) ilihudhuriwa na makumi ya maelfu ya waumini Wapalestina jana, ambayo iliadhimisha Siku ya Arafah.
Habari ID: 3475480 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/09
Khatibu wa Sala ya Ijumaa
TEHRAN (IQNA)-Khatibu wa Swala ya Ijumaa ya Tehran amesema kuwa wananchi wa Palestina wamesimama kidete na wameazimia kuikomboa Palestina yote kutoka Bahari ya Mediterania hadi Mto Jordan.
Habari ID: 3475184 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/04/29
Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran
TEHRAN (IQNA)- Khatibu wa Sala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran amesema, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni mingoni mwa nchi chache zenye nguvu za kiulinzi za kudhamini amani na usalama wa eneo na wa Ulimwengu wa Kiislamu.
Habari ID: 3474942 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/18
Rais Ebrahim Raisi katika Sala ya Ijumaa Tehran
TEHRAN (IQNA)- Rais Ebrahim Raisi amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran bado imeshikamana na nara yake ya "Si Mashariki, si Magharibi" ya tangu mwaka 1979.
Habari ID: 3474918 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/11
TEHRAN (IQNA)- Baraza la Kiislamu la Singapore (Muis) limewataka wale ambao bado hawajapata chanjo ya COVID-19 wajizuie kushiriki katika Sala ya Ijumaa kutokana na sababu za kiafya.
Habari ID: 3474863 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/29
TEHRAN (IQNA)- Maelfu ya wananchi katika miji mingi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wameshiriki katika maandamano ya kuunga mkono taifa linalodhulumiwa la Yemen na kulaani jinai zinazotendwa na muungano vamizi unaoongozwa na Saudia dhidi ya taifa hilo.
Habari ID: 3474861 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/28
TEHRAN (IQNA)- Wapalestina wasiopungua 25,000 wamestahamili baridi kali na kushiriki katika Sala ya Ijumaa wiki hii katika Msikiti wa Al Aqsa ulio katika mji wa Quds (Jerusalem) unaokaliwa kwa mabavu na utawala haramu wa Israel.
Habari ID: 3474860 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/28
TEHRAN (IQNA) – Maelfu ya Wapalestina wameshiriki katika Sala ya Ijumaa katika Msikiti wa Al Aqsa mjini Quds (Jerusalem) pamoja na kuwepo vizuizi vilivyokuwa vimewekwa na askari wa utawala wa Kizayuni wa Israel unaokalia ardhi hiyo ya Palestina kwa mabavu.
Habari ID: 3474635 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/03
TEHRAN (IQNA)- Sala ya Ijumaa imeruhusiwa tena nchini Brunei baada ya kusitishwa kwa muda wa miezi mitatu.
Habari ID: 3474580 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/20
TEHRAN (IQNA)- Waislamu duniani kote wamepata furaha tele kuona Sala ya Ijumaa katika Misikiti Mitakatifu ya Makka na Madina imerejea katika hali ya kawaida huku waumini wakiwa wamejaa kikamilifu
Habari ID: 3474460 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/23
TEHRAN (IQNA)- Baada ya kusitishwa kwa muda wa takribani miezi ishirini jijini Tehran na katika miji na maeneo mengine ya Iran kutokana na maambukizi ya virusi vya corona, Swala ya Ijumaa imefanyika leo mjini Tehran ikishirikisha matabaka mbalimbali ya wananchi.
Habari ID: 3474457 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/22
TEHRAN (IQNA)- Wapalestina zaidi ya 45,000 wamehudhuria Sala ya Ijumaa ya jana kwenye msikiti mtukufu wa Al Aqsa katika mji mtakatifu wa Quds (Jerusalem) pamoja na kuwepo vizingiti vingi vilivyowekwa na utawala haramu wa Israel unaokalia mji huo kwa mabavu.
Habari ID: 3474255 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/04
TEHRAN (IQNA) - Swala ya Ijumaa imeswaliwa kusaliwa hii leo katika miji mikubwa na midogo ipatayo 157 na mikoa 21 ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, baada ya kusitishwa tokea mapema mwezi Machi mwaka huu kutokana na mripuko wa ugonjwa wa COVID-19 au corona.
Habari ID: 3472745 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/08
TEHRAN (IQNA)- Serikali ya Pakistan imetnagaza kusitishwa kwa muda sala za Ijumaa za jamaa kubwa kote nchini humo ili kuzuia kuenea ugonjwa wa corona.
Habari ID: 3472628 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/04/03
Hofu ya kirusi cha Corona
TEHRAN (IQNA)- Hotuba za sala ya Ijumaa katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) leo hazikupindukia dakika 10 kufuatia amri ya Idara ya Masuala ya Kiislamu na Wakfu nchini humo.
Habari ID: 3472538 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/03/06
TEHRAN (IQNA) - Idadi kubwa ya wananchi waumini wa Iran wamefanya maandamano makubwa katika kuunga mkono mfumo wa Kiislamu na Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu katika kusimama kidete katika kukabiliana na ya Marekani.
Habari ID: 3472380 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/01/17
Khatibu wa Sala ya Ijumaa
Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran amesistiza kuwa taifa la Iran litaendeleza mapambano na halitosalimu amri mbele ya matakwa ya madola ya kibeberu.
Habari ID: 3470213 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/03/25